Ok, wewe andika kitaalamu.Sijui unafahamu gani,ila unaandika vitu in awkward ways
Point yangu ilikuwa, Russia hatotumia nuclear dhidi ya Ukraine.
Ok, wewe andika kitaalamu.Sijui unafahamu gani,ila unaandika vitu in awkward ways
1.Mashine yeyote anayotengeneza mwanadamu in degree fulani ta inefficiency.Yalishatumika yakapiga satellite ipi??? Yaani watengeneze wao, wajaribu wao na taarifa ya mafanikio waitoe wao wenyewe HALAFU MNAKUJA KUAMINI. Mimi kuhusu suala la kutengeneza sikatai ila ninachohoji ni EFFICIENCY YAKE.
Tuliaminishwa sana kuhusu defence systems za Urusi kuwa zinaona hadi nzi na mbu lakini leo hii tunashuhudia jinsi Ukraine anavyotuma Drones hadi Moscow na kupiga.
Sio kwa Russia tu lakini pia tuliaminishwa kuwa Israel ana defence system matata sana lakini mbona Hamas, Hizbullah na Iran wameweza kutuma makombora na mengi yakafika tena ya speed ya kawaida tu tofauti na yale ya hypersonic kama ya Mrusi. Ni kama tulivyoaminishwa kuhusu mfumo wa ulinzi wa USA pamoja na ndege zake za F16, F22rapter na F35 kuwa haviwezekaniki.
Hawa wakubwa wote wa dunia wana mambo mawili .1. Vitisho 2. Biashara
MIMI NITAAMINI SIKU NIKISIKIA SATELLITE IMEPIGWA NA KUHARIBIWA. NA NINAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA AKILI KUBWA YA KUCHANGANUA MAMBO. SIDANGANYWI kama wengi wenu humu. Halafu hii vita ya Ukraine IMEWAUMBUA WENGI SANA NA BADO HAMBADILIKI.
Tuliozaliwa zamani tunakumbuka mengi kwenye vita ya Iraq ambapo kama kawaida yetu wabongo ni kulipa sifa zisizostahili kombora la Scud
Ok, wewe andika kitaalamu.
Point yangu ilikuwa, Russia hatotumia nuclear dhidi ya Ukraine.
Anaweza kuitumia ukrain hata kwa kupiga maeneo yasiyo na binadamu kama onyoOk, wewe andika kitaalamu.
Point yangu ilikuwa, Russia hatotumia nuclear dhidi ya Ukraine.
Mbona jana alikuwa analialia kuwa akishambuliwa atatumia nyuklia? Kipi kinamliza kwa mfano?Russia sio Syria ama Libya.
Anao ubavu wa kuendelea na vita hata miaka kumi ijayo.
Ripoti za sasa zinasema uundaji silaha Russia umeongezeka mara tatu ya kawaida.
Kama kuhusu uchumi BRICS inaendelea kumpa jeuri ikiongozwa na China.
Huyu mtu unammalizaje kirahisi!?
Prolong the war wakati gharama kwa upande wa Ukraine ni juu yao wenyeweHesabu za NATO ni kali sana. Just prolong the war...!
Umeisikiliza hotuba ya POTUS Joe Biden Leo jana kuhusu Vita ya Ukraine?Prolong the war wakati gharama kwa upande wa Ukraine ni juu yao wenyewe
Analialia ama anaongea ukweli!??Mbona jana alikuwa analialia kuwa akishambuliwa atatumia nyuklia? Kipi kinamliza kwa mfano?
Kwahiyo hao anaowatishia wao hawana hizo nyuklia? Kwanza hata Rais wa China Xi Jiping kamshangaa kweli kwa kutishia nyuklia. Maana yake, "he has no other options". Ahahahahaha! Na nakuhakikishia, zikitumika nyuklia sio tu itakuwa mwisho wa Putin, bali na Russia herself! Let's wait. The cards are on the table!Analialia ama anaongea ukweli!??
Mtu anapambania amani ya nchi yake unadai analialia!??
Embu kuwa reasonable kaka.
Hao NATO ndio chanzo cha USSR kuvunjika.
Unadhani huu ni muda wa Russia kuwachekea tena!?
Embu kuwa reasonable bro.Kwahiyo hao anaowatishia wao hawana hizo nyuklia? Kwanza hata Rais wa China Xi Jiping kamshangaa kweli kwa kutishia nyuklia. Maana yake, "he has no other options". Ahahahahaha! Na nakuhakikishia, zikitumika nyuklia sio tu itakuwa mwisho wa Putin, bali na Russia herself! Let's wait. The cards are on the table!