kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
The Ukrainian Armed Forces advanced into the gray zone Medvezhye, Obod and Otd. Komsomolskoye. The Ukrainian Armed Forces have advanced and are already fighting in the Tetkino district of Russia.kp kipanya44 upo?? Hawa hapa wamagharibi wengine wanaoaminika! Endelea kumeza hata kama chungu!
Deadly shelling in Ukraine's Pokrovsk as Russia gains ground
Russian shelling killed one person in the eastern Ukrainian city of Pokrovsk on Sunday, local authorities said, as Moscow's troops inched closer to the key logistics hub.
Issued on: 15/09/2024 - 18:49
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
Kwa hy wewe unakili sana au intelligentsia yako ni kubwa kushinda wamarekani ambao wanamuogopa north korea kuanzisha vita naye miaka na miaka wenyewe vita yao ni porojo vitisho na kumjazia mavikwazo lkn hawaanzishi vita unazani hawajui moto wa north korea unacheza ww ile sio libya broo
Ah wapi tatizo lenu mtu akiandika tofauti na ninyi mnaita mjuaji, mnapenda muandikiwe mambo mnayoyapenda nyinyi tu. Alafu mimi sijaidharau N. Korea hata kidogo lakini ifike maali tuache tabia ya kusifia vitu vya kijinga, hiyo N. Korea Bado inajitafuta miaka hii, anafanya majaribio ambayo wenzake kina china, marekani, Urusi imefanya miaka kibao uliopita, yaani hiyo mikwara ya bwana Kim ndio inakufaya uipe nguvu ya kushinda vita dhidi ya marekani, Urusi, china?Bado tatizo letu Watanzania la ujuaji liko pale pale.
Yaani kwa ujasiri mkubwa kabisa unaidharau north Korea kua eti ana vitisho na mikwara ambayo haiwezi kushinda vita.
Hivi nyie watanzania hua mnajuaje mambo ya mbele ambaya hata hayajatokea?
Iko hivi north Korea anafanya majaribio ya kurusha makombora ya masafa marefu na Dunia nzima inashuhudia na wataalamu wa maroketi wanapima kujua na kuthibitisha umbali ambao roketi limeenda.
Kibaya zaidi hata wataalamu wa maroketi wa USA wanathibitisha hilo,Sasa hapa wewe Mtanzania mwenzangu unawezaje kudharau uwezo huo wa KK?
Sio TU wataalamu wa USA Bali wataalamu wa Japan,Korea kusini,china,Urusi, Australia na kwingineko wanathibitisha umbali na uwezo wa roketi.
USA siku zote anapenda kuzipiga nchi nyumbani kwao,lakini Korea kaskazini anaiogopa Kwa kua inaweza kupeleka vita USA.
Korea kaskazini Ina satellite zake angani,Ina nyambizi na aina ya silaha zinazoweza kuleta madhara kwa USA, unawezaje kuidharau nchi hii ambayo USA mwenyewe anaiheshimu?
Kusema kweli sisi watanzania ni wajuaji sana.
Kwa mawazo yangu hakuna nchi ya magharibi itaweza kumudu vita na Urusi, Urusi size yake ni marekani pekee,PUTIN(kadri nchi za magharibi zinavyoendelea kutoa silaha za aina tofauti tofauti kwa Ukraine,basi ivyo ivyo watakutana na matokeo tofauti tofauti ya kushangaza kwenye migogoro yao)
Leo Yemen wamerusha hypersonic ballistic missile kuelekea Israel.kombora ambalo nchi za Magharibi wameshindwa kutengeneza ila waasi wa Yemen wametengeneza.
Sasa ndo nimeanza kumuelewa PUTIN alikuwa anamanisha nini.
Jamaa mawazo Yao ni kuvamiana tu., haiwezi kupita siku bila kuhoji kwa nini NATO hawaivamii urusi!Alafu mnataka marekani aivamie N. Korea kwanini yani, aivamie kwasababu zipi?
Mawazo ya kijinga sana hayoJamaa mawazo Yao ni kuvamiana tu., haiwezi kupita siku bila kuhoji kwa nini NATO hawaivamii urusi!
Hivi mrusi akianza biashara ya kuyauza hayo ma-vyuma chakavu si atapiga hela!!
