G - The Apostle
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 606
- 1,146
Happy Birthday Comrade Putin
Generation Z hiyo - ingawa sio wote - matusi nje nje - hasira kali ,muda wowote mtu analipuka tu - kumbe ndo maana ndoa changamoto siku hizi....mtu kama analipuka hovyo hovyo mitandaoni kwenye real life si hatari.Kijana acha kupanic - sawa mimi punda - wewe sungura mjanja basi....Ulitaka comment kutoka Kwa wazungu ama? hakuna kitu utaweza niambia, unajiona genius kumbe ni punda mmoja
Sahihi kabisa.Inawezekana ikawa nikweli japo siwezi kuamini Moja kwa moja kwasababu toka wameingia Urusi sioni wakisonga mbele zaidi, Mimi binafsi sijakubaliana na uvamizi huu wa Ukraine nilidhani wataelekeza nguvu hii kwenye miji ambayo tayar imedhibitiwa na Urusi, bila kupepesa macho hapa Ukraine tayar amefeli, hakuna namna wataweza hata kukisogelea kinu cha nyuklia hapo Kursk
Kwani kursk imetekwa?Kwa hiyo urusi ameshaikomboa Kursk?!
weka na za kyivPutin anazidi kuwapeleka vijana wa watu kwenye meat grinder kila siku 🥱🥱🥱🥱🥱🥱
View attachment 3119630