Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Hao wote wanaenda kushia mbolea huko Ukraine
Kwani kikiwa Ukraine ndio lazima awe na silaha za nyuklia? Nyuklia ni zaidi ya silaha. Ni kwa ajili ya nishati hasa matumizi ya umeme.K
Kinu kikubw kabisa cha nuclear mataifa ya ulaya..Kiko Ukrain
Wa Ukraine wakifa hawawi mbolea, warusi wakifa Hawawi mbolea Ila Wakorea wakifa wanakuwa mbolea?Hao wote wanaenda kushia mbolea huko Ukraine
Unapoteza muda kujadiliana nae mpotezee!Aisee!
Kwani kwenye vita ya pili ya dunia walikua wakipigana Urusi na Marekani?
Bhs kutokana navita vinavyo endelea..marekani atakuwa asha mpatia silaha za nuclear ukrein..ilikujilinda na mruss akitumia nuclear na ukrein nayo ijibuKwani kikiwa Ukraine ndio lazima awe na silaha za nyuklia? Nyuklia ni zaidi ya silaha. Ni kwa ajili ya nishati hasa matumizi ya umeme.
Ukraine hana silaha za nyuklia.
Hatuwezi kuitenga Urusi ila ni rahisi mno kuitenga Ukraine#Zelensky once again demonstrates how to effectively confront those who protect and endorse international war criminals.
"Zelensky has refused to meet with #UN Secretary-General António #Guterres during his visit to Ukraine after Guterres attended the BRICS summit in russiaView attachment 3135539."
Jamaa anaonekana ni KIAZI kweli kweli!Hivi kuna ulazima wa kuzungumza jambo ambalo huna elimu nalo hata kwa 20%.
Hii tabia humu ndani JF ni kama imeshindikana kutibiwa.
Wengine malezi yenu yapoje?
MAREKANI kamwe hatafanya Hilo maana anajua fika akifanya hivo Mrusi atawapatia wahuni walio karibu na maslahi ya MAREKANIBhs kutokana navita vinavyo endelea..marekani atakuwa asha mpatia silaha za nuclear ukrein..ilikujilinda na mruss akitumia nuclear na ukrein nayo ijibu
Propaganda!Wenye akili na waelewe
The recent Russian counterattacks in Kursk have retaken up to half of the territory first seized, casting doubt on how long Kyiv will be able to continue holding it.
Wamesema wenyewe
Ulitaka CDF wa ukraine aseme ni kweli wamezingirwa?!
Zitapitia wapiMAREKANI kamwe hatafanya Hilo maana anajua fika akifanya hivo Mrusi atawapatia wahuni walio karibu na maslahi ya MAREKANI