kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
usimchukulie serious sana huyo jamaa ni muongo muongo alishatoa ahadi hapa tumuite Aisha mitako.😄Jana ulituambia warusi wameingia katikati ya chenihiv,vip wanaendeleaje huko🤩😍🤩😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usimchukulie serious sana huyo jamaa ni muongo muongo alishatoa ahadi hapa tumuite Aisha mitako.😄Jana ulituambia warusi wameingia katikati ya chenihiv,vip wanaendeleaje huko🤩😍🤩😍
Kumbe anawasiwasi atapigwa⚡Russia has begun mass production of mobile nuclear shelters for the first time.
The production of innovative modular shelters "KUB-M" has begun in Dzerzhinsk, Nizhny Novgorod. They can be used to protect people from various threats, including the light radiation of a nuclear explosion and radioactive contamination of the area.
"The start of serial production of a modular shelter is an important step towards increasing the safety of citizens. In the future, such developments will lead to the creation of new effective systems for protecting the population," says a statement on the VNII GOChS website.
Rescuers note that this event was the result of many years of research and efforts by scientists in the field of protecting the population and territories from emergency situations.
Hii ukiikosea na kupiga hesabu vibaya unakuwa na insurgent group nyingi, inakuwa vigumu kuiendesha nchi na itakuwa risk kubwa kwa urusi (kuongezeka kwa vikundi vya kigaidi). Mfano mzuri ni Libya, Iraq na AfghanistanPutin amalize hili suala kwa kuchoma Msanii ndio liwe jibu la hii na kusaidia Houth kupiga
Ukraine wamefanya makosa tayari wamekiuka makubaliano kwamba wapige Kurks wao wameamua kupiga Bryansk.❗️🇷🇺/🇺🇦 NEW: Ukraine has struck a target deep inside Russia with US-made ATACMS ballistic missiles for the first time
The strike was conducted against a weapons storage facility in Russia's Bryansk region, over 100km across the border. The Russian Ministry of Defense says six ATACMS missiles were fired, 5 of which were intercepted.
Biden karuhusu makombora yapige sehemu ya Kurks jimbo ambalo sehemu yake moja ndipo yalipo majeshi ya Ukraine.⚡Putin signed a decree approving an updated doctrine on the use of nuclear weapons — TASS
Putin namuona ni mtu wa michakato mingi na anajifanya master mind.Biden karuhusu makombora yapige sehemu ya Kurks jimbo ambalo sehemu yake moja ndipo yalipo majeshi ya Ukraine.
Zelensky yeye kaamua kupiga Bryansk ambalo ni jimbo jingine la Russia ambalo ipo ghala kubwa la silaha. kwa mujibu taarifa za kijasusi za NATO na Marekani. Lengo la Zele ni kutaka kuzivuta nchi za NATO zijiingize kwenye hiyo vita jambo ambalo litapelekea vita ya tatu ya Dunia na Russia hawataki hali hiyo itokee.
Tukumbuke Ukraine haina uwezo wa kutumia vifaa na mitambo hiyo wao hupewa taarifa na kijasusi na kisha wale operators huanza kazi kuset mitambo na kuweka kila kitu sawa zikiwemo passwords ili kurusha makombora. hayo.
Putin kusaini hiyo doctrine si kwamba Russia watatumia mabomu ya nyuklia bali ikibidi watatumia tactical nyuklia ambazo zitatumiwa dhidi ya majeshi ya Ukraine ndani ya uwanja wa vita.
Tukumbuke hizi tactical nyuklia zabeba kichwa chenye bomu la nyuklia lakini bomu lenyewe laweza kuwa ni torpedo, kombora la masafa mafupi au bomu la kuchima (gravity bomb) na kiukweli haya mabomu ya tactical yapo ya aina nyingi na Russia anazo zote.
Kwanini Russia amebadili hiyo doctrine pia ni kwa sababu wao NATO na Ukraine wameamua kutumia mabomu ya masafa marefu kwasababu mabomu hayo si ya kutumika katika uwanja wa vita bali ndani ya nchi husika na ndo tumeona wamefanya hivyo.
