Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ila hizi figure za vifo zinazoletwa hapa zina mashaka. Maana wanasema majeshi ya ukraine yaliyoingia kursk ni 12000 lakini kuana taarifa ya vico mpaka 21000.
Naupande wa pili vilevile idadi inayotolewa ni vichekesho. Msemajj wa ukrain hapa jf ndugu kipanya anasema zaidi ya wanajeshi 500000 wa russa wamesha uliwa😄😄😄😄
Naupande wa pili vilevile idadi inayotolewa ni vichekesho. Msemajj wa ukrain hapa jf ndugu kipanya anasema zaidi ya wanajeshi 500000 wa russa wamesha uliwa😄😄😄😄