Russia hawezi kutumia nuclear dhidi ya Ukraine, hawezi.Kama unataka hata wewe uendelee kuishi omba sana hilo lisitokee..Likitokea Wakatumia Nuclear elewa wewe huko kwenye Kona ya Sinji utakua umeishaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia hawezi kutumia nuclear dhidi ya Ukraine, hawezi.Kama unataka hata wewe uendelee kuishi omba sana hilo lisitokee..Likitokea Wakatumia Nuclear elewa wewe huko kwenye Kona ya Sinji utakua umeishaa
Umeamuwa kujipa hofu ya kitu ambacho hakitatokea.Kama unataka hata wewe uendelee kuishi omba sana hilo lisitokee..Likitokea Wakatumia Nuclear elewa wewe huko kwenye Kona ya Sinji utakua umeishaa
Huyu ndio Mtanzania sasa,a.k.a Mwafrica,Russia hawezi kutumia nuclear dhidi ya Ukraine, hawezi.
Unajidanganya urussi inaweza kutumia nuclear duniani kuliko nchi yoyote tena siyo ukrain tu hata kuipiga usa 🇺🇸 pia jeshi la marekani halina uwezo hata kidogo wa kupigana na urussi kwenye vita kamili...ndiyo maana marekani amekuwa akitumia mbinu ya kuwa tengenezea maadui adui zake ili wapigane wao kwa wao ..china katengenezewa taiwani na japani .. ..urussi katengenezewa mataifa mengi sana ukrain poland nk N korea katengenezewa S koreaRussia hawezi kutumia nuclear dhidi ya Ukraine, hawezi.
Nimesema hawezi kutumia dhidi ya Ukraine, hiyo Us umeisema wewe.Unajidanganya urussi inaweza kutumia nuclear duniani kuliko nchi yoyote tena siyo ukrain tu hata kuipiga usa 🇺🇸 pia jeshi la marekani halina uwezo hata kidogo wa kupigana na urussi kwenye vita kamili...ndiyo maana marekani amekuwa akitumia mbinu ya kuwa tengenezea maadui adui zake ili wapigane wao kwa wao ..china katengenezewa taiwani na japani .. ..urussi katengenezewa mataifa mengi sana ukrain poland nk N korea katengenezewa S korea
Hivi una taarifa ya kwamba Ukraine ndio nchi yenye kinu kikubwa zaidi cha nyuklia duniani? Je, unajua pamoja na mambo mengine Urusi inataka ikiweke chini yake hicho kinu? Je, unajua kwamba nchi za Magharibi zinamsaidia Ukraine ili hicho kinu wakidhibiti wao?Kama unataka hata wewe uendelee kuishi omba sana hilo lisitokee..Likitokea Wakatumia Nuclear elewa wewe huko kwenye Kona ya Sinji utakua umeishaa
Na kinu cha nyuklia sio lazima umiliki silaha za nyuklia. Baada ya soviet union kuvunjika mwanzoni mwa miaka ya 90, na ukraine kutangaza kama nchi yalifanyika makubaliano na ukraine ikakabidhi silaha zote za ntuklia zilizokuwa pale.Hivi una taarifa ya kwamba Ukraine ndio nchi yenye kinu kikubwa zaidi cha nyuklia duniani? Je, unajua pamoja na mambo mengine Urusi inataka ikiweke chini yake hicho kinu? Je, unajua kwamba nchi za Magharibi zinamsaidia Ukraine ili hicho kinu wakidhibiti wao?
Wakati mwingine unakosa logic; sasa kinu kilikwepo miaka mingi walishindwa nini hao Magharibi kuimiliki?Hivi una taarifa ya kwamba Ukraine ndio nchi yenye kinu kikubwa zaidi cha nyuklia duniani? Je, unajua pamoja na mambo mengine Urusi inataka ikiweke chini yake hicho kinu? Je, unajua kwamba nchi za Magharibi zinamsaidia Ukraine ili hicho kinu wakidhibiti wao?
hicho kinu kipo chini ya Russia toka mwaka 2022. Pia hicho kinu kinahusika na nishati, hakijafikia kutengeneza silahaHivi una taarifa ya kwamba Ukraine ndio nchi yenye kinu kikubwa zaidi cha nyuklia duniani? Je, unajua pamoja na mambo mengine Urusi inataka ikiweke chini yake hicho kinu? Je, unajua kwamba nchi za Magharibi zinamsaidia Ukraine ili hicho kinu wakidhibiti wao?
We unadhani kilijengwa na kina nani kama sio Russia enzi za Soviet??Hivi una taarifa ya kwamba Ukraine ndio nchi yenye kinu kikubwa zaidi cha nyuklia duniani? Je, unajua pamoja na mambo mengine Urusi inataka ikiweke chini yake hicho kinu? Je, unajua kwamba nchi za Magharibi zinamsaidia Ukraine ili hicho kinu wakidhibiti wao?