kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nawahurumia warusi wanavyochinjwa! Duh!🥱🥱🥱🥱🥱
Ramstein meeting imehairishwa, kwa namna flani itakuwa imewa discourage sana Ukraine
Ulichoandika hapa Bado ni propaganda kwasababu hakuna ushahidiUkraine iliingiza askari 30,000 wengi wao ni france uk na romania ila wao wakatangza ni 10,000 pia hapo katikati waliongeza nguvu nyingine
Mstue Kp ana updates za kufa mtu. Hasa za Crimea na Odessa. Halafu kama ingekuwa Russia ndio ana dundwa jukwaa lingechangamka ni balaa.Hili jukwaa sijui ni kwanini ni muda sasa halina updates za uwanja wa vita wakati kuna matukio mengi tu ya kupigwa Russia na kupata hasara
In short Ukraine ameelemewa. Tena, leo katika taarifa waliyotoa (Ukraine) kuhusu hali ya Kursk wamekiri kuwa wamedundwa ni balaa. Ukraine alifanya kosa la kimkakati kuvamia Kursk. Rasilimali nyingi za Wamagharibi zimeteketezwa huko. Sasa hivi wanamlazimisha aingie kwa Negotiations. Ndio maana Zelensky anasema kufikia 2025 vita itakuwa imesitishwa. Anafunika kombe mwana haramu apite kwa kutumia sentiment ya "Victory Plan".Tatizo hii vita imejaa propaganda sana ,yaani haijulikani ukweli ni upi huko battlefield ,hasa vyombo vya nchi za magharibi , kuna vitu vingi wengi hatujui kinachoendelea
Kuna moto mkubwa kwenye Depot ya mafta huko feodosia,Crimea, unaendelea kuwaka Kwa siku ya 6 Sasa baada ya kushambuliwa na drones za Ukraine, na hakuna dalili za kuzimika soon,mengine Huwa tunaamua kuwa kmy tu Ili tusiwatie presha sana wenzetu!!Hili jukwaa sijui ni kwanini ni muda sasa halina updates za uwanja wa vita wakati kuna matukio mengi tu ya kupigwa Russia na kupata hasara
Hawa pia ni wachambuzi nguli wa magharibi bibie..,alafu wanakuja wanywa gongo wanakwambia urusi anapigana peke yake bila msaada wowote.., kumbe Kuna askari wa north Korea on a ground!Wanajuta kuingia huko Kursk! Yaani ukiona mpaka wachambuzi wao mahiri wanakiri ujue..........hii ni jana! Hali ni mbaya sana!
Russian forces intensified their ongoing effort to dislodge Ukrainian forces from Kursk Oblast around the evening of October 10 and have recently advanced further into the main Ukrainian salient in Kursk Oblast while reportedly eliminating almost the entirety of the smaller Ukrainian salient in Glushkovsky Raion.
October 11, 2024, 8:20pm ET
Institute for the Study of War
This page collects ISW and CTP's updates on the conflict in Ukraine. In late February 2022, ISW began publishing daily synthetic products covering key events related to renewed Russian aggression against Ukraine.www.understandingwar.org
Bahati mbaya kwenu imejulikana kuwa mnatumia wanamuziki kukamata watoto na kuwapeleka mstari wa mbele wa vita.....soon,mengine Huwa tunaamua kuwa kmy tu Ili tusiwatie presha sana wenzetu!!