LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tena kaongea uzuri tu na kwa kirefu.

Yote aloyaongea yapo kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya nje ya Russia na yakle aloongea mkuu wa majeshi ya Russia nayo yapo kwenye tovuti ya wizara ya Ulinzi ya Russia.

Walokifanya ni kupotosha na kuondoa maneno muhimu aloyasema na vyombo vya habari vya magharibi vyawalisha matango pori raia wao.

Raia wenye msimamo mkali huko Poland jana walitoa kauli za kumtaka Blinken aondoke Poland kwani hawataki nchi yao iwe mhanga wa vita.

Hiyo nayo Main stream media ya West hawajaitoa.
 
Wewe muite, Russia walishadungua setilate

Wewe muite elimu yako ni chekechea kabisa IQ yako ni ndogo sana, sijui darasa la Saba D, sijui form four failure. Russia Wana hiyo technology toka zamani ya kufungua satellite.
Walishadungua setelait ipi ndicho anchouliza jamaa, njoo na hoja, achana na sijui chekechea sijui lasaba hiyo haisaidii kwenye kujenga hoja
 
Weka na ushahidi mkuu, yani kuandika tu kama hivi nani ataamini kauli Yako? Uko wapi ushahidi wa wapoland kumtaka blinken aondoke Poland? Hata mimi naweza kuandika habari yoyote tu lakini kama hakuna source ni maana ake ni ngonjera tu
 
Mkuu, Russia tayari amekuwa akipigana dhidi ya NATO kupitia Ukraine ndo yaitwa Proxy war.

Silaha zote kuanzia UAVs, makombora, vifaru, na vingine vyote Ukraine wamekuwa wakielekezwa na wahandisi wa NATO ili kuleta ufanisi.

Hata daraja la Kerch kwa mara ya kwanza lilidunguliwa na kombora la Storm Shadow kwa "installation" na "instruction" ya wahandisi wa NATO (kwa maana ya UK). Hizo ATCM (wamarekani) zote zimekuwa zikutupwa kuelekea zaidi Crimea pale Sevastopol na baadae manowari ya kivita ya Russia ikadunguliwa na hayo makombora.

Russia mara nyingi wamesema kwamba hii ni "Hybrid war" wapigana na NATO/US lakini wamekuwa wakisisitiza zile Red Lines kutozivuka.

Red Lines aloziweka Russia ni kwamba hakuna kuingiza vikosi vya NATO/Marekani ndani ya uwanja wa vita na pia hakuna kutumia makombora ya masafa marefu kama ATCMS na Storm Shadows kupiga ndani zaidi ya Russia.

Umuhimu wa Red Line anoizungumzia Putin ya sasa ambayo imepotoshwa huko West ni kwamba mitambo inotuma makombora hayo (ATCM na Storm Shadow) ikirushwa na wahandisi wa UK na wale wa US (maana Ukraine hawana uwezo huo) kufanya Configuration and execution isipokuwa wahandishi wa kijeshi wa nchi hizo mbili, basi technically watakuwa kwenye state of war dhidi ya Russia na state of affairs zitabadilika na kutatokea actions nyingi ikiwemo kufungiana balozi zao.

Sasa wadhani UK na US wataka iwe hivyo?

Ndo maana wameenda wote Washington wazungumze na Biden watafute namna ya kumjibu Putin.
 
Hizo ATACM alizopewa Ukraine ni za masafa mafupi tu Wala usitake kuniongopea, alafu nionyeshe maali Putin anasema kuwa anapigana na NATO, ujue kuna vitu vidogo tu kufikiria hatakama haupo Frontline
 
Hizo ATACM alizopewa Ukraine ni za masafa mafupi tu Wala usitake kuniongopea, alafu nionyeshe maali Putin anasema kuwa anapigana na NATO, ujue kuna vitu vidogo tu kufikiria hatakama haupo Frontline
Sio mpaka aseme ukitumia akili unaona kabisa NATO watahusika.mfano hayo makombora ili yafike target zake kwa ufanisi zitahitaji satellites.na satellite anazo NATO hapo bado warushaji lazima wawe wanajeshi wa NATO kwa sababu wanamaarifa ya kuyarusha.
 
Hao raia wenye misimamo mikali wako wapi, kauli ya kiongozi mmoja tu usifanye kama kaongea kwa niaba ya wananchi wote, endapo itatokea vita ya dhidi ya Urusi hakuna taifa linaloichukia urusi kama hiyo Poland
Usiwe mvivu, nimeweka video hapo juu ingizo namba 142023
 
Hizo ATACM alizopewa Ukraine ni za masafa mafupi tu Wala usitake kuniongopea, alafu nionyeshe maali Putin anasema kuwa anapigana na NATO, ujue kuna vitu vidogo tu kufikiria hatakama haupo Frontline
Mwenzako anazungumza X wewe unajibu Y.

kuna nchi now zimeanza kuipa idhini nchi ya UKRAINE fanya mashambulizi ya masafara marefu nchini URUSI, hayo mashambulizi bado hayajaanza kufanyika lakini mchakato wake ndio unazungumzwa sasa.
 
