Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Hapo hapo ndani ya bricks kuna nchi zina migogoro 😀Hapa ndio huwa nawaheshimu watanzania.
Yaani unaweza kuwata. Mawaziri wa Fedha wa nchi za BRICS kama wakuu wa Kikoba.
Wewe mtu unaetoka nchi ombaomba ya third world country unaweza kudharau waziri wa fedha wa China Urusi na India,nchi ambazo tokea wewe hujazaliwa zimekua zikisaidia mabubu zako katika sekta za maendeleo.
Hii nchi ngumu sana hii.
Halafu wewe kwenu ndio unaonekana kua ndio Msomi pekee tegemeo,na mtaani vijana wenzio wanakusikiiza.
Kazi tunayo.
Wahindi ndio wasenge katika huo muungano wa Brics. They need to be removed kabla mambo hayajawa mengi. Wanakwamisha juhudi za de dollarizationHapo hapo ndani ya bricks kuna nchi zina migogoro 😀
Hawawezi kumtoa India kwasababu kwa kipindi hiki ndio mnunuaji na mshirika mkubwa wa kibiashara na Putin, kingine hao India na China Wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani lakini Bado kila baada ya muda wanatwangana marungu hapo mpakani, ndiomaana nikasema humo ndani ya bricks Bado kuna changamoto lukukiWahindi ndio wasenge katika huo muungano wa Brics. They need to be removed kabla mambo hayajawa mengi. Wanakwamisha juhudi za de dollarization
Ndio bado nasema sisi Watanzania Kwa ujuaji hakuna anaetufikia hapa duniani,lkn bahati mbaya tuko nyuma kwa mambo mengi licha ya kua tuna rasilimalibza Kila aina.Hapo hapo ndani ya bricks kuna nchi zina migogoro 😀
Aisee!Hawawezi kumtoa India kwasababu kwa kipindi hiki ndio mnunuaji na mshirika mkubwa wa kibiashara na Putin, kingine hao India na China Wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani lakini Bado kila baada ya muda wanatwangana marungu hapo mpakani, ndiomaana nikasema humo ndani ya bricks Bado kuna changamoto lukuki
Aisee!
Hebu wewe onyesha elimu Yako kumaliza tatizo la sukari hapa nchini.. kuegemea upande mmoja haitakusaidia chochote, hao India na China Wana migogoro ya kimipaka, china na Urusi pia hivyo hivyo unategemea huo umoja utadumu vipi? Ndiomaana nikaita kikoba,alafu mimi ni mmachame usiniite majina ya kiduanziNdio bado nasema sisi Watanzania Kwa ujuaji hakuna anaetufikia hapa duniani,lkn bahati mbaya tuko nyuma kwa mambo mengi licha ya kua tuna rasilimalibza Kila aina.
Hivi wewe Mtanzania wa kutokea kishumundu ni nani aliekuambia nchi zikiwa na migogoro haziwezi kuunda umoja wa kiuchumi?
Mfano nchi zinaweza kua na migogoro ya mipaka lakini zikawa na muungano wa kiuchumi kwa sababu hakuna namna lazima zishirikiane kiuchumi.
Muungano wa kiuchumi kati ya nchi zenye migogoro ndio inaweza ikawa tiba ya migogoro mingine kati ya nchi hizo.
Mfano mdogo ni nchi za EAC.
Kuna hotuba Mlm Nyerere anasema muungano wa EAC utazofanya baadhi ya nchi kusahau matatizo Yao ya ndani na kupambana kupigania maslahi Yao ya kiuchumi.
Hapa alikua akimaanisha nchi kama Rwanda,Uganda na Burundi.
Leo hii wewe Mtanzania unabeza umoja wa BRICS lakini hushangai umoja wa EAC upo kwa zaidi ya Mika 30.
BRICS IPO na inazidi kupata uungaji mkono.
Hizo nchi zote za BRICS na zile zinazotamani kujiunga zina wachumi na wanadiplomasia nguli.
Sasa wewe mkishumundu sijui unapata wapi ujasiri wa kiwadharau hao wanadiplomasia na wachumi wao.
Angalau angedharau Mjerumani,muingereza,,mfaransa muitaliano,mspaniola ,mjapani na Marekani.
Wewe mwenzangu una Nini Cha kiwazidi BRICS.
Haya tufanye ndani ya BRICS Kuna migogoro Sasa mbona wapo katika umoja Kwa zaidi ya miaka 20?
Watanzania wenzangu acheni dharau wakati nchi yetu bado inaagiza sukari licha ya kua tuna viwanda vya sukari.
Hebu onesha elimu Yako Kwa kumaliza tatizo la sukari wakati nchi yako Ina ardhi ya kuweza kulima chochote na kuuza nje.
Ujuaji na dharau ni mwingi mno wakati mbele Giza.
Ukiziangalia nchi hizi za EAC utagundua zaidi ya robo Tatu zina migogoro zenyewe kwa zenyewe,lakini bado haijazuia kuwemo ndani ya umoja huo.Hawawezi kumtoa India kwasababu kwa kipindi hiki ndio mnunuaji na mshirika mkubwa wa kibiashara na Putin, kingine hao India na China Wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani lakini Bado kila baada ya muda wanatwangana marungu hapo mpakani, ndiomaana nikasema humo ndani ya bricks Bado kuna changamoto lukuki