Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
sijachukulia poa mkuu ,Russia ni taifa la pili kwa uwezo wa kijeshi akitanguliwa na US,shida unaposema anaweza kumpiga US ,sijui umetumia vigezo vipi.Hakuna ambacho Russia anacho ambacho US hana.Pia kiuchumi kaachwa mbali sana ufahamu kuwa uchumi ni muhimu ukiwa vitani.Tatizo lako unachukulia poa nchi ya urusi