Kwa kuwa pia Russia ana mabomu ya kistratejia (strategic nuclear weapon) hawezi kutumia mabomu hayo isipokuwa kama ndo wameamua dunia imalizwe.
Putin Hana red line,nimeshamuona Ni boya tu.Wazungu watamtesa Sana,he don't walk the talk.Putin anafeli sana!
Utaendelea kuwaachia watu mpaka lini wakujaribu?
Si kila jambo la kuchukulia hekima! Akumbuke kuna watu wanakufa wanajeshi wake aache kujifanya mastermind sana!
Apunguze maneno mengi afanye kweli! Lugha pekee US anayoielewa ni kama Iran anavyofanya kwa Israel, akiweka ugoko wewe unaweka chuma.
Kuna kipindi magaidi wa Msumbiji walikuwa wanapiga ndani ya Tanzania halafu wanakimbilia Msumbiji.
Tanzania ikaona liwalo na liwe! Wakapiga mizinga kutoka huku huku Tanzania ikaenda kupiga Msumbiji huko huko kwa hao magaidi.
Msumbiji akajifanya kuja juu akaambiwa wadhibiti waasi wako! Wakipiga na sisi tunapiga.
Putin Ni maneno mengi na US,UK,NATO kwa ujumla wameshamjua ndio maana Wala hawamheshimu.Huwezi kua super power bila kufanya extra ordinary thing.Hana red lineBiden karuhusu makombora yapige sehemu ya Kurks jimbo ambalo sehemu yake moja ndipo yalipo majeshi ya Ukraine.
Zelensky yeye kaamua kupiga Bryansk ambalo ni jimbo jingine la Russia ambalo ipo ghala kubwa la silaha. kwa mujibu taarifa za kijasusi za NATO na Marekani. Lengo la Zele ni kutaka kuzivuta nchi za NATO zijiingize kwenye hiyo vita jambo ambalo litapelekea vita ya tatu ya Dunia na Russia hawataki hali hiyo itokee.
Tukumbuke Ukraine haina uwezo wa kutumia vifaa na mitambo hiyo wao hupewa taarifa na kijasusi na kisha wale operators huanza kazi kuset mitambo na kuweka kila kitu sawa zikiwemo passwords ili kurusha makombora. hayo.
Putin kusaini hiyo doctrine si kwamba Russia watatumia mabomu ya nyuklia bali ikibidi watatumia tactical nyuklia ambazo zitatumiwa dhidi ya majeshi ya Ukraine ndani ya uwanja wa vita.
Tukumbuke hizi tactical nyuklia zabeba kichwa chenye bomu la nyuklia lakini bomu lenyewe laweza kuwa ni torpedo, kombora la masafa mafupi au bomu la kuchima (gravity bomb) na kiukweli haya mabomu ya tactical yapo ya aina nyingi na Russia anazo zote.
Kwanini Russia amebadili hiyo doctrine pia ni kwa sababu wao NATO na Ukraine wameamua kutumia mabomu ya masafa marefu kwasababu mabomu hayo si ya kutumika katika uwanja wa vita bali ndani ya nchi husika na ndo tumeona wamefanya hivyo.
Kwa kuwa pia Russia ana mabomu ya kistratejia (strategic nuclear weapon) hawezi kutumia mabomu hayo isipokuwa kama ndo wameamua dunia imalizwe.
Magharibi waingie mara ya ngapi?Biden karuhusu makombora yapige sehemu ya Kurks jimbo ambalo sehemu yake moja ndipo yalipo majeshi ya Ukraine.
Zelensky yeye kaamua kupiga Bryansk ambalo ni jimbo jingine la Russia ambalo ipo ghala kubwa la silaha. kwa mujibu taarifa za kijasusi za NATO na Marekani. Lengo la Zele ni kutaka kuzivuta nchi za NATO zijiingize kwenye hiyo vita jambo ambalo litapelekea vita ya tatu ya Dunia na Russia hawataki hali hiyo itokee.
Tukumbuke Ukraine haina uwezo wa kutumia vifaa na mitambo hiyo wao hupewa taarifa na kijasusi na kisha wale operators huanza kazi kuset mitambo na kuweka kila kitu sawa zikiwemo passwords ili kurusha makombora. hayo.
