LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna jambo linakuja punde pindi storm shadow, ATACMS zitakaporuhusiwa kuipiga Moscow.
Ni jambo Gani tusubiri na kuona
The UK and the US will be no more kwa kuwa Urusi haita vumilia zaidi,so a nuclear annihilation is what is coming.Without them knowing, the Devil is gathering them for just that.They will utterly destroy each other never to rise again.
 
NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
Mr warfare tactics type mbinu zitakazotumika hapo
 
Kuna makala za Marekani nimezisoma zinazungumzia jinsi Majenerali wakubwa wa taifa hilo kubwa wanavyotilia shaka Urusi kuhusu usalama wa Satellite zilizopo anga za mbali huko. Wameonyesha wasiwasi kuwa Russia anaweza kuleta majanga makubwa sana iwapo atashambulia Satellite, na kwamba majanga hayo yataikumba dunia nzima pamoja na yeye mwenyewe.

Nimejiuliza NI KWANINI KATIKA HILI TISHIO LA USALAMA WA SATELLITE LIMEWAGUSA SANA MAREKANI NA KUKOSOA SANA KULIKO HATA OPERESHENI ZINGINE ZINAZOENDELEA HASA UKRAINE. TUNAONA KULE UKRAINE WANAOONGEA SANA NI VIONGOZI WA NATO LAKINI HILI SA SATELLITE WAONGEAJI WAKUBWA NAONA NI MAJENERALI
Mzingueni DUBU muone kama hajawashushia hiyo michuma chuma yenu kutoka angani mkauze kama chuma chakavu.Hapa nina uhakika Russia 🇷🇺 wame
shapata technology mbadala wa satellite,USA wao waendelee tu kuomba lift kwenda space wakati Russia kuna vitu wanaenda kuviacha bila mashoga kugundua.
 
Shambulizi la Ukraine, lasababisha maafa Russia​

19 Septemba, 2024
dbc5098c-196b-4ce0-9738-b2bad7a301d6_w1080_h608_s.jpg

===
Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine, la Jumatano kwenye ghala la Russia, limesababisha mlipuko kama wa tetemeko la ardhi na kuwasha moto ambao ulilazimisha kuhamishwa kwa mji katika mkoa wa Tver nchini Russia.
“Adui alishambulia ghala la risasi katika eneo la Toropets,” amesema Yuri Podolyaka, mzaliwa wa Ukraine, mwanablogu wa kijeshi anayeunga mkono Russia, shirika la habari la Reuters limeripoti.
Wachunguzi wa tetemeko la ardhi walichukulia tukio hilo kama tetemeko la ardhi, na satelaiti za NASA zilibainisha chanzo kikubwa cha joto katika eneo hilo hilo. Igor Rudenya, gavana wa eneo la Tver, amesema kwenye mtandao wa Telegram kwamba ndege zisizo na rubani zilitunguliwa na moto uliwaka, lakini hali hiyo ilidhibitiwa.
Reuters imeonyesha kile ilichosema video ambayo haijathibitishwa ya mlipuko wa ghala kwa taasisi ya George William Herbert.
 
Hili dude linaenda kumaliza kazi za mashoga. Satellite za NATO na USA zitakuwa mashakani kama vita ikianza yote yatadunguliwa.

View: https://youtu.be/_ORCYr_4ouw?si=Pc6EyPMd5qx69Xs5
 
Kuna uwezekano wa Ukraine kukaa ndani ya Russia huko Kursk zaidi ya mwaka mzima.
Ni kwa sababu hatujui idadi kamili ya walioingia,lkn. Wanauliwa Kila siku,hawapati msaada wala hawana uwezo wa kutoka.
Watazunguka ndani Kwa ndani na wanazidi kubanwa Kila siku mwisho wa siku watazidiwa TU.
Idadi Yao inazidi kupungua siku Hadi siku.
 
Kwa mujibu wa Lwiva
Sasa tuambie unaposikia NATO wanasema mashine ya (kusagia nyama )wewe zuzu huwa unaelewa nini ? Kwanini ukreni inaishiwa wanajeshi kila kukicha hadi wanakamata watu mitaani kwa nguvu ? Askari 1 wa urussi ufa kwa ratio ya Askari 8 kwa 14 wa ukrain maana yake kama mrusi kapoteza askari 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 160000 hadi 280000
 
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
20 SEP, 03:26
Russia’s Akhmat special force destroys military storage facility in Kursk direction

MOSCOW, September 20. /TASS/. Units of Russia’s Akhmat special force destroyed one self-propelled artillery weapon, one armored personnel carrier and an ammunition storage facility in the Kursk direction, says Maj. Gen. Apty Alaudinov, the deputy chief of the Main Military-Political Directorate of the Russian Armed Forces and the commander of the Akhmat special forces unit.

