Kwa kifupi,haya mambo yako juu ya uwezo wako wakufikiri,umejaza comments kibao humu ndani,you are logical less, you don't even know why this war happens, you doesn't even know the background of NATO &RUSSIA.
You don't have even capability to question your self, % kubwa ya majirani wa Russia mostly wameshajiunga na NATO na Umoja wa ulaya,but RUSSIA doesn't take any action, lakini kwa Ukraine RUSSIA ame take action, do you know why?? .
Nimefuatilia majibizano yako humu ndani na baadhi ya watu nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa hauji hata kwanini NATO ilianzishwa,hauji pia nikwanini members wengi wa NATO wanatoka ukanda Russia ilipo ,umeshajiuliza the founder na kiranja wa NATO USA anatoka bara la America lakini asilimia 95 ya members wa NATO wanatoka ulaya ,do you why??
USA na NATO wana base nyingi sana za kijeshi Duniani (Africa, Asia na s.America) lakini huoni akizishawishi hzo nchi alizo weka base zake wajiunge na NATO,do you know why? .
Rudi tena kwenye maktaba yako,soma vzuri History background ya Cold War, kuvunjika kwa USSR ,mvutano wa Cuba ,USA na Russia nini kilitokea ? Unayajua makubaliano ya Russia na USA juu ya makombora ya nuclear pale Cuba?.
Vita ya NATO na Russia ndani ya ardhi ya Ukraine was inevitable, zelensky and Ukraine is a NATO military branch purposely for Russia.