Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Aircraft carrier za marekani na UK zipo hapo miezi na miezi mbona wameshindwa kuzizamisha,cha kushangaza wanawagwaya migambo au na hao houth wamejificha nyuma ya raia hapo red sea maana mmeshindwa kutoboa kwa sungusungu wa yemen