LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwako kipi bora, kulawitiana kwa Uwaziri na hiari au kulawitiana kwa Siri? Maana kuna ushahidi Russia, China, Afrika na nyumbani kwako watu wanalawitiana ila mnafanya Siri eti kuficha aibu! Uongo? Ahahahahaha!!!
Kwani mkuu wewe umeshafanyiwa mara ngapi? Na ilikuwa kwa wazi au kwa siri?
 
Hii hoja mnayobishania kuhusu democracy, hakuna kitu kinaitwa true democracy duniani, it's all about interest, manipulation, monopoly and power, iwe ni US, Russia au popote duniani.
Once ukiingilia, kuzuia au kutishia maslahi ya watu unaondokea kwa excuse yoyote, iwe ni democracy, utenguzi, mashtaka or rest in your respective place
 
The battles for Ugledar became one of the bloodiest for Moscow during the entire war, - Forbes.
The publication notes that during the two years of fighting for Vugledar, the Armed Forces of Ukraine destroyed approximately two brigades of equipment - that is, 6% of all equipment that Muscovy has lost since the beginning of the large-scale invasion of the territory of Ukraine.
 
Ahahahahaha! Dogo unachanganya Ufalme na uongozi wa kuchagiliwa? Ahahahahaha!! Mbona hujazunhimzia Uwaziri Mkuu ambao inapigiwa kura? Ahahahahaha! Tena kwa Uingereza inatwa Constitutional Monarchy. Sijui unaelewa maana yake?
Huo ufalme unaendeshwa Kwa Kodi za kina nani?
 
Mtu maamuma wa kujenga hoja atatumia visingizio (fallacies) kutojibu hoja maana haziwezi.
Kwa kifupi,haya mambo yako juu ya uwezo wako wakufikiri,umejaza comments kibao humu ndani,you are logical less, you don't even know why this war happens, you doesn't even know the background of NATO &RUSSIA.

You don't have even capability to question your self, % kubwa ya majirani wa Russia mostly wameshajiunga na NATO na Umoja wa ulaya,but RUSSIA doesn't take any action, lakini kwa Ukraine RUSSIA ame take action, do you know why?? .

Nimefuatilia majibizano yako humu ndani na baadhi ya watu nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa hauji hata kwanini NATO ilianzishwa,hauji pia nikwanini members wengi wa NATO wanatoka ukanda Russia ilipo ,umeshajiuliza the founder na kiranja wa NATO USA anatoka bara la America lakini asilimia 95 ya members wa NATO wanatoka ulaya ,do you know why??

USA na NATO wana base nyingi sana za kijeshi Duniani (Africa, Asia na s.America) lakini huoni akizishawishi hzo nchi alizo weka base zake wajiunge na NATO,do you know why? .

Rudi tena kwenye maktaba yako,soma vzuri History background ya Cold War, kuvunjika kwa USSR ,mvutano wa Cuba ,USA na Russia nini kilitokea ? Unayajua makubaliano ya Russia na USA juu ya makombora ya nuclear pale Cuba?.

Vita ya NATO na Russia ndani ya ardhi ya Ukraine was inevitable, zelensky and Ukraine is a NATO military branch purposely for Russia.
 
Ahahahahaha! Dogo unachanganya Ufalme na uongozi wa kuchagiliwa? Ahahahahaha!! Mbona hujazunhimzia Uwaziri Mkuu ambao inapigiwa kura? Ahahahahaha! Tena kwa Uingereza inatwa Constitutional Monarchy. Sijui unaelewa maana yake?
Usikute na mimi ningekwepa umande ningeandika kama alivyoandika huyo jamaa.
 
Dah! Ulikuwa una copy na ku pest? Maana sijaelewa logic yako Iko wapi?
 
Mlawitiane Kwa usiri ila mkikutea life sentence in prison inawahusu na uarabu ni death sentence
Ahahahahaha! Hiyo life or death sentences sio kwasababu ya kulawitiana, bali ni kwanini jambo la Siri mmeliweka wazo!? Kuficha aibu "life sentence or death sentence! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…