Nilidhani umekomaa kiuchambuzi lkn kumbe bado sana.
Hapa hakuna good move wala kuchelewa.
Iko hivi,
kama wangeruhusu tokea mwanzo kutumia makombora Yao kupiga ndani ya Urusi,vita isingekua kama ilivyo Leo.
Nakuhakikishia Leo hii miji ya new York, London, Paris, Bucharest n.k ingekua magofu TU,Leo hii china, north Korea,Iran na marafiki zao wangekua wanarusha makombora upande wa west na kinyume chake.Hakika hii ingekua vita ya Tatu ya Dunia,kitu ambacho west wemekua wakikiogopa sikuzote.
Hata hivyo,si tuko hapa Mimi na wewe Sasa subiri warushe hayo mabomu Yao huko Moscow ndio utakua kama Putin anatania,maana kwa Hali ya kawaida hiyo itakua ni vita rasmi Sasa kati ya Urusi na west.Je Urusi atawapigia magoti ama atawarudishia majibu stahiki?
Mimi nakuambia tusiaongee sana,tusubiri tuone.
Kumbuka hayo makombora Yao hayawezi kurushwa bila msaada wa satellite zao,maana yake wao ndio watakua wamempiga Urusi.
Je unafukiri raia wa NATO wako tayari kua wakimbizi kwa sababu ya Ukraine?
Ukraine inawapa Nini NATO Cha maana?
Tusubiri.