kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Kuna yule jamaa wa kuitwa (T-14 Armata) alisema ndani ya miezi 6 tu Urusi atakuwa kama Zimbambwe kwa vikwazo alivyowekewa.ila huu ni mwaka wa 2 kakimbia yeye jukwaani kwa aibu.Kwa Hali ilivyo Sasa hivi hapa duniani,USA UK na washirika wao walivyochanganyikiwa Urusi ilipoaanzisha smo yake wakamwekea vikwazo vingi pamoja na kumpa Ukraine Kila aina ya misaada ya kijeshi na isiyo ya kijeshi Kwa mawazo kwamba watamchosha Urusi na kumshinda.
Kuna watu humu jukwaani na nje ya jukwaa hili walikua wanaisifu USA kua,"aisee Marekani akili kubwa sana ,Sasa Urusi kwisha habari yake,"usicheze na Marekani bana,Urusi alikua anavutwa TU,Sasa ameingia kwenye Mifumo,"aah Putin atakamatwa kama Sadam Hussein",
Wale Marekani Wana akili sana aisee,wale ni akili kubwa sana "wana majesabu ya miaka mingi sana,"Putin kaingia mwenyewe Mtegoni".
Hali halisi ilivyo Sasa west wamechanganyikiwa baada ya vita ya Ukraine kutokuleta mafanikio waliyokua wanayataka na baadae kukazuka vita huko Middle east.
Hakika nakuambia vita ya middle east imewavuruga pakubwa sana west hasa Mkuu wa NATO yaani USA.
Vita ya middle east imemvuruga pakubwa sana Zelensky na Ukraine yake.
Imewavuruga kwa sababu hawajui washike wapi waache wapi.
USA imechanganyikiwa.
Kilichotokea middle east unaweza ukafukiri kilipangwa ili kubadilisha upepo wa vita ya Ukraine na Urusi,Hali ilivyo Sasa hapa duniania hasa vita kati ya Israel na waarabu ingekua inaifavour USA ,NATO,Ukraine na west ,hapa wale washabiki wa USA wangesema hii ni akili ya USA ya kutaka kumdhoofisha Urusi.,"aisee USA ni akili kubwa ,usicheze kabisa na wale watu"
Utadhani wamarekani ni binadamu tofauti na binadamu wengine.
Lakini kwa bahati mbaya vita ya middle east Imewaathiri sana USA west NATO na Ukraine kuliko urusi.kwa Urusi vita hii imekua na faida zaidi kama pro Russia wangekua na mawazo kama ya pro USA Leo wangejigamba na kusema Urusi ni akili kubwa.
Kibaya zaidi baada ya vita ya Ukraine kuanza ni kama imetokea maadui wa USA wameungana na kufanya pigo kubwa mno kwa USA.
Mfano Iran na Urusi,Urusi na north Korea,Urusi na china,Urusi na Arabs.
Hawa wote ni maadui wa USA .
Sasa hebu fikiria maadui wameungana tofauti na mwanzo hawakua kitu kimoja,hii sio nzuri na wala hayakua matarajio ya USA ,na Yana athari katika vita vya Ukraine.
Leo hii Kuna fununu china anataka kuivamia Taiwan,Hali hii hata kama haitakua kweli lakini inamchngaya USA.
Angalia majeshi ya USA na ufaransa yamefukuzwa baadhi ya maeneo ya Africa,hii nayo imewachanganya USA.
Haya yote ukiyaangalia Kwa jicho la mashabiki wa USA wangekuambia USA inaakiki sana imewachanganya Urusi Sasa Urusi kwisha habari yake.
Lakini kwa bahati mbaya Hali hii Haina madhara kwa Urusi Bali Ina madhara kwa marekani.sana najiuliza je ninwarusi ndio wameharibu Hali hii ya hewa?
Upepo sio mzuri kwa Marekani na Ukraine na NATO na west.
DuKuna yule jamaa wa kuitwa (T-14 Armata) alisema ndani ya miezi 6 tu Urusi atakuwa kama Zimbambwe kwa vikwazo alivyowekewa.ila huu ni mwaka wa 2 kakimbia yeye jukwaani kwa aibu.
Tulikuwa tukiiongea hapa kuwa Urusi alishamaliza kwa iyo hamtegemei mtu kwenye maisha yake ila watu walitutukana kila aina ya matusi, leo hii midomo imefumba awamini macho yao
Haki ya mungu Zelensky si mzima wa akili.Zelensky presented the "Victory Plan" in the Verkhovna Rada, the main points:
— Inviting Ukraine to NATO even before the end of the war;
— Continuation of operations on Russian territory and lifting of restrictions on strikes on its territory. Joint destruction of Russian aviation with partners, expansion of the use of Ukrainian drones and missiles; access to partners’ intelligence;
— Deployment of a “non-nuclear deterrent package” on the territory of Ukraine;
— Development of Ukraine’s strategic and economic potential and strengthening of sanctions against the Russian Federation;
— After the war ends, Ukrainian military can use their experience to strengthen the defense of NATO and Europe. The US contingent in Europe can be replaced by Ukrainian military.
According to Zelensky, the second, third and fourth points have secret appendices that were presented to partners.
======
Hakuna hata moja linalotekelezeka
Maskini Yukrein. Sasa si anakwenda kuwa yatima. Wanyamwezi Wanasema: "Nguo ya kuazima haisitiri Makalio"Finnish Foreign Minister Admits West Tired of Supporting Ukraine
Finland's Foreign Minister Elina Valtonen stated that Western countries are tired of supporting Ukraine, the Financial Times reports.
"Western countries are tired of their support for Ukraine and are increasingly hoping for some form of conflict resolution," the newspaper quotes Valtonen as saying, who urged her Western colleagues to redouble their efforts to help Kiev against the backdrop of the current situation.
"This is real ... and there is more and more of this kind of thing," the Finnish foreign minister said of Western fatigue.
She acknowledged that the conflict in the Middle East has diverted both attention and resources, and also caused many countries to think about finding a
BREAKING NEWS!!! Germany ends all military aid to Ukraine.Reason? It has lost the war.
Hal Turner World October 15, 2024
Germany will no longer transfer heavy military equipment to Ukraine.
The German Ministry of Defense has lost faith in the ability of the Ukrainian Armed Forces to achieve success on the battlefield.
Berlin does not believe that Ukraine will soon be able to carry out a counterattack.
. . . . . Ukraine has lost the war.
------------------------------------
CC:Kipanya.
Ni Kweli.Kuna kipindi pia nilikuwa naongea ila watu awakutaka kuniamini.Urusi ndo nchi yenye viwanda vingi vikubwa vya Silaha kuliko nchi yoyote ile duniani.
Na viwanda vingi vilijengwa toka kipindi cha Soviety.