Nina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.
Hivi unafikiri ana huruma na nchi zinazoongozwa kimabavu.
Ni rahisi sana Marekani kuharibu amani nchini kwako, ni rahisi sana kukuwekea watawala vibaraka wake, ni rahisi sana kukuanzishia migogoro.
Nchi ambazo hazifuati mifumo ya kidemokrasia ya Magharibi ni ngumu sana kuingiliwa na Marekani, ni ngumu sana kuwekewa viongozi puppet, NI NGUMU SANA KUDHULUMIWA NA KUIBIWA RASILIMALI.
NA ILI ULIJUE HILO NI VEMA UKAJIULIZA NI KWANINI KUNA NCHI ZINAENDESHWA KIMABAVU NA KIDIKTETA LAKINI HAZIPIGIWI KELELE NA MAREKANI? JIBU NI KWAMBA MASLAHI YAKE YANAENDELEZWA NA NCHI HIZO.
DEMOKRASIA NI NZURI SANA LAKINI NI VEMA KILA NCHI IKAWA NA DEMOKRASIA YAKE KULINGANA NA JAMII YAKE NA UMRI WA NCHI HUSIKA, NA SIO LAZIMA KILA NCHI IFUATE DEMOKRASIA ZA MAGHARIBI.
MTU ANAKULAZIMISHA UWE SHOGA HALAFU BADO UNAMSHABIKIA.
MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA SANA NA HAIJIELEWE