kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Neno "marginally" kwa mujibu wa dictionary yangu 👇👇👇👇Wanaripoti kinyonge sana,hii ni jana!
Russian forces recently marginally advanced near Kupyansk, southeast of Pokrovsk, and southwest of Donetsk City.
October 28, 2024, 4:30pm ET
Institute for the Study of War
This page collects ISW and CTP's updates on the conflict in Ukraine. In late February 2022, ISW began publishing daily synthetic products covering key events related to renewed Russian aggression against Ukraine.www.understandingwar.org
Umeelewa nini "wanaripoti kinyonge"??Neno "marginally" kwa mujibu wa dictionary yangu
🤩😍🤩😍🤩😍Mambo yanakwenda kwa kasi sana, huyu huyu tukiyeaminishwa kwamba ni supa pawa juzi kaomba wanajeshi 10,000 toka Korea kaskazini wamsaidie.
Inafikirisha sana kama si kuaibisha.
Nadhani ishu ya North Korea kama inapotoshwa, kwanza hawapeleki askari frontline bali ni maeneo yaliyopo chini ya Urusi
Nchi yenye jeshi Kubwa zaidi ni China.Hadi aibu aisee, nchi tulioaminishwa ina jeshi kubwa zaidi ndio hii inapewa wanajeshi kutoka Korea? Alafu wafuasi wake humu wanamsifia kila kukicha wakidhani Urusi ndio dunia
Mkuu Korea haijawai pigana Vita ?Nadhani ishu ya North Korea kama inapotoshwa, kwanza hawapeleki askari frontline bali ni maeneo yaliyopo chini ya Urusi
Mbili, North Korea hajawai kupigana vita yoyote, hivyo hawana experience na modern warfare, tofauti na south ambaye anafanya mazoezi ya kijeshi mara kwa mara na westen allies. Hii ni sehemu yake ya kupata uzoefu, mbinu mbalimbali, matumizi ya drones, logistic and suply
Hiki ndio kinachowaogopesha South na West, North korea anaenda kupata practical experience
Mara ya mwisho ilikuwa in 1950's. Hawajawahi kupigana kwenye Morden eraMkuu Korea haijawai pigana Vita ?
Kiduku kaomba kwa putin mazoezi live kwa askari wake kwanini putin amkatalie wakati kuna sega la asali la Kursk tunalina asali polepole ....mbona USA kapeleka ukrain kujifunza vita
Katika modern warfare ni vita ipi ambayo N.korea amepiganaMkuu Korea haijawai pigana Vita ?
Huyu jamaa kama hana akili hivi ..kuwanyima watu wengine kutumia sarafu yako kwao ndo democracyNaona kama wanakaribia kusema ila bado watasema tu yaani mpaka waseme😁😁😁😁😁😁😁😁
Unataka kuniangusha waache wafe si wametaka wenyeweSasa hivi kusikia Urusi imekua wanajeshi 500 wa UkraiNATO sio habari Tena, habari ni kukomboa maeneo TU.
Lkn naomba niwaambie kua binadamu wenzetu wa Ukraine wanakufa aisee
Russian forces liberate Tsukurino community in Donbass region over past day
Russia’s Battlegroup Center inflicted more than 520 casualties on Ukrainian troops and destroyed a foreign-made air defense radar in its area of responsibility over the past day
MOSCOW, October 28. /TASS/. Russian forces liberated the community of Tsukurino in the Donetsk People’s Republic (DPR) over the past day in the special military operation in Ukraine, Russia’s Defense Ministry reported on Monday.
"Battlegroup Center units liberated the settlement of Tsukurino in the Donetsk People’s Republic as
Ila supapawa mkuu aliomba kolabo ya mataifa zaidi ya 20 kuwaangusha Sadam na Gaddafi hili halifikirishiMambo yanakwenda kwa kasi sana, huyu huyu tukiyeaminishwa kwamba ni supa pawa juzi kaomba wanajeshi 10,000 toka Korea kaskazini wamsaidie.
Inafikirisha sana kama si kuaibisha.