LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tatizo lako unachukulia poa nchi ya urusi
sijachukulia poa mkuu ,Russia ni taifa la pili kwa uwezo wa kijeshi akitanguliwa na US,shida unaposema anaweza kumpiga US ,sijui umetumia vigezo vipi.Hakuna ambacho Russia anacho ambacho US hana.Pia kiuchumi kaachwa mbali sana ufahamu kuwa uchumi ni muhimu ukiwa vitani.
 
sijachukulia poa mkuu ,Russia ni taifa la pili kwa uwezo wa kijeshi akitanguliwa na US,shida unaposema anaweza kumpiga US ,sijui umetumia vigezo vipi.Hakuna ambacho Russia anacho ambacho US hana.Pia kiuchumi kaachwa mbali sana ufahamu kuwa uchumi ni muhimu ukiwa vitani.
USA awezi vita huo ndiyo ukweli hata vita vya pili vya dunia aliye mshinda Germany ni mrussi ...marekani ni mzuri kwa vita vya ukibaraka tu ila siyo kuingia front mwenyewe pia siyo mzuri kwenye vita ambavyo vinapigwa hadi nyumbani mwake ....urussi ndiyo baba wa vita duniani yeye anaweza kukushinda vita hata upige mabomu milioni ndani ya nchi yake na kuchukua nusu ya ardhi yake ..katika vita ya pili ya dunia takwimu zipo wazi kuwa katika kila askari 20 wa ujerumani walio uliwa 18 waliuliwa na jeshi la urusi RED ARMY .. wawili 2 tu ndiyo waliuliwa na USA panoja na UK na UFARANSA NK..ukubwa wa uchumi unafanya kazi tu kwenye vita ndogo ..ila kwenye vita kubwa hakuna hiyo KANUNI ...kama kwa sasa urussi na ukrain ndiyo ilitskiwa NATO NA USA wafsnikiwe kumsumbua urusi ila wameshindwa ..vinapokuja vita kamili vya dunia swala la uchumi linakuwa nikama 0 ..ushindi wa vita unakuwa nje ya mambo ya uchumi ...kitu cha kwanza kuteketea kwenye vita vya dunia ni uchumi mnakuwa kama sawa tu ..wengi mnadhani vita vya dunia vikitokea uchumi unabaki salama ..moja ya vitu vinavyo angamizwa ni uchumi
 
USA awezi vita huo ndiyo ukweli hata vita vya pili vya dunia aliye mshinda Germany ni mrussi ...marekani ni mzuri kwa vita vya ukibaraka tu ila siyo kuingia front mwenyewe pia siyo mzuri kwenye vita ambavyo vinapigwa hadi nyumbani mwake ....urussi ndiyo baba wa vita duniani yeye anaweza kukushinda vita hata upige mabomu milioni ndani ya nchi yake na kuchukua nusu ya ardhi yake ..katika vita ya pili ya dunia takwimu zipo wazi kuwa katika kila askari 20 wa ujerumani walio uliwa 18 waliuliwa na jeshi la urusi RED ARMY .. wawili 2 tu ndiyo waliuliwa na USA panoja na UK na UFARANSA NK
mkuu kumbuka hapo ilikua USSR
 
Crimea hakulipua na long range missiles.
Alitumia rockets.
Ukraine is already using long-range missiles, fighter aircraft and other high-grade weaponry provided by its Western allies to hit Russian targets in Crimea and other occupied areas inside Ukraine.

CNN
 
Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Daah, wewe kweli ni mtoto wa shule! Hivi kwako wewe
mataifa ya upinde ndio Wastaarabu?!
 
A top aide of Hungary's Prime Minister Viktor Orban has criticized Ukraine's resistance to Russia's full-scale invasion, calling it "irresponsible" and suggesting his country would have advised against fighting back if it had been asked.
.
 
Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Nadhani Watu Wengi mnadhani Urusi ni kama Afrika na kwamba wale wanaoiongoza Urusi ni hamnazo kabisaa kama huku!!!

Eleweni wale akina Putin, Antony Siluanov ,Lavrov, Shoigu na wengineo wana akili nyingi sana hakuna Kilaza pale wanajua na wana mipango wala usifikirie kulinda Mipaka ya nchi kubwa kama ile ni kazi Ndogo Nchi ile Tanzania inaingia mara 19 ni kubwa kweli sio mchezo mana mnaongea tu haya mambo hamyajui wao wanajua zaidi na Wana Nguvu kweli kweli leo hii Ukraine hamna nchi pale ni magofu tu umeme hamna na Dola inaparaganyika sasa nyie mnaosema Urusi itaanguka nawashangaa HAMJUI MENGI...
 
Inategemea na mtazamo wako. Ukiwaona Putin na Kiduku na nchi zao ni wastaarabu sawa. Ukiwaona USA na wapambe wake wa Ulaya Magharibi ni wastaarabu nayo sawa. By the way, kwanini wahamiaji ni wengi zaidi Marekani na Ulaya Magharibi na sio Russia, Korea Kaskazini na China? Ukinijibu hapo ndio utajua maana ya ustaarabu ninaouzungumzia! Ahahahahaha!!!!
Tupe takwimu za watu kuhamia mataifa mbali mbali kusaporti madai yako.
 
Uzuri ni kwamba siku akipigwa urusi hakutakuwa na kitu kinachoitwa maisha Tena hapa duniani
Mkuu,unaishi sayari gani.., Ukraine ameshamkung'uta urusi huku akimnyang'anya na kulikalia kimabavu eneo la urusi lenye ukubwa unaokaribiana na mkoa wa dareslam
 
Back
Top Bottom