Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Unaongela hii sio? Ni habar 2 tofauti.Hii failure test ya sarmat bila nuclear warhead, yenye nuclear warhead walifanya 2023, ambayo ilikuwa successful
Nadhani hii wanataka iwe na non nuclear with powerful kinetic energy Ili waitumie Ukraine kama West wakiruhisu deep strike ndani ya Urusi
USA naye kasubiria huo ujinga atakaoufanya IranHizbollah haipo peke yake hilo ndio tatizo.
Hata hiyo supremacy aliyo nayo Israel ni kutokana na mutual diplomatic relation kati yake na USA, Germany,UK.
Laa sivyo asingesalia hapo middle east.
Hizbollah inatamba kwasababu asilimia 80 ya silaha anatoa Iran.
Pia hata ikionekana jeshi kuzidiwa nguvu wanajeshi wa IRGC Iran wanakuja kutia nguvu.
Hizbollah ni Iran nyuma ya pazia.
Unaelewa maana ya " it is alleged "Kuna source nimekuwekea juu hapo nenda kasome acha blah blah.
Ni nini kinakufanya uhisi source yako ya telegram Iko sahihi kuliko nilichosema, sababu hata wa telegram hakuwa site, what if yeye kakosea au kaandika kwa emotional kutegemea na side anayo support!?Unaonekana auko aputodeti kabisa
Wewe kweli huna akili, unataka kumaanisha gharama Russia anayotumia kwenye hii vita ni kubwa kuliko anachopigania hapo Ukraine. Kwa hiyo aachane na hiyo vita? Unaelewa kwa nini Russia anapigana hii vita? Unaelewa kwa nini West wanatumia nguvu kubwa kumsaidia Ukraine?NI TYPING TUU ,MKUU KAPITIE MADESA KIDOGO RUSSIA HAJACHUKUA 18% YA ARDHI YA UKRAINE KWA VITA HIVI VYA MIAKA 2.5.KACHEK VIZURI FILE ZAKO.
MKUU KUSHINDWA KIMKAKATI MAANA YAKE NI KUSHINDWA KURECOGNIZE RISK ,COSTS,NA UKUBWA WA OPERATION(HAPA IKIWEPO MDA).
RUSSIA GHARAMA ANAZOINGIA NI KUBWA MNO ,KULINGANISHA NA ALICHOPATA MIAKA HII 2.5,PIA RISK NI KUBWA SANA KWA TAIFA HILO KUYUMBA KIUCHUMI,VITA KUPANUKA ZAIDI,VITA KUCHUKUA MDA MWINGI.
Iran sasa hivi ipo katika hatua ambayo huwezi kuiundia tume kama ilivyo Iraq au Libya.USA naye kasubiria huo ujinga atakaoufanya Iran
Endelea kutaka tuuuHuu ni muda mzuri nchi za Magharibi ziruhusu Ukraine kupiga popote ndani ya Urusi. Tunataka tuone majengo ya Moscow yakianguka.
Russia step closer..Muda wowote.........................
Russian troops close in on Ukrainian village of Pokrovsk
Russian forces have been intensifying their attacks on the approach to the town of Pokrovsk in the Donbas, which used to be a key logistical hub far back from the front, crucial for supplying Ukrainian troops and towns in the east.
But now, water, electricity and gas supplies have been cut off and most residents are getting out while they still can.
Issued on: 23/09/2024 - 11:47 Modified: 23/09/2024 - 11:48
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
wamemchokoza bearZelensky sasa kaona atumie deception and deception technique.
Kawaambia NATO kama hawatampa support, ana surrender kwa Urusi.
Either wamruhusu ku strike inside Russia au anakuwa chini ya Russia influence. Ngoja tuone majibu atakayopata kutoka kwa Biden.
Hii ndio last card ya hii game
Kama kaamua kutumia njia hiyo, siku zake zinahesabika. Mabeberu wasichotaka kusikia ni habari ya ku-surrender.Zelensky sasa kaona atumie deception and deception technique.
Kawaambia NATO kama hawatampa support, ana surrender kwa Urusi.
Either wamruhusu ku strike inside Russia au anakuwa chini ya Russia influence. Ngoja tuone majibu atakayopata kutoka kwa Biden.
Hii ndio last card ya hii game
Zelensky ana option tatu:Zelensky sasa kaona atumie deception and deception technique.
Kawaambia NATO kama hawatampa support, ana surrender kwa Urusi.
Either wamruhusu ku strike inside Russia au anakuwa chini ya Russia influence. Ngoja tuone majibu atakayopata kutoka kwa Biden.
Hii ndio last card ya hii game
hawawezi kukuelewa hao nyumbu wataendelea tu kukurupuka na kuropoka kuna watu walishafafanua na kueleza mengi sana ila hao watu huwa hawaelewi na hawajielew
View: https://youtu.be/bpASSqz1hGc?si=3RUlz8M0BH9wP3v4Kwa wale ambao wako nyuma ya muda wa kutumia akili zao. Huyu Prof Stephen Cohen ( Harvard), aliyasema haya miaka minne nyuma kabla ya vita ya Russia na Ukraine, na alisema vita lazima vitatokea kama siyo Ukraine na Russia,itakuwa Russia na USA+NATO. USA walianza kumutumia Zelensky kwa kumupa silaha nzito nzito Ukraine toka kipindi cha Obama, Trump hili siku moja watengenezaji vita. Hivyo USA kwa kutumia kibaraka wao Zelensky walifanya mambo ya ovyo dhidi ya Russia na ndo matokeo yake tunayaona leo. Infact uchokozi wa USA kwa kutumia Zelensky ndo umezaa hii vita tunayaona leo hii. Prof amedadavua kila kitu utafikiri alikuwa mganga wa kienyeji kutabili kila kitu kinachotokea leo miaka 4 kabla ya vita. USA wamekumbana na kisiki Cha mpingo kinachoweza kupelekea vita ya tatu ya Dunia. Huyu Prof alikufa miezi michache kabla ya vita kuanza.