Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kwa hiyo. Vifaa vya kivita na askari wa kuwasaidia wanawapelekea na kwenda huko Kursk kwa wireless, Mkuu?...ukraine yaliyoingia kursk ni 12000 lakini kuana taarifa ya vico mpaka 21000....
Kwa hiyo urusi ameshaikomboa Kursk?!Yani nguvu waliyoitumia Kurks ni bora wangeitumia kulinda miji yao.sasa Kurks wanaikimbia alafu kwao majimbo yanazidi kupotea, Mji wa Toresk tayari Warusi wamekamata jengo la halmashauri ya mji.
Propaganda ni nyingi kuliko uhalisia 😁😁😁Ila hizi figure za vifo zinazoletwa hapa zina mashaka. Maana wanasema majeshi ya ukraine yaliyoingia kursk ni 12000 lakini kuana taarifa ya vico mpaka 21000.
Naupande wa pili vilevile idadi inayotolewa ni vichekesho. Msemajj wa ukrain hapa jf ndugu kipanya anasema zaidi ya wanajeshi 500000 wa russa wamesha uliwa😄😄😄😄
Ukiona wamagharibi wamekaa kimya ujue.............
Hii ni jana.......(Jumatatu)
October 7, 2024, 12pm ET
Russian forces recently advanced in northern Kharkiv Oblast, in Donetsk Oblast, and in western Zaporizhia Oblast.
Hii ni juzi (Jumapili)
October 6, 2024, 10:45am ET
Russian forces recently advanced southeast of Pokrovsk.
Hii ni Jumamosi
October 5, 2024, 11:10 am ET
Russian forces recently advanced within the main Ukrainian salient in Kursk Oblast, near Toretsk, near Pokrovsk, and southwest of Donetsk City.
Institute for the Study of War
Duuh..jamani....humu JF naona kuna generation mpya siku hizi au ndo generation Z hizi??Comment inasikitisha hiyo kutoka kwa kijana tena mwafrikaHuo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
Najua umeuliza kama dhihaka,lakini nitachukua nafasi hii kukufahamisha vile Nina yofahamu Mimi.Hivi Ukraine bado yupo Kursk au washafurushwa
Inawezekana ikawa nikweli japo siwezi kuamini Moja kwa moja kwasababu toka wameingia Urusi sioni wakisonga mbele zaidi, Mimi binafsi sijakubaliana na uvamizi huu wa Ukraine nilidhani wataelekeza nguvu hii kwenye miji ambayo tayar imedhibitiwa na Urusi, bila kupepesa macho hapa Ukraine tayar amefeli, hakuna namna wataweza hata kukisogelea kinu cha nyuklia hapo KurskNajua umeuliza kama dhihaka,lakini nitachukua nafasi hii kukufahamisha vile Nina yofahamu Mimi.
Kwa kifupi sio Urusi wanaojua idadi kamili ya wanajeshi wa Ukraine walioingia kirahisi katika mkoa wa kursk kwa sababu mkoa huo haukua na ulinzi mkubwa.
Na kutokua na ulinzi mkubwa ni aina ya dharau na kujiamini kwa Urusi.
Dharau na kujiamini ni kutokana na kufikiri kua Ukraine itatumia muda wake na nguvu zake kubwa kupambana kukomboa maeneo yake yaliyochukuliwa na Urusi.
Hivyo Urusi hawakufikiria kama ukraine wanaweza kuingia kwenye mkoa wa Urusi na kuutumia kwa ajili ya kuweka shinikizo kwenye mazungumzo ikiwa mazungumzo ya amani yatakapohitajika.
Idadi kamili inabali kua Siri ya Kambi ya jeshi la Ukraine.
Ingawa pamoja na kua Urusi hawajui idadi halisi lakini wameweza kuwadhibiti wavamizi hao na kuweza Kuwazuia wasifanikiwe kwenye malengo Yao ya kuvamia na kibaya zaidi kwa kweli wanauliwa kwa mamia Kila siku.kww Hali ya kawaida kama walioingia wengi kiasi Gani ukweli ni kua idadi Yao inazidi kupungua siku Hadi siku pamoja na silaha zao , mwisho wa siku watajikuta wamekwisha poteza hata uwezo mdogo waliobakiwa nao na hatimae kukubali kushindwa.