Sio mpaka aseme ukitumia akili unaona kabisa NATO watahusika.mfano hayo makombora ili yafike target zake kwa ufanisi zitahitaji satellites.na satellite anazo NATO hapo bado warushaji lazima wawe wanajeshi wa NATO kwa sababu wanamaarifa ya kuyarusha.
Sijakataa kaka tatizo hujanielewa, hayo makombora ya masafa marefu pindi yakianza kutumika kuelekezwa urusi hapo ndio tutaamini Moja kwa Moja kuwa nato inahusika kwenye vita hivi, hii ni kwa mujibu wa Putin, lakini hivi hivi Bado msione kwamba sifuatilii vita hivi
 
Mwenzako anazungumza X wewe unajibu Y.

kuna nchi now zimeanza kuipa idhini nchi ya UKRAINE fanya mashambulizi ya masafara marefu nchini URUSI, hayo mashambulizi bado hayajaanza kufanyika lakini mchakato wake ndio unazungumzwa sasa.
Wewe ndie mgumu kuelewa kabisa, alafu usidhani kila aliepo kinyume chenu ni adui yenu, mimi sio pro- NATO lakini huu mgogoro naufuatilia tokea mwanzoni, naifahamu nguvu ya urusi pamoja na NATO, sikuzote unapojaribu kutatua mgogoro usiegemee upande mmoja
 
Hakuna maali ameongea kuhusu vita vyake na NATO Bali ni kuionya NATO tu, jamaa mbona unanichosha sana
Hii si mara ya kwanza Putin atoa onyo.

Ila onyo hili lina uzito kuliko maonyo ya huko nyuma.

Kama weye ni mfuatiliaji huwezi kukosa hizi kauli za Russia kutoa onyo kwa NATO kupitia Putin mwenyewe, Lavrov, balozi wao UN na msemaji wa serikali Peskov.

Jiunge na telegram ili upate maarifa zaidi.
 
Wapi sijaelewa?
 
Nchi nyingi za ulaya hazipo interest vita ..nguvu kubwa inakuwa inaendeshwa na usa uingereza na ufarance ..nchi kama Sweden hawawezi kupigana ili kumlinda hagemoon ya USA
 
Sujichanganyi hata kidogo inataka uelewa wa Hali ya juu sana ya siasa za kimataifa.
Ntajitahidi kukuelewesha TU na utanielewa.
Ila majibu yangu Yako wazi kabisa isipokua pengine ni uelewa wako TU wa siasa za Dunia ndio yanakupiga chenga.

Ila kama huoni Hali halisi basi una tatizo mahali.
Iko hivi,Ukraine wanapigana na Urusi Kwa kushirikiana na NATO bega kwa bega.
NATO wanaipa Ukraine Kila aina ya misaada ya Hali na Mali ili kuishinda Urusi.
Yaani katika wanajeshi wa Ukraine Kuna wanajeshi kamili wa NATO wala sio mamluki au askari wa kukodiwa bali ni wanajeshi rasmi wa NATO wanapigana kwa kubeba bunduki,kuendesha mitambo,kutafuta taarifa kuchakata habarima kuwapa jeshi la Ukraine,kutoa mafunzo kwa jeshi la Ukraine ndani na nje ya Ukraine,kuonesha sehemu za kupiga na hatimae kupiga malengo.
Sehemu kubwa ya mambo haya Ukraine Hana utaalamu Bali anapewa na NATO.
NATO wanatamani sana waingie kwa uwazi kama walivyofanya kwa nchi nyingine lakini wanaogopa kuingia waziwazi kwa sababu wanajua uwezo wa Urusi kujibu mapigo sio sawa na nchi walizojiinhiza mfano Libya,Iraq, Yugoslavia na Afghanistan .
Tumeshuhudia wanajeshi wa NATO kamili,naposema kamili simaanishi wale mercenaries wanaotoka nchi nyingine kuja kupigana Kwa malipo hapana,namaanisha wanajeshi kamili wa NATO wameuawa vitani,mfano kutoka USA,UK,France, German, Poland,Canada ,Sweden,Finland n.k.
Tumeshuhudia wengi wa wanajeshi wa NATO wamefukiwa kwenye mahandaki baada ya kulipuliwa na Islander missile za Urusi.
NATO Kam NATO wamekua wakikaa vikao kujadili kuishinda Urusi.
NATO wametoa matamko ya kuishinda urusi.na mambo mengi tu tumeshuhudia.
Shida ni moja watu pamoja na wewe wanataka waone NATO wameingia waziwazi kupigana na Urusi lakini hicho ndicho NATO wanaogopa kukifanya wanaona ni Bora wapigane nyuma ya ukraine kwa ujanja kwamba Wanamsaidia .

Hii makala hapa chini inaweza kukuonesha ushiriki kamili w NATO.
NATO wanakuambia wako tayari kupigana na Urusi Kwa miaka hat kumi na wamewataka ulaya wawe tayari kwa Hali hiyo.

Europe must brace for decade of Ukraine war - Nato chief
BBC
18 July 2024
Europe must be prepared for a decade of Ukranian war, the outgoing secretary general of Nato has warned.

Speaking to the BBC, Jens Stoltenberg said the "paradox" of the war in Ukraine is the longer the western military alliance commits to fighting the war, the faster a resolution will be reached.

Asked if Nato allies had to be prepared for the conflict in Ukraine going on for more than 10 years, Mr Stoltenberg said: "Yes."

He added: "But the main message is that the stronger the support for Ukraine and the longer we are willing to commit, the sooner this war can end.

"When we communicate very clearly that we are here for long haul, that we have strong enduring support for Ukraine, then we have the conditions for a solution where Ukraine prevails as a sovereign independent state."

It comes as Nato announced a command unit to coordinate support for Ukraine will be operational in Germany from September.

"This will provide more predictability and accountability and support and it will also demonstrate our enduring commitment to support Ukraine," Mr Stoltenberg said.

"The time to stand up for freedom and democracy is now and the place is Ukraine."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…