LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
Nina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.
Hivi unafikiri ana huruma na nchi zinazoongozwa kimabavu.

Ni rahisi sana Marekani kuharibu amani nchini kwako, ni rahisi sana kukuwekea watawala vibaraka wake, ni rahisi sana kukuanzishia migogoro.

Nchi ambazo hazifuati mifumo ya kidemokrasia ya Magharibi ni ngumu sana kuingiliwa na Marekani, ni ngumu sana kuwekewa viongozi puppet, NI NGUMU SANA KUDHULUMIWA NA KUIBIWA RASILIMALI.

NA ILI ULIJUE HILO NI VEMA UKAJIULIZA NI KWANINI KUNA NCHI ZINAENDESHWA KIMABAVU NA KIDIKTETA LAKINI HAZIPIGIWI KELELE NA MAREKANI? JIBU NI KWAMBA MASLAHI YAKE YANAENDELEZWA NA NCHI HIZO.

DEMOKRASIA NI NZURI SANA LAKINI NI VEMA KILA NCHI IKAWA NA DEMOKRASIA YAKE KULINGANA NA JAMII YAKE NA UMRI WA NCHI HUSIKA, NA SIO LAZIMA KILA NCHI IFUATE DEMOKRASIA ZA MAGHARIBI.

MTU ANAKULAZIMISHA UWE SHOGA HALAFU BADO UNAMSHABIKIA.
MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA SANA NA HAIJIELEWE
 
Dunia ya wastaaraabu? Ni ustaarabu upi huo?
Inategemea na mtazamo wako. Ukiwaona Putin na Kiduku na nchi zao ni wastaarabu sawa. Ukiwaona USA na wapambe wake wa Ulaya Magharibi ni wastaarabu nayo sawa. By the way, kwanini wahamiaji ni wengi zaidi Marekani na Ulaya Magharibi na sio Russia, Korea Kaskazini na China? Ukinijibu hapo ndio utajua maana ya ustaarabu ninaouzungumzia! Ahahahahaha!!!!
 
Nina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.
Hivi unafikiri ana huruma na nchi zinazoongozwa kimabavu.

Ni rahisi sana Marekani kuharibu amani nchini kwako, ni rahisi sana kukuwekea watawala vibaraka wake, ni rahisi sana kukuanzishia migogoro.

Nchi ambazo hazifuati mifumo ya kidemokrasia ya Magharibi ni ngumu sana kuingiliwa na Marekani, ni ngumu sana kuwekewa viongozi puppet, NI NGUMU SANA KUDHULUMIWA NA KUIBIWA RASILIMALI.

NA ILI ULIJUE HILO NI VEMA UKAJIULIZA NI KWANINI KUNA NCHI ZINAENDESHWA KIMABAVU NA KIDIKTETA LAKINI HAZIPIGIWI KELELE NA MAREKANI? JIBU NI KWAMBA MASLAHI YAKE YANAENDELEZWA NA NCHI HIZO.

DEMOKRASIA NI NZURI SANA LAKINI NI VEMA KILA NCHI IKAWA NA DEMOKRASIA YAKE KULINGANA NA JAMII YAKE NA UMRI WA NCHI HUSIKA, NA SIO LAZIMA KILA NCHI IFUATE DEMOKRASIA ZA MAGHARIBI.

MTU ANAKULAZIMISHA UWE SHOGA HALAFU BADO UNAMSHABIKIA.
MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA SANA NA HAIJIELEWE
Huwa unapenda kuponda sana elimu za watu humu na kujiona msomi ulieelimika, hiyo haitakusaidia zaidi ya kuleta chuki kwa watu, yani michango Yako humu huwezi kujadili bila kuponda elimu za watu.
 
Zelensky ana option tatu:
1: Surrender and be killed by CIA or NATO member
2: Keep fighting till the last Ukrainian
3: Surrender and seek asylum to none NATO members

Akitumua long range missile ambazo zinakuwa guided na USA satellite hiyo itakuwa vita ya tatu ya Dunia, maana USA atakuwa ameingia kwenye vita.
usichoelewa hizo long-range tayari anazo shida ni kupiga ndani ya russia,unadai zitakua guided na US-satelite kwan alivyopiga crimea zilikua guided na satelite za wap
 
KAma
Dicteta lazima aangu

NATO sio wadhalimu?
Kama kuna madhalimu basi ni NATO.Hao jamaa wanaongozwa na ibilisi.Ni mkono wa kuume wa Ibilisi kabisa.Uwepo wa wakomunist unasaidia sana kuchelewesha mipango yao miovu.Russia atapambana saanaaa,bt mwisho ataangushwa tu,iwe Kwa muda mfupi au mrefu.Atakapoangushwa Russia,ndipo dunia itaanza kuona rangi halisi ya NATO.Mark my word
 
Unajidanganya urussi inaweza kutumia nuclear duniani kuliko nchi yoyote tena siyo ukrain tu hata kuipiga usa 🇺🇸 pia jeshi la marekani halina uwezo hata kidogo wa kupigana na urussi kwenye vita kamili...ndiyo maana marekani amekuwa akitumia mbinu ya kuwa tengenezea maadui adui zake ili wapigane wao kwa wao ..china katengenezewa taiwani na japani .. ..urussi katengenezewa mataifa mengi sana ukrain poland nk N korea katengenezewa S korea
umetumia kinywaji gani mkuu
 
Nina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.
Hivi unafikiri ana huruma na nchi zinazoongozwa kimabavu.

