LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
wambie nato russia kaishiwa na wanajeshi hakuna shida watie mguu
Mpaka kufikia kuomba wanajeshi N Korea ujue hali ni tete, wanajeshi wake wengi wamelambishwa mchanga, mobilization hakuna anaetaka tena hapo bado NATO haijaingia mazima
 
Siokwamba kaishiwa wanajeshi tofauti kabisa na Urusi ya sasa inatia aibu mpaka basii, hata wale walikuwa wakimtegemea kama Belarus sikuhizi raisi wao habwatuki hovyo Tena maana kaona aliekuwa anamtegemea yupo chali
Urusi ingekuwa inashambulia kama Israel inavyofanya Gaza, sasa hivi Zelensky angekuwa ni mkimbizi wa kisiasa anaishi USA.

Amini kwamba Russia ina silaha za kuigeuza Ukraine kuwa kama zaidi ya Gaza ya sasa mara 10, yaani inapigwa inakuwa Gaza halafu inarudishwa ilivyokuwa inapigwa tena inakuwa zaidi ya Gaza halafu inarudishwa hadi mara 10...

NATO imepeleka askari, intel, washauri, silaha n.k yeye kwanini mshirika wake NK asiingie kusaidia?

Ina maana unataka kutuaminisha US 2003 alikuwa hana uwezo kupambana na Iraq hadi kuingia na jamaa zake UK, Australia n.k?
 
Siokwamba kaishiwa wanajeshi tofauti kabisa na Urusi ya sasa inatia aibu mpaka basii, hata wale walikuwa wakimtegemea kama Belarus sikuhizi raisi wao habwatuki hovyo Tena maana kaona aliekuwa anamtegemea yupo chali
Mbona unasikitika xnaa kuliko warusi wenyewe.
Huruma yako peleka kwa Ukraine hapa kazi kazi
 
North Korea has sent its troops and weapons to Russia in exchange for money and technology, as part of an assistance agreement signed by two dictators in June 2024, Ukrainian Intelligence Chief Kyrylo Budanov said.
 
Ukiona wamagharibi wamekaa kimya au wanaripoti kinyonge jua.............hii ni jana!

Russian forces have made significant tactical advances into and around Selydove in recent days.

Russian advances into Selydove, as well as territorial gains to the south and north of the town, may soon cause Ukrainian troops to withdraw from the area to avoid being trapped within a collapsing pocket.

October 23, 2024, 7:45pm ET

 
Pamoja na back up ya wakorea,bado warusi wanaendelea kupelekwa jongomeo..,hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miambili walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱
 
Puttin Jana kwenye mkutano wa bricks,ukimuangalia unaona kabisa ana mawazo hata tembea yake sio kama zamani hajiamin Amin ..na ukrein zelensky hataki makubaliano yakusitisha vita ,bila kurudisha maeneo yote hapo bado hajaanza kutumia silaha zamasafa marefu, akianza tu urussi kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…