LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kila upande umepata hasara,lkn kumbuka Urusi kuyakamata majimbo hayo Yana faida kubwa mno kiuchumi na heshima.
Katika vita hii NATO na nchi za west zimepata hasara mno pia kwa maana ya watu na vifaa.
Ingawa imekua ni Siri lkn west pia wepoteza vifaa vingi na askari.
Ukraine ndio aliepata hasara kubwa zaid.
Kuna nchi za west Hadi zimeyumba kiuchumi sababu ya vita hii
Watu mtakataa lkn vita hii ni vita kati ya nchi za west dhidi ya Urusi.
Mtakataa pia lkn Urusi ameonesha uwezo mkubwa mno.
Nchi moja imewekewa vikwazo vya Kila aina na nchi anayopigana nayo imesaidiwa kwa Kila aina ya msaada inaoutaka lkn Urusi bado Iko kama hakuna vita.usiidharau nchi hiyo.
Uchumi wa Ujerumani umeyumba kutokana vita hii.

Kama yeye Taifa lenye nguvu za kiuchumi ameyumba?, vipi mataifa madogo na yenye Uchumi dhaifu kule Ulaya?

Democrats wameanguka kwenye uchaguzi wa Marekani kwa sababu ya Vita hii, Uchumi wa Marekani ulitingishika, fatilia

Hii ni vita waliyoingia kinyume nyume matokeo yake Mataifa ya magharibi yamedhalilika na kupungua influence yao duniani, huku Mrusi ikipaa kuanzia Ulaya, Amerika mpaka Afrika.

Tuendeleze mapigano Ili tujue mbivu na mbichi
 
"Allowing Ukraine to strike Russia, will make Putin surrender"

Not even with half the Soviet Union destroyed and 8m germans, did Moscow ever bow. No one, and I mean no one has ever backed Russia in the corner and won.

The west is making a huge mistake, the world's last mistake.
 

Mkuu Russia waliishasema kwamba kutumiwa kwa silaha hizo hakutabadili matokeo ya uwanja wa vita isipokuwa labda uharibifu wa majengo.

Russia kwa kuwa na taarifa kitambo walikwishahamisha vifaa vingi vya gharama kubwa kwenda ndani zaidi hivyo kuacha eneo la Kurks kuwa na majeshi yanosogea yaani "mobile".

Hizo silaha ni kwa ajili ya kuisaidia tena Ukraine kukomboa sehemu ambazo wameanza kuzipoteza hapo Kursk, hivyo ni katika jaribio la mwisho kufanya hivyo.

Hivyo silaha hizo zitatumika Kursk hivyo kuondoa nadharia kwamba silaha hizo zitatumika ndani zaidi ya Russia.

Mtazamo uliopo ni kwamba majibu ya Russia yatategemea silaha hizo zimerushwa kutokea upande upi ingawa yasemwa ni Poland au Romania.
 
Kwahyo Urusi kapata hasara zaidi kushinda Ukraine na washirika wake?? Ebu tuelezee hzo hasara ambazo urusi kazipata na Ukraine hajazpata
Je, Ukraine haijapata hasara? USA Haijapata hasara ya rasilimalifedha?
Je Russia akichukua Mikoa mitano ya ukraine na rasilimali zake haitopata faida?
Kila upande umepata hasara,lkn kumbuka Urusi kuyakamata majimbo hayo Yana faida kubwa mno kiuchumi na heshima.
Katika vita hii NATO na nchi za west zimepata hasara mno pia kwa maana ya watu na vifaa.
Ukraine imesubiri hili kwa muda mrefu....

Good move...

 
⚡Russian Kh-101 cruise missiles hitting Rovenskaya 330 electrical substation in Rivne.
 

Attachments

  • 18903651_screenshot20241117051000opera_jpegf97cdc5b5c9dc7a9344c8fc51d3b93fd.jpeg
    18903651_screenshot20241117051000opera_jpegf97cdc5b5c9dc7a9344c8fc51d3b93fd.jpeg
    184.1 KB · Views: 2
"Allowing Ukraine to strike Russia, will make Putin surrender"

Not even with half the Soviet Union destroyed and 8m germans, did Moscow ever bow. No one, and I mean no one has ever backed Russia in the corner and won.

The west is making a huge mistake, the world's last mistake.
Good and well calculated move but too late..

 
Hawa watu wa west wako kama mashoga yaani,maana hata huwezi kusema wako kama watoto,kwa sababu watoto bado ni watoto akili zao hazijakomaa.
Leo wanalaalmika kua eti Urusi inatumia Gesi kama silaha.
Vita ni vita vita hivi ni vita vya moto na vita vya kiuchumi Kila mtu atumie Kila silaha aliyonayo kushinda vita
Sasa wao wanalalamika Urusi kutumia Gesi kama silaha,mbona USA ametumia USD na vikwazo dhidi ya Urusi ili kumdhoofisha Urusi lkn wamekua kimya?
Aisee Hawa west ni zaidi ya mashoga.
USA na west Kila siku wanamuongezea vikwazo wanaona Raha TU,yeye kuwatingisha kwa vikwazo vya Kuwauzia Gesi wanalalamika.
Aisee Putin katufqnya tuwajue wazungu akili zao,kua sio Kila mzungu ana akili.
Hata mimi hilo la Ulaya kumlalamikia Urusi kuwa anatumia gas kama silaha limenishangaza sana. Yaani wanalalamika as if hakuna vita, so Urusi ameamua kuwanyanyasa. Wao wamemwekea vikwazo naye anawawekea vikwazo vyake. Yaani ni Tit for Tat.
 
Back
Top Bottom