LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ule mkwara umesaidia! Jamaa bado hawajaamua lolote! Vipi wamenusa hatari??

No new pledge on Ukraine missiles after Starmer-Biden talks​

UK Prime Minister Sir Keir Starmer did not signal any decision on allowing Ukraine to use long-range missiles to hit targets inside Russia after talks with US President Joe Biden in Washington.

kp kipanya44 upo?? Hali ni mbaya sana huko mashariki! Ukiona wenyewe wanakiri ujue..........

Ukrainians warn of being surrounded as Russia advances in east​

The situation is critical, a Ukrainian military officer in the east told the BBC near the front line south of Pokrovsk.

Russia’s military strategy now appears to be surrounding the city, which is a key transportation hub in the region.

Weka na ushahidi mkuu, yani kuandika tu kama hivi nani ataamini kauli Yako? Uko wapi ushahidi wa wapoland kumtaka blinken aondoke Poland? Hata mimi naweza kuandika habari yoyote tu lakini kama hakuna source ni maana ake ni ngonjera tu

IlA wewe jamaa inaonekana ni mbishi Fulani hivi,kitu usichokijua wewe unaona ni uongo,na kwa kawaida huwezi kujua Kila kitu,kubali wenzako wanapojua kabla Yako.

View: https://www.youtube.com/live/0xxpMDxzM9c?si=owz8g5TzNhC6sHM8
 
Mkuu wala hujakosea wazo lako,kwa kifupi hatuko mbali sana na hicho unachokosema.
Imeshafahamika kua Nia ya west ni kutaka kumdhoofisha kijeshi Urusi ili iwe rahisi kumvamia kwa pamoja.
Urusi analijua hilo na Dunia inalijua hilo.
Urusi imechora mstari mwekundu wakivuka TU unachowaza ndicho kinaenda kutokea.
Wala haya sio mawazo Yako peke Yako hata baadhi ya wataalamu wa kijeshi wa west wasiopenda vita wameshaonya na wanaonya Kila siku juu ya ujinga huo ambao NATO wanataka kufanya ndio maana kunahofu ya ww3 na nyukilia war.
Urusi analijua mipango Yao ovu yote.
Hawezi kua Mjinga wakawa wanapiga sehemu muhimu kwake huku yeye amekaa TU.
Kuna kitu atafanya Dunia haitaamini.
Wengi hatuombei ifike huko lkn naona shetani Yuko bize.
Nikuambie kitu Urusi sio china.
Urusi itajibu kwa nguvu mno.
Mstari mwekundu wameshauchora zaman na hawajafanya kitu, kwani zile kauli zilizokuwa zinatoka ikiwa ukraine atasaidiwa au kushambulia urusi wahusika watafanyiwa tukio la baya hukulijua?
 
Memorial of Arch for the Battle of Kursk..now Ukrainian!!!
1726294170697.jpg
 
Mstari mwekundu wameshauchora zaman na hawajafanya kitu, kwani zile kauli zilizokuwa zinatoka ikiwa ukraine atasaidiwa au kushambulia urusi wahusika watafanyiwa tukio la baya hukulijua?
Waambie NATO wapeleke majeshi rasmi kama walivyopeleka Iraq baada ya Iraq kuivamia Kuwait,
Ama walivyopeleka majeshi Yugoslavia kuwaokoa wakosovo.
Au walivyopeleka majeshi Afghanistan baada ya 9/11.
Au kama walivyopeleka ndege Libya kuwaua wanajeshi wa Ghadafi.
Hicho ndicho alimaanisha Mwamba.
Au wajaribu hata kudungua TU makombora ya Urusi kama walivyofanya kwa makombora ya Iran dhidi ya Israel.
Ni hayo TU Mkuu wangu.
 
Kama mimi sijaelewa vibaya, Ukraine Yuko mbele, warusi wapo nyuma wanakuja na mto uko mbele ya Ukraine, nadhani Ukraine ndio inabidi wavuke mtu Ili waendelee na offensive
Always mwenye ugumu ni yule anatakiwa kuvuka mto
Aisee wamebanwa nyuma askari wa Russia mbele mto.
Ogelea ama ufe😂😂😂😂
 
Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱
1726302370935.jpg
 
A new exchange of prisoners of war is taking place - 103 for 103. Another 103 Heroes defending their homeland and family were exchanged for Orc invaders and aggressors from the axis of evil of the dictatorships.
1726311848050.jpg
 
Waambie NATO wapeleke majeshi rasmi kama walivyopeleka Iraq baada ya Iraq kuivamia Kuwait,
Ama walivyopeleka majeshi Yugoslavia kuwaokoa wakosovo.
Au walivyopeleka majeshi Afghanistan baada ya 9/11.
Au kama walivyopeleka ndege Libya kuwaua wanajeshi wa Ghadafi.
Hicho ndicho alimaanisha Mwamba.
Au wajaribu hata kudungua TU makombora ya Urusi kama walivyofanya kwa makombora ya Iran dhidi ya Israel.
Ni hayo TU Mkuu wangu.
Kwahiyo kauli ya Urusi aliyoisema/anazosema hawo NATO wanaziogopa?

Mbona ipo mikwala mingi tu Urusi anatoa na hafanyi lolote.
 
Mbona hao NATO hawakutangaza kupeleka jeshi pale walipotishwa??
Wapeleke jeshi kama walivyopeleka Afghanistan kama wao wanaume haswa.
Kwani NATO alisema endapo urusi atasaidiwa atampiga aliyesaidia?
Kwa vile urusi amesema maranyingi kauli hizo afanye.
 
Kwani NATO alisema endapo urusi atasaidiwa atampiga aliyesaidia?
Kwa vile urusi amesema maranyingi kauli hizo afanye.
Mbona unageuza maneno mzee!?
Ni wapi Urusi amesaidiwa?
Sisi tunataka NATO apeleke jeshi Ukraine.
Kama msaada wa silaha na fedha hilo ni jambo la kawaida.
Sisi tunataka tuone askari wa NATO wametua officially na magwanda pale Ukraine.
 
Kwa hiyo NATO bado hawajaingia uwanjani kupigana na urusi Kwa Sasa!
 
Kwahiyo kauli ya Urusi aliyoisema/anazosema hawo NATO wanaziogopa?

Mbona ipo mikwala mingi tu Urusi anatoa na hafanyi lolote.
Putin kawapiga NATO na kitu kizito wamefyata mkia, chezea KGB Putin.
 
Attachments

  • Screenshot_20240914-144659.png
    Screenshot_20240914-144659.png
    319.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240914-130138.png
    Screenshot_20240914-130138.png
    382.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom