The UK and the US will be no more kwa kuwa Urusi haita vumilia zaidi,so a nuclear annihilation is what is coming.Without them knowing, the Devil is gathering them for just that.They will utterly destroy each other never to rise again.Kuna jambo linakuja punde pindi storm shadow, ATACMS zitakaporuhusiwa kuipiga Moscow.
Ni jambo Gani tusubiri na kuona
Mr warfare tactics type mbinu zitakazotumika hapoNATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
Kwa mujibu wa Lwiva1 kwa 14 ndiyo ratio ya chini ya vifo baina ya urusi na ukrain....mrusi mmoja waukrain 14
Mzingueni DUBU muone kama hajawashushia hiyo michuma chuma yenu kutoka angani mkauze kama chuma chakavu.Hapa nina uhakika Russia 🇷🇺 wameKuna makala za Marekani nimezisoma zinazungumzia jinsi Majenerali wakubwa wa taifa hilo kubwa wanavyotilia shaka Urusi kuhusu usalama wa Satellite zilizopo anga za mbali huko. Wameonyesha wasiwasi kuwa Russia anaweza kuleta majanga makubwa sana iwapo atashambulia Satellite, na kwamba majanga hayo yataikumba dunia nzima pamoja na yeye mwenyewe.
Nimejiuliza NI KWANINI KATIKA HILI TISHIO LA USALAMA WA SATELLITE LIMEWAGUSA SANA MAREKANI NA KUKOSOA SANA KULIKO HATA OPERESHENI ZINGINE ZINAZOENDELEA HASA UKRAINE. TUNAONA KULE UKRAINE WANAOONGEA SANA NI VIONGOZI WA NATO LAKINI HILI SA SATELLITE WAONGEAJI WAKUBWA NAONA NI MAJENERALI
Mzingueni DUBU muone kama hajawashushia hiyo michuma chuma yenu kutoka angani mkauze kama chuma chakavu.Hapa nina uhakika Russia 🇷🇺 wame
shapata technology mbadala wa satellite,USA wao waendelee tu kuomba lift kwenda space wakati Russia kuna vitu wanaenda kuviacha bila mashoga kugundua.
Kuna makala za Marekani nimezisoma zinazungumzia jinsi Majenerali wakubwa wa taifa hilo kubwa wanavyotilia shaka Urusi kuhusu usalama wa Satellite zilizopo anga za mbali huko. Wameonyesha wasiwasi kuwa Russia anaweza kuleta majanga makubwa sana iwapo atashambulia Satellite, na kwamba majanga hayo yataikumba dunia nzima pamoja na yeye mwenyewe.
Nimejiuliza NI KWANINI KATIKA HILI TISHIO LA USALAMA WA SATELLITE LIMEWAGUSA SANA MAREKANI NA KUKOSOA SANA KULIKO HATA OPERESHENI ZINGINE ZINAZOENDELEA HASA UKRAINE. TUNAONA KULE UKRAINE WANAOONGEA SANA NI VIONGOZI WA NATO LAKINI HILI SA SATELLITE WAONGEAJI WAKUBWA NAONA NI MAJENERALI
Hili dude linaenda kumaliza kazi za mashoga. Satellite za NATO na USA zitakuwa mashakani kama vita ikianza yote yatadunguliwa.Mzingueni DUBU muone kama hajawashushia hiyo michuma chuma yenu kutoka angani mkauze kama chuma chakavu.Hapa nina uhakika Russia 🇷🇺 wame
shapata technology mbadala wa satellite,USA wao waendelee tu kuomba lift kwenda space wakati Russia kuna vitu wanaenda kuviacha bila mashoga kugundua.
Ni jukumu lenu nyinyi pro NATO kutuletea,nadhani Kipanya anatuletea taarifa Kila siku.Wao Russia wamepoteza ngapi mkuu
Ni kwa sababu hatujui idadi kamili ya walioingia,lkn. Wanauliwa Kila siku,hawapati msaada wala hawana uwezo wa kutoka.Kuna uwezekano wa Ukraine kukaa ndani ya Russia huko Kursk zaidi ya mwaka mzima.
Sasa tuambie unaposikia NATO wanasema mashine ya (kusagia nyama )wewe zuzu huwa unaelewa nini ? Kwanini ukreni inaishiwa wanajeshi kila kukicha hadi wanakamata watu mitaani kwa nguvu ? Askari 1 wa urussi ufa kwa ratio ya Askari 8 kwa 14 wa ukrain maana yake kama mrusi kapoteza askari 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 160000 hadi 280000Kwa mujibu wa Lwiva
Sasa Kipanya hutaki hata ajali za moto zitokee Urusi magodoro yakiungua ni shida?According to Russian news, the “largest mattress warehouse in the Russian Federation” caught fire at night in the Moscow region. In the village of Aparinki, not far from Vidnoye, the warehouse of the Matras.ru sleeping products store caught fire at night; the fire area was 4,200 square meters;View attachment 3100974
Itakuwa moto umejenga ukaribu usio na afya na Urusi.Sasa Kipanya hutaki hata ajali za moto zitokee Urusi magodoro yakiungua ni shida?
Picha hii pia kwa sisi tunaoujua haya mambo ni ya kutengeneza HolywoodAccording to Russian news, the “largest mattress warehouse in the Russian Federation” caught fire at night in the Moscow region. In the village of Aparinki, not far from Vidnoye, the warehouse of the Matras.ru sleeping products store caught fire at night; the fire area was 4,200 square meters;View attachment 3100974
Mkuu,tunashindwa tukuweke kundi gani,uko kama Erdogan,rais wa uturukiPicha hii pia kwa sisi tunaoujua haya mambo ni ya kutengeneza Holywood