Hebu alifikirie hilo.kuna sisi warusi wa buza tunatamani hata tuwe nalo kama ukumbusho kwa
KIpanya Soooomaaaa hiyooo au mwambie Injinia Bwire akusomeee hapooo..kp kipanya44 , haya meza na hii hata kama chungu! Wamagharibi hao ujue!
Russian troops on frontlines proving a challenge for Ukrainians - UK MoD
The UK's Ministry of Defence (MoD) has outlined the struggles Ukraine is facing on multiple areas of the frontline.
In an update earlier today, it said Russian troops are continuing "high tempo" offensive operations.
"Russian forces have attacked Ukrainian positions in the west of the salient and have highly likely retaken several villages," it added.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Bdo haoni kua nato sio sehemu sahihiIla zele Mjinga sana anawaponda wafadhiri waziwazi.aisee hii Dunia ngumu sana
13 SEP, 19:01
West afraid to even discuss interception of Russian missiles over Ukraine, Zelensky admits
MOSCOW, September 13. /TASS/. Western states are unwilling to even talk about the option of their participation in Ukrainian air defense and are afraid to discuss this topic, Ukrainian President Vladimir Zelensky said.
"When we raise this issue with our partners, everyone seeks to muddle this topic, frankly, and they are afraid to even say ‘we are working on it.’ Even these words scare them. It’s true," he said, speaking at the so-called Yalta European Strategy conference.
Zelensky noted that Western states did discuss ensuring Israel’s air defense during the Iranian attack on April 13, but they refuse to make the same steps for Ukraine. According to Zelensky, "this is embarrassing for the democratic world."
Previously, Polish Foreign Minister Radoslaw Sikorski said in an interview with The Financial Times that Poland and other countries bordering Ukraine could down missiles over Ukraine that presumably head towards their borders. Meanwhile, NATO stated that the alliance’s member states always hold consultations before taking any action that affect the common security.
Hata nyie hua hampendi kupingwa pale tunapowajibu hoja zenu,kwa kuonesha kua west sio Kila kitu,Kuna nchi za east pia zina uwezo hata kushinda West.Hiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekani
Leo inaonekana unataka kukana maandiko Yako.Ah wapi tatizo lenu mtu akiandika tofauti na ninyi mnaita mjuaji, mnapenda muandikiwe mambo mnayoyapenda nyinyi tu. Alafu mimi sijaidharau N. Korea hata kidogo lakini ifike maali tuache tabia ya kusifia vitu vya kijinga, hiyo N. Korea Bado inajitafuta miaka hii, anafanya majaribio ambayo wenzake kina china, marekani, Urusi imefanya miaka kibao uliopita, yaani hiyo mikwara ya bwana Kim ndio inakufaya uipe nguvu ya kushinda vita dhidi ya marekani, Urusi, china?
Alafu mnataka marekani aivamie N. Korea kwanini yani, aivamie kwasababu zipi?
In short nchi za nato kumejjaa mashoga .hio hari ya Vita ni wanajeshi tuh wanayo wananchi waoga kibaoIla umenichekesha uliposema ni wababe kinyama.
Umenikumbusha Wa Houth,aisee Hawa wahuni waache kabisa,Hawa Mimi nawafananisha na honey badger 🦡,huyu mnyama ni mdogo kwa umbo lkn mtata balaa,haogopi na ,Kuna kipindi hua anakimbiza Simba na chui.
Yaani Houth Hadi Urusi kawakubali,mambo waliyowafanyia west hata Urusi na china hawajafanya Yaani Hawa wakiwezeshwq watatisha.
Hawa akili zao hazitofaitiani sana na watalaban,maana wote ni manunda.
Watalaban nao hawatishiwi na adui yoyote,hawaogopi umbo la adui.
Njoo kwa wavietnam,hawa ni Mbwa wa vita,roho ya paka,Hawa ni no retreat no surrender fighters.
Najaribu kuangalia kama wakiwa upande wa Urusi Hali itakuaje.
North Korea ajawai shinda Vita?..kashinda Vita akiwa katika hali mbaya na rafik Ake mkubwa aliemsaidia ni ChinaHiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekani
Wasipo angalia uchaguzi wa marekani putin anaeza shinda akimuacha mbali Trump na kamala