LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hawezi kukuelewa huyo mkuu. Unapigia mbusi gitaa
 
Kaka Israel Bado ina silaha nzito kuizidi hiyo Hezbollah, kuna silaha kama Jericho III, F35, nyambizi, nuclear, huwezi pima mzani kwa kulinganisha Israel na Hezbollah,

Alafu nitajie AD yenye performance nzuri duniani kuizidi iron dome
duh jamaa kweli yuko zero ,analinganisha israel na kundi la kigaidi
 
Rais wa ukraine,volodomyr zelesnky,amewasili marekani kuwasilisha mpango wa amani na urusi kwa rais wa taifa hilo,pia atawasilisha mpango huo kwa wagombea urais kamala na trump
Hatua hiyo yaja baada ya vita vya muda mrefu vilivyoibomoa ukraine na kumuingiza katika madeni kwa nchi magharibi
 
duh jamaa kweli yuko zero ,analinganisha israel na kundi la kigaidi
We uliona tulipoanzia ni wapi ama unaropoka tu!?
Hizbollah sio kikundi cha kigaidi bali ni kikundi cha wapiganaji chenye mlengwa wa kisiasa Lebanon.
Kama 2006 hiko kikundi kilimpiga Israel je kwanini nisikilinganishe!?
Hiko kikundi kina silaha nzito kuliko taifa lako la Tanzania,je unalijua hilo!?
 
m
MKUU UNAZUNGUMZIA ILE VITA YA MWAKA 2006 AMBAYO ILICHUKUA MWEZI MMOJA?KWA HIYO ISRAELI ALIPIGWA NDANI YA MWEZI NA HEZBOLLAH?ILE ILIKUA KUSHINDWA KIMKAKATI ILA SIYO KWAMBA HEZBOLAH WANA UWEZO KUMZID ISRAEL.MFANO VITA YA UKRAINE NI WAZ RUSSIA KASHINDWA KIMKAKATI HAD MDA HUU SEMA YEYE ANAKOMAA TUU . HII HAIMAANISHI KWAMBA UKRAINE ANA NGUVU KULIKO RUSSIA
 
Ona unavyochanganya madesa.
Nani kakwambia Russia kashindwa kimkakati!?
Kama kashindwa kimkakati angekua anaimiliki 18% ya ardhi ya Ukraine!??
Angekua kaishiwa mikakati angeweza kulisambaratisha jeshi la Ukraine hadi wanaokoteza wazee mitaani kuwalazimisha waingie vitani!??
Kinachomfanya Russia kuchukua muda kwenye hii vita ni usaidizi wa NATO kwa Ukraine.
Laa sivyo hii vita isingechukua muda.
Na hadi sasa tunaona kuwa Ukraine ameelemewa bila ubishi.

Bint Jubeir IDF walizidiwa nguvu na waka pull back hadi Shebah farms.
Walisogezwa nyuma kwa mapigano na askari wao wanne walishindwa kuwakomboa.
Je Russia ulimuoa aki pull back sehemu yeyote kuonesha ishara ya kushindwa kama Israel 2006 Bint Jubeir!??

Nasubiri jibu.
 
VUTA KUMBUKUKUMBU LENGO LA RUSSIA ILIKUA KUITEKA KYIV,JE ALIFANIKIWA?PILI ALAFU 15% UNAYOSEMA INAJUMUISHA CRIMEA NA MAENEO YA DOMBAS ILIYOCHUKUA 2014,SO NAVYOSEMA KIMKAKATI NAMAANISHA ANACHOKITAFUTA RUSSIA NA GHARAMA ANAZOINGIA HAVIENDANI,ISRAELI KIPIND ILE ISINGEWEZA KUGHARIMU JESHI LAKE KUENDELEA NA VITA KUKOMBOA WANAJESHI 2,HIVYO WALISHINDWA KIMKAKATI
 
Mwenzako anaamini hio irone dome ni takatifu inalindwa na bwana
 
Kundi likiwa na WAHA wengi na WAZARAMO kunakuwa na shida sana kwasababu Muha yeye ni kubisha tu na hakubali ashindwe UBISHI. MZARAMO yeye kazi ni KUZODOA tu na KUSUTA, tena huwa anapanga kabisa safari kutoka Mbagala hadi Kisarawe kwa kazi hiyo tu , na anapitia wenzake.

Hebu acheni kuchambana humu. Leteni updates za uwanja wa vita
 
Asilimia 18 sio 15.
Asilimia 18 haihusiani na Crimea.
Hayo ni mahesabu ya Mariupol,Kharkiv,Donbas,Donetsk n.k n.k.
NAKUBALI sio kila mkakati wa Russia umefanikiwa ila kuna asilimia kubwa ya mikakati yake kufanikiwa kuliko kufeli.
Kumbuka Ukraine ina jeshi kamili la nchi,sio kitu chepesi kuteka mji mkuu wa nchi sio rahisi kabisa.

*Israel haikurudi nyuma kwa kupenda ama kutaka ila kwa hasara ya vifo vya wanajeshi iliwapaswa warudi nyuma.
Na lengo lao halikua tu kukomboa askari wao bali ilikua kuweka BUFFER ZONE Bint Jubeir kama ilivyo Gollan heights.
Ila mashambulizi yaliwarudisha nyuma.
Ukiwa unasema hivyo ukumbuke 2021 Hamas ilimficha askari mmoja tu wa IDF na Israel ilitumia vikosi vingi na silaha nyingi kumsaka na kufanya sana uharibifu Northern Gaza.
Mwishowe wakakubali wabadilishane wafungwa 500+ kwa askari mmoja wa IDF.
 
let us be honest to ourselves,IDF imeizidi mbali hezbollah ila pia hezbollah kuna developments nyingi sana amezipiga hasa za kiteknlojia lakini haiondoi ukweli kuwa izraeli yuko juu ya proxies zote zilizopo middlea east, waarabu wana kazi ya ziada ya kufanya
 
Hizbollah haipo peke yake hilo ndio tatizo.
Hata hiyo supremacy aliyo nayo Israel ni kutokana na mutual diplomatic relation kati yake na USA, Germany,UK.
Laa sivyo asingesalia hapo middle east.
Hizbollah inatamba kwasababu asilimia 80 ya silaha anatoa Iran.
Pia hata ikionekana jeshi kuzidiwa nguvu wanajeshi wa IRGC Iran wanakuja kutia nguvu.
Hizbollah ni Iran nyuma ya pazia.
 
NI TYPING TUU ,MKUU KAPITIE MADESA KIDOGO RUSSIA HAJACHUKUA 18% YA ARDHI YA UKRAINE KWA VITA HIVI VYA MIAKA 2.5.KACHEK VIZURI FILE ZAKO.
MKUU KUSHINDWA KIMKAKATI MAANA YAKE NI KUSHINDWA KURECOGNIZE RISK ,COSTS,NA UKUBWA WA OPERATION(HAPA IKIWEPO MDA).
RUSSIA GHARAMA ANAZOINGIA NI KUBWA MNO ,KULINGANISHA NA ALICHOPATA MIAKA HII 2.5,PIA RISK NI KUBWA SANA KWA TAIFA HILO KUYUMBA KIUCHUMI,VITA KUPANUKA ZAIDI,VITA KUCHUKUA MDA MWINGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…