Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ndiomaana nimemuacha😀Duh! 🤷
Hawezi kukuelewa huyo mkuu. Unapigia mbusi gitaa😂😂😂😂😂Bro unajitahidi kuitetea sana hiyo Iron dome ila ni paper tiger.
Khordak ina ufanisi kuliko hata hiyo Iron dome.
Hivi unajua kaka kama drone ni ngumu kudetect kuliko makombora!?
Unalikumbuka lile tukio la Iran kushusha drone nne za USA 2013 pasi na kuzidungua!??
Kazi ya khordak ile.
Halafu uifananishe Khordak na iron dome??
duh jamaa kweli yuko zero ,analinganisha israel na kundi la kigaidiKaka Israel Bado ina silaha nzito kuizidi hiyo Hezbollah, kuna silaha kama Jericho III, F35, nyambizi, nuclear, huwezi pima mzani kwa kulinganisha Israel na Hezbollah,
Alafu nitajie AD yenye performance nzuri duniani kuizidi iron dome
sawa msemaji wa jeshi la urusi ukiwa katika nchi maskiniNi kwa sababu hatujui idadi kamili ya walioingia,lkn. Wanauliwa Kila siku,hawapati msaada wala hawana uwezo wa kutoka.
Watazunguka ndani Kwa ndani na wanazidi kubanwa Kila siku mwisho wa siku watazidiwa TU.
Idadi Yao inazidi kupungua siku Hadi siku.
We uliona tulipoanzia ni wapi ama unaropoka tu!?duh jamaa kweli yuko zero ,analinganisha israel na kundi la kigaidi
mWe uliona tulipoanzia ni wapi ama unaropoka tu!?
Hizbollah sio kikundi cha kigaidi bali ni kikundi cha wapiganaji chenye mlengwa wa kisiasa Lebanon.
Kama 2006 hiko kikundi kilimpiga Israel je kwanini nisikilinganishe!?
Hiko kikundi kina silaha nzito kuliko taifa lako la Tanzania,je unalijua hilo!?
MKUU UNAZUNGUMZIA ILE VITA YA MWAKA 2006 AMBAYO ILICHUKUA MWEZI MMOJA?KWA HIYO ISRAELI ALIPIGWA NDANI YA MWEZI NA HEZBOLLAH?ILE ILIKUA KUSHINDWA KIMKAKATI ILA SIYO KWAMBA HEZBOLAH WANA UWEZO KUMZID ISRAEL.MFANO VITA YA UKRAINE NI WAZ RUSSIA KASHINDWA KIMKAKATI HAD MDA HUU SEMA YEYE ANAKOMAA TUU . HII HAIMAANISHI KWAMBA UKRAINE ANA NGUVU KULIKO RUSSIAWe uliona tulipoanzia ni wapi ama unaropoka tu!?
Hizbollah sio kikundi cha kigaidi bali ni kikundi cha wapiganaji chenye mlengwa wa kisiasa Lebanon.
Kama 2006 hiko kikundi kilimpiga Israel je kwanini nisikilinganishe!?
Hiko kikundi kina silaha nzito kuliko taifa lako la Tanzania,je unalijua hilo!?
Ona unavyochanganya madesa.m
MKUU UNAZUNGUMZIA ILE VITA YA MWAKA 2006 AMBAYO ILICHUKUA MWEZI MMOJA?KWA HIYO ISRAELI ALIPIGWA NDANI YA MWEZI NA HEZBOLLAH?ILE ILIKUA KUSHINDWA KIMKAKATI ILA SIYO KWAMBA HEZBOLAH WANA UWEZO KUMZID ISRAEL.MFANO VITA YA UKRAINE NI WAZ RUSSIA KASHINDWA KIMKAKATI HAD MDA HUU SEMA YEYE ANAKOMAA TUU . HII HAIMAANISHI KWAMBA UKRAINE ANA NGUVU KULIKO RUSSIA
VUTA KUMBUKUKUMBU LENGO LA RUSSIA ILIKUA KUITEKA KYIV,JE ALIFANIKIWA?PILI ALAFU 15% UNAYOSEMA INAJUMUISHA CRIMEA NA MAENEO YA DOMBAS ILIYOCHUKUA 2014,SO NAVYOSEMA KIMKAKATI NAMAANISHA ANACHOKITAFUTA RUSSIA NA GHARAMA ANAZOINGIA HAVIENDANI,ISRAELI KIPIND ILE ISINGEWEZA KUGHARIMU JESHI LAKE KUENDELEA NA VITA KUKOMBOA WANAJESHI 2,HIVYO WALISHINDWA KIMKAKATIOna unavyochanganya madesa.
Nani kakwambia Russia kashindwa kimkakati!?
Kama kashindwa kimkakati angekua anaimiliki 18% ya ardhi ya Ukraine!??
