maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
"WHY DO WE NEED WORLD WITHOUT RUSSIA"Kile kizee kijinga kinataka kufa na sisi kife chenyewe pumbafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"WHY DO WE NEED WORLD WITHOUT RUSSIA"Kile kizee kijinga kinataka kufa na sisi kife chenyewe pumbafu
Kichapo kimeshaanza kutembea🔥🇺🇦🔥🇺🇦🔥🇺🇦🔥🇺🇦"WHY DO WE NEED WORLD WITHOUT RUSSIA"
Ni kweli ATACMS 6 zimetumika kushambulia ndani ya Russia. Hata hivyo, zote zimetunguliwa kabla ya kuleta madhara.Russia ameshaanza kukungutwa kwa atacims huko🤩😍🤩😍😍
Ukraine fired missiles at Russia for the first time with Biden's permission. "Today, for the first time in history, the AFU struck a military facility on Russian territory with US ATACMS missiles."View attachment 3156065
Ulitegemea warusi wakwambie zime-hit target?Ni kweli ATACMS 6 zimetumika kushambulia ndani ya Russia. Hata hivyo, zote zimetunguliwa kabla ya kuleta madhara.
Naunga mkono hojaTunampenda Russia si kwa sababu yeye ni mtakatifu lkn sababu anatusaidia kutunyooshea hao wajinga - tunapata check and balance- anawatia speed governor..pateni picha Russia angekua ni genge lao - hawa jamaa wangeturudia tena mara ya pili.
Bila shaka Russia atalipiza mapigo, Ukrainian citizens jiandaeni na majibu mazitoPutin ameshaanza kuonja moto wa atacims 🔥🇺🇦🔥🇺🇦🔥
The Ukrainian Armed Forces have struck an ammunition depot arsenal in the Bryansk region, Russia. 12 explosions and a detonation were recorded
View attachment 3156269
Putin amalize hili suala kwa kuchoma Msanii ndio liwe jibu la hii na kusaidia Houth kupiga kule MarekaniKwani hizo ATAMACS zilikua hazitumiki kwenye uwanja wa vita?? Zimeleta mabadiliko gan
Naam,na tuendelee kufarijiana kwa maneno hayo milele na milee amen 🙏🙏🙏🙏Russia ni mwamba kwerikweri, kuyakalisha zaidi ya mataifa 30 sio mchezo
Bora wewe umetoka na kutoa ya moyoni kuliko wenzako hambao wanajifanya hawaoni kwamba bwana mkubwa anadhalilishwa!Putin anafeli sana!
Utaendelea kuwaachia watu mpaka lini wakujaribu?
Si kila jambo la kuchukulia hekima! Akumbuke kuna watu wanakufa wanajeshi wake aache kujifanya master mind sana!
Apunguze maneno mengi afanye kweli! Lugha pekee US anayoielewa ni kama Iran anavyofanya kwa Israel, akiweka ugoko wewe unaweka chuma.
Kuna kipindi magaidi wa Msumbiji walikuwa wanapiga ndani ya Tanzania halafu wanakimbilia Msumbiji.
Tanzania ikaona liwalo na liwe! Wakapiga mizinga kutoka huku huku Tanzania ikaenda kupiga Msumbiji huko huko kwa hao magaidi.
Msumbiji akajifanya kuja juu akaambiwa wamedhibiti waasi wako! Wakipiga na sisi tunapiga.
Jana ulituambia warusi wameingia katikati ya chenihiv,vip wanaendeleaje huko🤩😍🤩😍Nyie endeleeni tu kupiga kelele ila Warusi huko wanakaribia katikati ya mji wa Kupyansk na mji wa Chasov yah.siku si nyingi hii miji itakuwa sehemu ya UrusiView attachment 3156371View attachment 3156372
Russia inazidi kuchukua maeneo!Bora wewe umetoka na kutoa ya moyoni kuliko wenzako hambao wanajifanya hawaoni kwamba bwana mkubwa anadhalilishwa!