Ni rahisi sana Marekani kuharibu amani nchini kwako, ni rahisi sana kukuwekea watawala vibaraka wake, ni rahisi sana kukuanzishia migogoro.

Nchi ambazo hazifuati mifumo ya kidemokrasia ya Magharibi ni ngumu sana kuingiliwa na Marekani, ni ngumu sana kuwekewa viongozi puppet, NI NGUMU SANA KUDHULUMIWA NA KUIBIWA RASILIMALI.

NA ILI ULIJUE HILO NI VEMA UKAJIULIZA NI KWANINI KUNA NCHI ZINAENDESHWA KIMABAVU NA KIDIKTETA LAKINI HAZIPIGIWI KELELE NA MAREKANI? JIBU NI KWAMBA MASLAHI YAKE YANAENDELEZWA NA NCHI HIZO.

DEMOKRASIA NI NZURI SANA LAKINI NI VEMA KILA NCHI IKAWA NA DEMOKRASIA YAKE KULINGANA NA JAMII YAKE NA UMRI WA NCHI HUSIKA, NA SIO LAZIMA KILA NCHI IFUATE DEMOKRASIA ZA MAGHARIBI.

MTU ANAKULAZIMISHA UWE SHOGA HALAFU BADO UNAMSHABIKIA.
MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA SANA NA HAIJIELEWE
uwe unaheshimu mawazo ya wengine huwezi jibu kama umekosa busara ,toa hoja kistaarabu
 
Kama ni wadhalimu ni mtazamo wako na nauheshimu. Ila hiyo haiondoi ukweli wangu na NATo kuwa Russia, China, North Korea na Iran ni mataifa dhalimu.
Mkuu nimeuliza,wewe nielimishe mielewe kuwa si wadhalimu,na uweke mifano;

Sasa kwa haya maelezo yako,inaonyesha tu una shida ya kifikra,wapi nimesema nina mtazamo wa NATO ni dhalimu?

Unakosea sana.
 
KAma

Kama kuna madhalimu basi ni NATO.Hao jamaa wanaongozwa na ibilisi.Ni mkono wa kuume wa Ibilisi kabisa.Uwepo wa wakomunist unasaidia sana kuchelewesha mipango yao miovu.Russia atapambana saanaaa,bt mwisho ataangushwa tu,iwe Kwa muda mfupi au mrefu.Atakapoangushwa Russia,ndipo dunia itaanza kuona rangi halisi ya NATO.Mark my word
Mkuu kachukue Pepsi ya baridi pale kwa Mangi upoze koo, nakuja kulipa.
Moja ya sababu kuu ya vita hizi ni kuondoa au kupunguza nguvu ya umangimeza wa NATO.
BRICS imeanzishwa kwa lengo hilo hilo.
NATO wanacheka na wewe kwenye maslahi yao tu, nje ya hapo ni wadhalimu sana.
Waulize Libya wakuambie tangu ameindoka Ghadaf na NATO kuingiza watu wao wana maisha ya namna gani.
 
EU’s Position on Ukraine Unchanged Despite Putin’s Nuclear Threats – BBC Cites EU Representative Peter Stano

The European Union’s stance on Ukraine will not change in response to Putin’s nuclear threats, according to Peter Stano, a spokesperson for the EU’s foreign policy service.

When asked how the EU would respond to Russia’s recent lowering of the threshold for using nuclear weapons against non-nuclear states, Stano stated:

“This is just a continuation of Putin’s highly irresponsible and unacceptable behavior, which reveals his true nature to the world, especially during the high-level week at the UN General Assembly. We categorically reject these threats. The European Union’s position on Ukraine remains unchanged.”
 
Huwa unapenda kuponda sana elimu za watu humu na kujiona msomi ulieelimika, hiyo haitakusaidia zaidi ya kuleta chuki kwa watu, yani michango Yako humu huwezi kujadili bila kuponda elimu za watu.
Profile picture hapo umeweka bendera ya Marekani na Israel. Sio dhambi kuweka na haukatazwi ila huo ndio ubora wa akili yako na unajivunia zaidi mataifa hayo kuliko taifa lako. SITAACHA KUWAAMBIA KUWA HAMNA ELIMU vichwani NA PIA MNA INFERIOR MIND.
 
US President Joe Biden on Thursday told his Ukrainian counterpart Volodymyr Zelensky that “Ukraine will prevail” after pledging nearly $8 billion in military aid and long-range munitions to help Kyiv fight Russian forces. Biden, who has less than four months left in office, is trying to secure as much US support for Ukraine as he can amid a tight presidential race between Democrat Kamala Harris and Republican Donald Trump.
 
U.S. Secretary of State Blinken Calls Putin's Nuclear Threats "Absolutely Irresponsible"

In an interview with American media, U.S. Secretary of State Antony Blinken described Putin's recent nuclear threats, disguised as changes to the conditions for using nuclear weapons, as "absolutely irresponsible."

During a permanent meeting of the Security Council on nuclear deterrence, Putin stated that Russia would expand the conditions under which it is prepared to use nuclear weapons.
 
Back
Top Bottom