Waliingiliana ki maslai..Aisee!
Kwani kwenye vita ya pili ya dunia walikua wakipigana Urusi na Marekani?
Aisee!
Kwani kwenye vita ya pili ya dunia walikua wakipigana Urusi na Marekani?
Kinu kikubw kabisa cha nuclear mataifa ya ulaya..Kiko UkraineUkraine wanamiliki silaha za nuclear?
Unaweza kunieleza matumizi ya hicho kinu kama hutojali.K
Kinu kikubw kabisa cha nuclear mataifa ya ulaya..Kiko Ukraine
Inawezekana huyu MIPANGO 99 ni katibu kwenye vikao vya Usalama huko Moscow. Japo yeye anaishi BunjuUmejuaje kama watakataa?
Habari kama hizi huwa zinasaidia sana kuongeza damu mwilini,habari kama hii unasoma huku mkononi umeshika pepsi ya BARIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIII yaani ni rahaa sanaDunia inapo elekea tumuombe Mungu tu!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1849390121390313955
NATO NDIYO WAPUMBAVU HAYO YOTE WAMEYAANZISHA WAO DHIDI YA NCHI ZINGINE WASIZO ZIPENDA... SASA NA HIZO NCHI WASIZO ZIPENDA ZILIVUMILIA BILA YA WAO KUFANYA KAMA NATO ILA KWA SASA WAMEONA HATARI YA NATO HIVYO NA WAO WAMEANZA KUZITUMIA KANUNI ZA NATO ZA KUUNDA UMOJA WA KUJIAMI WENYE MWONGOZO KAMA WA NATO ....watu amjiulizi kwanini nchi zilizo undiwa NATO zilikuwa nazo azijiungi dhidi ya nato sababu ni moja tu nchi hizo siyo chokozi wala korofi sema zimetengenezewa mazingira ya kuonekana ni korofi.Dunia inapo elekea tumuombe Mungu tu!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1849390121390313955
Hata hiyo nafasi ya nne wameionea tu,Russia 🇷🇺 ni ya kwanza hata mungu anajuaKweli au propaganda??
IMF upgrades Russia to world’s fourth-largest economy
The country is outperforming Japan in terms of purchasing power parity, according to the Washington-based organization
24 Oct, 2024 14:04
IMF upgrades Russia to world’s fourth-largest economy
The International Monetary Fund has ranked Russia as the fourth-largest economy globally by purchasing power paritywww.rt.com
Unajidanganya kwelikweli hata NATO wenyewe wanakushangaaPuttin Jana kwenye mkutano wa bricks,ukimuangalia unaona kabisa ana mawazo hata tembea yake sio kama zamani hajiamin Amin ..na ukrein zelensky hataki makubaliano yakusitisha vita ,bila kurudisha maeneo yote hapo bado hajaanza kutumia silaha zamasafa marefu, akianza tu urussi kwisha
Sasa marekani vita anaweza wapi ? Kazoea kuvutana ndevu na wavaakobazi ataweza kupambana kweli ...kuitegemea marekani kuishinda nchi yenye nguvu ni kituko kingine cha duniaIf North Korean military forces join Russia’s war against Ukraine, the US should consider the possibility of direct military action, said U.S. House Intelligence Commitee Chairman Turner.
According to him, North Korea’s involvement in the war should become a “red line” for the U.S. and NATO.
Alooo, hivi hawa jamaa waliingia wangapi uko Kursk…DoohKiev’s losses in Russia’s borderline Kursk area reach 26,000 troops, says Putin
KAZAN, October 24. /TASS/. The Kiev regime has suffered 26,000 irretrievable and sanitary losses in Russia’s borderline Kursk Region, Russian President Vladimir Putin said at a press conference on the results of the BRICS Summit on Thursday.
"As far as we know, the [Ukrainian] parliament again voiced not a peace proposal but some new plan, a 'victory plan.' Well, as for the victory, the [Kiev regime’s] losses amounted to some 16,000 troops in attempts to carry out the so-called counteroffensive operations last year. These are sanitary and irretrievable [losses]. Over the past month and slightly more, as far as I remember, these losses in the Kursk area - also sanitary and irretrievable - already amounted to 26,000, including equipment losses," the Russian leader said.
During its counteroffensive last year, the Ukrainian army lost about 18,000 items of military equipment, Putin said.
"Now this figure is larger by about a thousand. It is true that it [the Ukrainian army] has lost fewer tanks, almost one hundred less. However, it seems to me that they [Ukrainian troops] have simply employed them less because their number has decreased in the Ukrainian army. But it would be better to sit down to a negotiating table and hold these negotiations, proceeding from realities and the situation on the ground than to cite these figures," the head of state stressed.
Na Ukraine Kila akiangalia mazoezi ya hivyo vijitu vinapinda nondo Kwa shingo anazidi kuchanganyikiwa.Afe kipa, afe beki ushindi lazima!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1849486361436295460
It's actually the other way round, what' you smoking?Puttin Jana kwenye mkutano wa bricks,ukimuangalia unaona kabisa ana mawazo hata tembea yake sio kama zamani hajiamin Amin ..na ukrein zelensky hataki makubaliano yakusitisha vita ,bila kurudisha maeneo yote hapo bado hajaanza kutumia silaha zamasafa marefu, akianza tu urussi kwisha