Russia sio taifa jepesi uliwekee vikwazo na viwaathiri kaka.Vikwazo vya kiuchumi ni vibaya sana mkuu wangu jaribu kuangalia miaka ijayo mbeleni, ziangalie nchi kama Venezuela, Syria nchi zenye utajiri wa mafuta bila vikwazo vya marekani zisingekuwa hapo zilipo, iangalie north Korea tokea 1950 baada ya kuwekewa vikwazo wao wameona nibora pesa zote ziende jeshini tu, hata kwa hapa Africa iangalie Zimbabwe, kaka vikwazo sio vya kuombea kabisa hata kwa hiyo marekani
Japo sio hodari sana katika history, USSR ilivunjika baada ya kufirisika kutokana na vita..,hasa Ile aliyopigana Miaka 10 kisha kukimbia huko AfghanistanMkuu unafikiri kwanini USA walifadhili jihadist wa Chechen na Taliban waipindue USSR!??
Kiongozi, kuna kitu kinaitwa Dead Hand.. ni noma hata kama Russia wote wafe.. Mataifa ya Nato hayapo salama.NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
Bila shaka wewe utakuwa pro Russia,Mkuu Nikol Pashinyan aliingia 2018 baada ya kufanya maandamano ya kumtoa madarakani Serzh Sergsyan.
Serzh Sergsyan ndiye ambaye alikua na muunganiko na Western na hao NATO.
Maana ali serve kama President halafu akaja chaguliwa kama Prime minister.
Ndipo watu wakaingia road wakiongozwa na Pashinyan.
Pashinyan alipochaguliwa kuwa waziri mkuu alirudisha uhusiano wa kijeshi na Urusi.
Na ilipotokea Azerbaijan inajiandaa kuirudisha Karabakh Putin alituma wanajeshi wasiopungua 500 kwenda Armenia.
Sasa mkuu hao askari hawakutumwa tu pasi na makubaliano.
Na hao askari wa Urusi walishiriki katika mapigano ya Karabakh zaidi ya askari 150 walifariki hapo wakiwa wanapigana.
Ndio hali kuona ngumu jeshi la Armenia na la Urusi ili pull back maeneo mengi,wakabaki waasi wa kikabila asili ya Armenia wakipambana na Azer,mwishowe waliwekwa chini ya ulinzi.
Azerbaijan ni mtoto wa Uturuki.
Sikatai Armenia ilizingua mwanzo kwa kuwa na shobo na Western Imperialists ila toka 2018 Pashinyan alipoingia madarakani alirudisha ule uhusiano wa kijeshi na Urusi.
Pia jambo la Urusi kumsapoti Armenia pale Karabakh lilikua jambo serious lenye dhamiri kabisa.
Baada ya kuipoteza Nagorno Karabakh Armenia ikaamua kufanya mpango wa kusitisha tena mahusiano ya kijeshi na Urusi.
Hawa Uturuki na Urusi ni watu ambao wanakandanaga kimya kimya,ni marafiki ila kuna muda wakikutana katika sehemu ya maslahi basi wanaumana huku baadae wanapulizana.
Ninaamini sio muda mrefu Russia atashangazwa na hatakuwa na nafasi ya kutumia Nuclear zake.
Una Elimu gani mkuu,Ninaamini sio muda mrefu Russia atashangazwa na hatakuwa na nafasi ya kutumia Nuclear zake.
VyoteKwahyo maana yake nikwamba, ikiwa Ukraine itatumia hizo long range kwa nukuu ya Moscow nikwamba NATO itakuwa imejiingiza direct kwenye vita dhidi ya urusi, kwahyo hapo tutarajie kambi za NATO/ marekani zilizopo ulaya kutiwa viberiti, ngoja tuone itakavokuwa lakini kwa upande mwingine huwezi kupuuza nguvu ya NATO. Vita huwezi kushinda kwa kurusha makombora tu kama anavofanya Israel kule gaza, ni lazima uwe na uwezo wa kutawala anga la adui vikienda sambamba na vikosi vya ardhini
Elimu, Elimu Elimu......Urusi hapigani na NATO bana acha kutudanganya hapa alafu hili mbona kila siku unalirudia? Ingekuwa ni hivyo ungeona makombora yanavypishana huko ulaya pia tungeona silaha Kali Kali kabisa kama su57, f35 nk...
