LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
It's actually the other way round, what' you smoking?
FB_IMG_17288161689389066.jpg
 
Marekani hakuna vita alipugana alone, lazima abebe visaidizi

Wakorea wanakuumiza roho sana ili hali kijiji kizima kinamsaidia ukraine? Mkuki kwa nguruwe...
Urusi kusaidiwa wanajeshi lazima iwe habari kubwa kwakuwa ni taifa tuliloaminishwa kuwa na nguvu hata kuizidi USA, sasa washirika wa Ukraine inawapatia tusilaha tudogo tena zinakuja kwa kuchelewa na kwa masharti ya kutoipiga Urusi ndani kwake, imagine Ukraine ingekuwa na silaha kama alizokuwanazo Urusi, taifa lapili kijeshi ndio linahenyeshwa na kataifa kadogo chenye kupewa misaada, huyu huyu ndio apigane na USA kwelii..
 
Alooo, hivi hawa jamaa waliingia wangapi uko Kursk…Dooh
Uone sasa mashabiki wa Urusi walivyo waongo kupindukia, Tuliambiwa wameingia 12,000, wakaja na taarifa kuwa wote walioingia Kursk wamezungukwa tayar kwamaana hawawezi kusonga mbele Wala kurudi nyuma, wamekatiwa njia zote za uingizwaji silaha, leo hii tunaambiwa wamekufa 26,000 mpaka sasa, ndo ujiulize hao walioongezeka wamepitia wapi na mahitaji yote ikiwemo chakula na silaha zinapitia wapi..
 
Ukrainian forces have killed, injured, or captured 17,819 Russian soldiers in Kursk Oblast since the first days of Kyiv's incursion, Commander-in-Chief Oleksandr Syrskyi claimed on Oct. 25.
 
Mzee wa mikwara kama kawaida yake!

Ukrainian troops in Kursk Region oblivious to being encircled – Putin​

Ukrainian military units in Russia’s Kursk Region, which have been cut off from the border, are apparently not aware how bad their situation is, President Vladimir Putin has said.

On Thursday, Putin claimed during a press conference that up to 2,000 Ukrainian troops had been encircled on Russian soil

25 Oct, 2024 12:54

Huu uzi toka Ukraine watangaze kuingia Kursk sikuwahi kuufungua kuogopa kuona maangamizi ambayo Putin alikuwa anaenda kuyafanya huko Kursk ila Cha ajabu Leo nimeufungua naona bado wanajeshi wa Ukraine wanadunda kama kawaida huko Kursk.

Kulikoni supapawa?
 
Jini Putin... sijui kwa Hawa wa kwetu Ila inaonekana kwa walioendelea nafasi ya URAIS au waziri mkuu ni wito.

Kuna wajinga wamezungukwa huko Kursk Bila ya kujijua na majaribio ya kuwaokoa yamekuwa yakifeli.

Russia inafanya maamuzi kwa maslahi yake na si kwa kelele za wengine, kama na wao wanaweza wafanye ndio nilivyoelewa.

Kelele nyingi kumbe nyuma ya pazia wanawatumia TURKEY kwa mazungumzo.
 
Urusi kusaidiwa wanajeshi lazima iwe habari kubwa kwakuwa ni taifa tuliloaminishwa kuwa na nguvu hata kuizidi USA, sasa washirika wa Ukraine inawapatia tusilaha tudogo tena zinakuja kwa kuchelewa na kwa masharti ya kutoipiga Urusi ndani kwake, imagine Ukraine ingekuwa na silaha kama alizokuwanazo Urusi, taifa lapili kijeshi ndio linahenyeshwa na kataifa kadogo chenye kupewa misaada, huyu huyu ndio apigane na USA kwelii..
Pale Kursk ni Ukraine?
 
Huu uzi toka Ukraine watangaze kuingia Kursk sikuwahi kuufungua kuogopa kuona maangamizi ambayo Putin alikuwa anaenda kuyafanya huko Kursk ila Cha ajabu Leo nimeufungua naona bado wanajeshi wa Ukraine wanadunda kama kawaida huko Kursk.

Kulikoni supapawa?
Maonihuru alisema ndani ya wiki tatu wangekosa chakula na misaada ya kibinadamu ila sasa sijui wanavuna mahindi waliyolima ndani ya Kursk ndo chakula chao?
Tupunguze ushabiki, yaani Mkuu wa Majeshi atoe kibali cha Jeshi kuingia ndani ya Russia alafu mtu anayeishi Tanzania anasema hawatamaliza wiki tatu..
 
Nadhani Sasa Ukraine apewe maua yake kwamba anakabiliana uso kwa uso na miamba hatari ya kivita duniani,tusisahau pia Irani ndiye aliyefungua ukurasa kwa kutuma specialists wa kuoperate drones uko Ukraine..,bila shaka kila Mmoja alipata taharifa miezi michache iliyopita, specialists wengine wa Iran walilambishwa mchanga na shambulizi la Ukraine walipokuwa kwenye missions zao huko Donetsk

"Ukrain" hali ya usalama si yakuridhisha kwasasa,ni hatati kwenda sote,unaonaje tukiyakusanya hayo Maua na kukukabidhi mtumishi uyapekeke!?
 
Maonihuru alisema ndani ya wiki tatu wangekosa chakula na misaada ya kibinadamu ila sasa sijui wanavuna mahindi waliyolima ndani ya Kursk ndo chakula chao?
Tupunguze ushabiki, yaani Mkuu wa Majeshi atoe kibali cha Jeshi kuingia ndani ya Russia alafu mtu anayeishi Tanzania anasema hawatamaliza wiki tatu..
Yaani ni mambo ya ajabu ajabu tu, mashabiki wa Urusi ndivyo walivyo tumeshawazoea, hasa kp kipanya ni mvumilivu sanaa
Maonihuru alisema ndani ya wiki tatu wangekosa chakula na misaada ya kibinadamu ila sasa sijui wanavuna mahindi waliyolima ndani ya Kursk ndo chakula chao?
Tupunguze ushabiki, yaani Mkuu wa Majeshi atoe kibali cha Jeshi kuingia ndani ya Russia alafu mtu anayeishi Tanzania anasema hawatamaliza wiki tatu
 
Back
Top Bottom