LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kibondo kinaendelea wataalam wa NATO kwisheneya
It is reported that 9 NATO Air Force staff officers who arrived from Rammstein via Chisinau to Ukraine were killed in a Storm Shadow and SCULP missile storage bunker in Starokostiantyniv

They carried out coordination and guidance with the help of NATO AWACS aircraft for missile launches from Ukrainian fighters.

Six of the nine were US citizens of Ukrainian descent and three were French.

Polish Air Force planes are evacuating three air ambulances from the border area with Ukraine today. Each plane is designed for five people, including resuscitation equipment and three doctors.

According to preliminary information, 7 British instructors and 6 technical specialists from the Netherlands were seriously injured.
Two Russian hypersonic missiles were missed by Ukrainian air defenses, resulting in the destruction of three fighters: two F-16s and one Su-24, plus at least 15 SS and Sculp missiles.
 
Team nato na wasiolewa maana ya hii vita lengo kuu ni lipi hawawezi kukuelewa wangejua ucraine alishanza kupewa sila na nguvu ya kijeshi tangu 2017 kabla ya kutak kujiung na nato ndo utaelewa nani mchokozi hp
 
Uchumi ndio unapigana au jeshi? Kwa hio sababu Kikwete ana fedha nyingi hawezi kupigwa na raia wa kawaida tu?
 
Ahahahahaha! Marekani ilikua sana kiuchumi wakati wa Bill Clinton na baadae Barack Obama, lakini halikuwa kigezo Cha kuwafanya waendelee kutawala. Huu ndio unaitwa ustaarabu. Unamnh'ang'ania mtu kisa kaleta maendeleo. Akifa? Ahahahahaha!
Wewe kweli ni mtoto wa shule maliza shule ndo uje ujadili mambo ya kiume huku
 
Mataifa dhalimu ni USA ambayo inatumia jasho la walipa Kodi wao na kuwapa mataikon wachache wenye viwanda vya silaha.
 
Kwaiyo kipimo Cha ustaarabu ni Kuwa na wahamiaji Haram wengi?
 


Ahahahahaha! Mtu asiejua maana ya ustaarabu ni ngumu kuwa na mijadala jadidi (sijui kama ni msamiati sahihi! Ahahahahaha). Hata Russia, Uchina na Korea Kaskazini mijadala hairuhusiwi! Ahahahahaha!!!
Kwa marekeni ustaarabu ni nyie mlawitiane harafu matajiri waendelee kutajirika Kwa kuwauzia vilainishi
 
Ila usisahau Kuna familia moja pale Uingereza inaongoza Toka enzi za ujima mpaka leo.

Na pia ndio Head of state kwa Canada na Australia.

Vipi aondolewe?
Ahahahahaha! Dogo unachanganya Ufalme na uongozi wa kuchagiliwa? Ahahahahaha!! Mbona hujazungumzia Uwaziri Mkuu ambao unapigiwa kura? Ahahahahaha! Tena kwa Uingereza inatwa Constitutional Monarchy. Sijui unaelewa maana yake?
 
Kwa marekeni ustaarabu ni nyie mlawitiane harafu matajiri waendelee kutajirika Kwa kuwauzia vilainishi
Kwako kipi bora, kulawitiana kwa Uwaziri na hiari au kulawitiana kwa Siri? Maana kuna ushahidi Russia, China, Afrika na nyumbani kwako watu wanalawitiana ila mnafanya Siri eti kuficha aibu! Uongo? Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…