Angekua kaishiwa mikakati angeweza kulisambaratisha jeshi la Ukraine hadi wanaokoteza wazee mitaani kuwalazimisha waingie vitani!??
Kinachomfanya Russia kuchukua muda kwenye hii vita ni usaidizi wa NATO kwa Ukraine.
Laa sivyo hii vita isingechukua muda.
Na hadi sasa tunaona kuwa Ukraine ameelemewa bila ubishi.
Bint Jubeir IDF walizidiwa nguvu na waka pull back hadi Shebah farms.
Walisogezwa nyuma kwa mapigano na askari wao wanne walishindwa kuwakomboa.
Je Russia ulimuoa aki pull back sehemu yeyote kuonesha ishara ya kushindwa kama Israel 2006 Bint Jubeir!??
Nasubiri jibu.
Mwenzako anaamini hio irone dome ni takatifu inalindwa na bwana😂😂😂😂😂Bro unajitahidi kuitetea sana hiyo Iron dome ila ni paper tiger.
Khordak ina ufanisi kuliko hata hiyo Iron dome.
Hivi unajua kaka kama drone ni ngumu kudetect kuliko makombora!?
Unalikumbuka lile tukio la Iran kushusha drone nne za USA 2013 pasi na kuzidungua!??
Kazi ya khordak ile.
Halafu uifananishe Khordak na iron dome??
Asilimia 18 sio 15.VUTA KUMBUKUKUMBU LENGO LA RUSSIA ILIKUA KUITEKA KYIV,JE ALIFANIKIWA?PILI ALAFU 15% UNAYOSEMA INAJUMUISHA CRIMEA NA MAENEO YA DOMBAS ILIYOCHUKUA 2014,SO NAVYOSEMA KIMKAKATI NAMAANISHA ANACHOKITAFUTA RUSSIA NA GHARAMA ANAZOINGIA HAVIENDANI,ISRAELI KIPIND ILE ISINGEWEZA KUGHARIMU JESHI LAKE KUENDELEA NA VITA KUKOMBOA WANAJESHI 2,HIVYO WALISHINDWA KIMKAKATI
let us be honest to ourselves,IDF imeizidi mbali hezbollah ila pia hezbollah kuna developments nyingi sana amezipiga hasa za kiteknlojia lakini haiondoi ukweli kuwa izraeli yuko juu ya proxies zote zilizopo middlea east, waarabu wana kazi ya ziada ya kufanyaWe uliona tulipoanzia ni wapi ama unaropoka tu!?
Hizbollah sio kikundi cha kigaidi bali ni kikundi cha wapiganaji chenye mlengwa wa kisiasa Lebanon.
Kama 2006 hiko kikundi kilimpiga Israel je kwanini nisikilinganishe!?
Hiko kikundi kina silaha nzito kuliko taifa lako la Tanzania,je unalijua hilo!?
Hizbollah haipo peke yake hilo ndio tatizo.let us be honest to ourselves,IDF imeizidi mbali hezbollah ila pia hezbollah kuna developments nyingi sana amezipiga hasa za kiteknlojia lakini haiondoi ukweli kuwa izraeli yuko juu ya proxies zote zilizopo middlea east, waarabu wana kazi ya ziada ya kufanya
NI TYPING TUU ,MKUU KAPITIE MADESA KIDOGO RUSSIA HAJACHUKUA 18% YA ARDHI YA UKRAINE KWA VITA HIVI VYA MIAKA 2.5.KACHEK VIZURI FILE ZAKO.Asilimia 18 sio 15.
Asilimia 18 haihusiani na Crimea.
Hayo ni mahesabu ya Mariupol,Kharkiv,Donbas,Donetsk n.k n.k.
NAKUBALI sio kila mkakati wa Russia umefanikiwa ila kuna asilimia kubwa ya mikakati yake kufanikiwa kuliko kufeli.
Kumbuka Ukraine ina jeshi kamili la nchi,sio kitu chepesi kuteka mji mkuu wa nchi sio rahisi kabisa.
*Israel haikurudi nyuma kwa kupenda ama kutaka ila kwa hasara ya vifo vya wanajeshi iliwapaswa warudi nyuma.
Na lengo lao halikua tu kukomboa askari wao bali ilikua kuweka BUFFER ZONE Bint Jubeir kama ilivyo Gollan heights.
Ila mashambulizi yaliwarudisha nyuma.
Ukiwa unasema hivyo ukumbuke 2021 Hamas ilimficha askari mmoja tu wa IDF na Israel ilitumia vikosi vingi na silaha nyingi kumsaka na kufanya sana uharibifu Northern Gaza.
Mwishowe wakakubali wabadilishane wafungwa 500+ kwa askari mmoja wa IDF.