ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Hawajiulizi kwanini tokea dunia imeumbwa nchi pekee imewahi tumia nyuklia kwa mwenzake ni Marekani.Na unafikiri kwa nini au sababu zipi zimpelekee Putin atumie nuclear?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajiulizi kwanini tokea dunia imeumbwa nchi pekee imewahi tumia nyuklia kwa mwenzake ni Marekani.Na unafikiri kwa nini au sababu zipi zimpelekee Putin atumie nuclear?
Duuh!!😇😇😇😇Kwasababu na wao..Wana familia so ukrein nayo ikijibu kwa nyuklia hamna atakaye salia ..ndo maana kwenye vita yapili ilibaki kidogo urussi na marekani wafytuane kwa nyuklia lakini..alie okoa jaazi alikuwa nikamanda wa urussi
Kwani wanatofauti gan nasisi wadunia ya3..tunae vunja tofali kwa kiwikoNa Ukraine Kila akiangalia mazoezi ya hivyo vijitu vinapinda nondo Kwa shingo anazidi kuchanganyikiwa.
Mwamba huyu hapaRussian officials have reacted angrily to a T-shirt worn by Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy during his traditional evening video address on Oct. 23 with the message "make russia small again".
View attachment 3134686l
It's actually the other way round, what' you smoking?
Urusi kusaidiwa wanajeshi lazima iwe habari kubwa kwakuwa ni taifa tuliloaminishwa kuwa na nguvu hata kuizidi USA, sasa washirika wa Ukraine inawapatia tusilaha tudogo tena zinakuja kwa kuchelewa na kwa masharti ya kutoipiga Urusi ndani kwake, imagine Ukraine ingekuwa na silaha kama alizokuwanazo Urusi, taifa lapili kijeshi ndio linahenyeshwa na kataifa kadogo chenye kupewa misaada, huyu huyu ndio apigane na USA kwelii..Marekani hakuna vita alipugana alone, lazima abebe visaidizi
Wakorea wanakuumiza roho sana ili hali kijiji kizima kinamsaidia ukraine? Mkuki kwa nguruwe...
Uone sasa mashabiki wa Urusi walivyo waongo kupindukia, Tuliambiwa wameingia 12,000, wakaja na taarifa kuwa wote walioingia Kursk wamezungukwa tayar kwamaana hawawezi kusonga mbele Wala kurudi nyuma, wamekatiwa njia zote za uingizwaji silaha, leo hii tunaambiwa wamekufa 26,000 mpaka sasa, ndo ujiulize hao walioongezeka wamepitia wapi na mahitaji yote ikiwemo chakula na silaha zinapitia wapi..Alooo, hivi hawa jamaa waliingia wangapi uko Kursk…Dooh
Ni wengi kwa kweliAlooo, hivi hawa jamaa waliingia wangapi uko Kursk…Dooh
Pale Kursk ni Ukraine?Urusi kusaidiwa wanajeshi lazima iwe habari kubwa kwakuwa ni taifa tuliloaminishwa kuwa na nguvu hata kuizidi USA, sasa washirika wa Ukraine inawapatia tusilaha tudogo tena zinakuja kwa kuchelewa na kwa masharti ya kutoipiga Urusi ndani kwake, imagine Ukraine ingekuwa na silaha kama alizokuwanazo Urusi, taifa lapili kijeshi ndio linahenyeshwa na kataifa kadogo chenye kupewa misaada, huyu huyu ndio apigane na USA kwelii..
Wapi nimesema Kursk ipo Ukraine?Pale Kursk ni Ukraine?
Maonihuru alisema ndani ya wiki tatu wangekosa chakula na misaada ya kibinadamu ila sasa sijui wanavuna mahindi waliyolima ndani ya Kursk ndo chakula chao?Huu uzi toka Ukraine watangaze kuingia Kursk sikuwahi kuufungua kuogopa kuona maangamizi ambayo Putin alikuwa anaenda kuyafanya huko Kursk ila Cha ajabu Leo nimeufungua naona bado wanajeshi wa Ukraine wanadunda kama kawaida huko Kursk.
Kulikoni supapawa?
Nadhani Sasa Ukraine apewe maua yake kwamba anakabiliana uso kwa uso na miamba hatari ya kivita duniani,tusisahau pia Irani ndiye aliyefungua ukurasa kwa kutuma specialists wa kuoperate drones uko Ukraine..,bila shaka kila Mmoja alipata taharifa miezi michache iliyopita, specialists wengine wa Iran walilambishwa mchanga na shambulizi la Ukraine walipokuwa kwenye missions zao huko Donetsk
"Ukrain" hali ya usalama si yakuridhisha kwasasa,ni hatati kwenda sote,unaonaje tukiyakusanya hayo Maua na kukukabidhi mtumishi uyapekeke!?Nadhani Sasa Ukraine apewe maua yake kwamba anakabiliana uso kwa uso na miamba hatari ya kivita duniani,tusisahau pia Irani ndiye aliyefungua ukurasa kwa kutuma specialists wa kuoperate drones uko Ukraine..,bila shaka kila Mmoja alipata taharifa miezi michache iliyopita, specialists wengine wa Iran walilambishwa mchanga na shambulizi la Ukraine walipokuwa kwenye missions zao huko Donetsk
Yaani ni mambo ya ajabu ajabu tu, mashabiki wa Urusi ndivyo walivyo tumeshawazoea, hasa kp kipanya ni mvumilivu sanaaMaonihuru alisema ndani ya wiki tatu wangekosa chakula na misaada ya kibinadamu ila sasa sijui wanavuna mahindi waliyolima ndani ya Kursk ndo chakula chao?
Tupunguze ushabiki, yaani Mkuu wa Majeshi atoe kibali cha Jeshi kuingia ndani ya Russia alafu mtu anayeishi Tanzania anasema hawatamaliza wiki tatu..
Maonihuru alisema ndani ya wiki tatu wangekosa chakula na misaada ya kibinadamu ila sasa sijui wanavuna mahindi waliyolima ndani ya Kursk ndo chakula chao?
Tupunguze ushabiki, yaani Mkuu wa Majeshi atoe kibali cha Jeshi kuingia ndani ya Russia alafu mtu anayeishi Tanzania anasema hawatamaliza wiki tatu