"We eliminated one armored personnel carrier and one self-propelled artillery weapon, then blew up an ammunition storage facility where several military vehicles were stored," he wrote on Telegram. "We blew it up shortly after a delivery arrived there.".
 
Pamoja na msaada wote ambao Ukraine anapewa na NATO lakini zele anakili mziki wa Urusi.
Hii maana yake NATO wote wanapata taabu sana.

MILITARY OPERATION IN UKRAINE
20 SEP, 02:42
Zelensky says Ukrainian troops in extremely difficult situation in two DPR areas

MOSCOW, September 20. /TASS/. Ukrainian troops found themselves in an extremely difficult situation in two Kiev-controlled areas of the Donetsk People’s Republic (DPR), President Vladimir Zelensky said.

"The situation [on the frontline] remains extremely difficult. Heavy fighting takes place every day in the Kurakhovo and Pokrovsk [Krasnoarmeysk] directions," the president said in a video address, posted on his Telegram channel.

The Ukrainian General Staff said on its Telegram channel on September 10 that the situation for the Ukrainian army remained difficult along the entire front line.

Ukrainian Commander-in-chief Alexander Syrsky admitted in early September that the troops being sent to the frontline lacked training. He also complained about Russia’s superiority in aircraft, missiles, artillery, tanks, ammunition and personnel.
 
1
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
20 SEP, 00:00
Lifting ban on strikes deep into Russia won't help Ukraine much — Pentagon

WASHINGTON, September 19. /TASS/. The US administration does not believe that the use of Western long-range weapons against Russia will help Ukraine turn the tide on the battlefield in its favor, Pentagon Deputy Press Secretary Sabrina Singh said at a regular briefing for reporters.

She emphasized that the US policy on this matter "has not changed." According to Singh, Defense Secretary Lloyd Austin has "been very clear" that a potential lifting of restrictions won’t be "a silver bullet." "It's not one capability that's going to win the war, or suddenly, you know, unlock something for the Ukrainians," she said.

Earlier, Russian President Vladimir Putin told reporters that Ukraine is unable to strike deep into Russian territory without Western help because it needs intelligence from satellites and flight missions to do so. He pointed out that NATO countries are now not only debating Kiev's possible use of Western long-range weapons, but are actually deciding whether to get directly involved in the Ukrainian conflict. Putin emphasized that Moscow would make its decisions based on the threats posed to Russia.

Russian Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov, for his part, said that Moscow was aware of the West's decision to attack deep into Russian territory and to send appropriate signals to Kiev. According to him, Russia will respond to the strikes in a decisive manner.
 
Kursk imekua machinjio ya silaha za NATO na watu wa NATO waliokua wanaziendesha.
Baada ya muda Urusi watakua na malighafi nyingi sana.

Russian forces destroy newest German-made tank (VIDEO)

Video footage shows a Ukrainian Leopard 2 being reduced to a smoldering wreck in Kursk Region
Source: Telegram/divgen

The Russian military has destroyed a German-made Leopard 2 tank in Russia’s Kursk Region, as Ukraine’s ill-fated attempt to hold on to Russian territory drags on. Video footage shows the tank suffering multiple hits from kamikaze drones.
 
According to Russian news, the “largest mattress warehouse in the Russian Federation” caught fire at night in the Moscow region. In the village of Aparinki, not far from Vidnoye, the warehouse of the Matras.ru sleeping products store caught fire at night; the fire area was 4,200 square meters;
1726822349231.jpg
 
According to Russian news, the “largest mattress warehouse in the Russian Federation” caught fire at night in the Moscow region. In the village of Aparinki, not far from Vidnoye, the warehouse of the Matras.ru sleeping products store caught fire at night; the fire area was 4,200 square meters;View attachment 3100974
Sasa Kipanya hutaki hata ajali za moto zitokee Urusi magodoro yakiungua ni shida?
 
According to Russian news, the “largest mattress warehouse in the Russian Federation” caught fire at night in the Moscow region. In the village of Aparinki, not far from Vidnoye, the warehouse of the Matras.ru sleeping products store caught fire at night; the fire area was 4,200 square meters;View attachment 3100974
Picha hii pia kwa sisi tunaoujua haya mambo ni ya kutengeneza Holywood
 
Back
Top Bottom