Putin kusaini hiyo doctrine si kwamba Russia watatumia mabomu ya nyuklia bali ikibidi watatumia tactical nyuklia ambazo zitatumiwa dhidi ya majeshi ya Ukraine ndani ya uwanja wa vita.
Tukumbuke hizi tactical nyuklia zabeba kichwa chenye bomu la nyuklia lakini bomu lenyewe laweza kuwa ni torpedo, kombora la masafa mafupi au bomu la kuchima (gravity bomb) na kiukweli haya mabomu ya tactical yapo ya aina nyingi na Russia anazo zote.
Kwanini Russia amebadili hiyo doctrine pia ni kwa sababu wao NATO na Ukraine wameamua kutumia mabomu ya masafa marefu kwasababu mabomu hayo si ya kutumika katika uwanja wa vita bali ndani ya nchi husika na ndo tumeona wamefanya hivyo.
Kwa kuwa pia Russia ana mabomu ya kistratejia (strategic nuclear weapon) hawezi kutumia mabomu hayo isipokuwa kama ndo wameamua dunia imalizwe.
Ni muda sasa West wampatie Ukraine nuclear kwa ajili ya kujilinda, ili akishambuliwa na nuclear, Moscow nayo iwake moto.Putin namuona ni mtu wa michakato mingi na anajifanya master mind.
Hii ngoma hata watu wa ndani ya Russia walishamwambia; tufanye kitu kimoja tumalize kabisa na tuweke mfano! Tukiendelea hivi kama unavyotaka tuendelee hii SMO haishi! Mwisho wa siku ni lazima maisha yaendelee!
Yeye anajifanya bingwa wa mipango na ubinadamu mwingi! Wenzake kila hila wanaijaribu juu yake na kila ikiisha moja inakuja iliyo juu zaidi.
Putin anafeli katika hili! Tukubali tukatae Putin anafeli katika hili!
Putin anatakiwa aache maneno kama ana Silaha hii mikwara imetosha sasa wala hahitaji kujibu hili suala achia kitu mengine tutajua mbele akicheza cheza watamdhalili kama ulisema ukiingiliwa utafanya jambo wameingia tangu mwezi wa 8 wapo hapo Kursk!!!Putin anafeli sana!
Utaendelea kuwaachia watu mpaka lini wakujaribu?
Si kila jambo la kuchukulia hekima! Akumbuke kuna watu wanakufa wanajeshi wake aache kujifanya mastermind sana!
Apunguze maneno mengi afanye kweli! Lugha pekee US anayoielewa ni kama Iran anavyofanya kwa Israel, akiweka ugoko wewe unaweka chuma.
Kuna kipindi magaidi wa Msumbiji walikuwa wanapiga ndani ya Tanzania halafu wanakimbilia Msumbiji.
Tanzania ikaona liwalo na liwe! Wakapiga mizinga kutoka huku huku Tanzania ikaenda kupiga Msumbiji huko huko kwa hao magaidi.
Msumbiji akajifanya kuja juu akaambiwa wadhibiti waasi wako! Wakipiga na sisi tunapiga.
Urusi sio Zimbabwe..... Wafanye tu hao jamaa zako wanachohitaji kufanya ......Tatizo ninaloliona humu JF wengi sisi ni wajuaji kuliko wanaohusika na hivyo vita vya Ukraine . Naona na wewe umeandika gazeti.. Yaani wewe unajua kuliko USA na Washirika wake. Yaani Marekani inafanya jambo fulani halafu mswahili wa Bunju unajidai unajua athari atakazozipata. Mswahili wa Tegeta kwa Ndevu anajua kuliko Pentagon na CIA.
Ila proNATO mnajipaga muda siku zote tangu SMO imeannza.... Mnataka muda gani zaidi mpewe ....mmekaa vikoba wee wapi..... Huo muda utapewa tu na upo....Shambulieni Sasa ...Muda una thamani sana kwetu sisi wengine. Sijasoma kwasababu ninajua gazeti refu hivyo lina uzito wa gunia la Pamba