Inachofanya NATO kwasasa ni kutoa tu silaha tena kwa tahadhari kubwa. Acha kudanganya watu kaka
SawaKiongozi, kuna kitu kinaitwa Dead Hand.. ni noma hata kama Russia wote wafe.. Mataifa ya Nato hayapo salama.
Huna hiyo akili,jinsi unavyo logic vitu niwazi una uwezo mdogo sana akiliMimi kichwa changu kikubwa sana tofauti na wengi wenu humu ndio maana hamtanielewa. Ni kama kabla hata ya mgogoro wa Ukraine nilivyokataa kuamini kuwa Russia haiingiliki eti sababu ya Defence systems zake za S400 na S500. Mlisema hata jiwe likirushwa linadunguliwa , mimi nilikataa lakini kama kawaida yenu nyie mkawa mnaona mimi sijui.
SIKU IKATOKEA SATELLITE IMEPIGWA UNITUKANE KWA KUNIITA MWIJAKU
Kwahyo wakati NATO anaweka mipango yote hyo na Russia nae kalala tu ??NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
Hata wafuasi wao humu ndani siunawaona uwezo wao ulivyo wakulogic vitu?? ..Huwezi kuruhusu ushoga then uwe akili sawaHa ha haa,Hawa jamaa kumbe ni wajinga sana tofauti na tunavyowafikiriaga.
Hivi RT moja inaweza kuzishinda CNN,BBC, sky news,dw,fox news, Washington Post, Newsweek etc?.
Aisee inaonekana Hawa jamaa Sasa hivi wanatapatapa,aisee nimekubali Putin ni habari nyingine.
Hawamuwezi aisee kilichobaki ni kumuombea kifo tu.
Hawakua na haja lkn NATO walipeleka ma aircraftcarriers,haya Sasa waambie NATO wapeleke aircraft carriers wakafanye kama Kosovo na Libya.Vip huko Libya sijui Kosovo na kwingineko walikuwa na haja ya kujiunga NATO!?
Kwani nyiePro UkrainNato mlipewa timeframe ya vita kua itaisha lini?Huwezi shinda vita kwa kurusha makombora mazito tuu bila kuhusisha vikosi vya ardhini Israel imejaribu hivyo lakini imeshindwa, tangu mwanzoni mwa vita urusi imevurumisha mamia ya makombora kule Ukraine lakini mpaka Leo vita bado vinaendeleaa, Ukraine nikama Hamas tu imezidiwa lakini haikubali kuweka silaha chini itapigana mpaka tone la mwisho
Halafu anakuja na vijamaswali vyake vya kutegea mende akitegemea atanasa ndege🤣🤣🤣🤣😂😂😀😀Kwani Wanapotoa Silaha kwasababu gani?? Hujui chanzo cha hii vita kumbe wala hujui kinachopiganiwa hapo sasa mzee wa maramani ntakusaidiaje,??
Hapa ndipo Mimi mnaponifurahishaga wataalamu wa Tanzania mnapowaponda majenerali wa Urusi.Huwezi shinda vita kwa kurusha makombora mazito tuu bila kuhusisha vikosi vya ardhini Israel imejaribu hivyo lakini imeshindwa, tangu mwanzoni mwa vita urusi imevurumisha mamia ya makombora kule Ukraine lakini mpaka Leo vita bado vinaendeleaa, Ukraine nikama Hamas tu imezidiwa lakini haikubali kuweka silaha chini itapigana mpaka tone la mwisho