BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Huo mtego, Ukraine wawe makini wasije kuwa wamepambanishwa na siraha za ki baiolojiaKipanya hapo juu katoa taarifa Ukrainia wameteka hospitali ya kipindu pindu 🤣🤣
Huo mtego, Ukraine wawe makini wasije kuwa wamepambanishwa na siraha za ki baiolojiaKipanya hapo juu katoa taarifa Ukrainia wameteka hospitali ya kipindu pindu 🤣🤣
😇Putin awaachie japo kwa wiki moja viongozi wa state DUMA waendeshe hii operesheni.
Putin amekuwa mlaini laini utadhani ana ndugu huko UKRAINE
Anatuweka kwenye wakati mgumu sisi chawa wake.
Ni asymmetrical retaliation....!!! Anataka EU au NATO wavurugane....!!! Hivi unadhani shake up ya uongozi ndani ya serikali za EU ni kazi ndogo, viwanda kufungwa huko Ujerumani ni masihara? Ili adui apigwe vizuri, ni kwanza kuua morali ya askari na raia!! Ili iwe rahisi kupata mamluki!!!kufanya extra ordinary thing.
Jawabu ni rahisi, Putin ni dhaifu na West kwa sasa wameshaligundua hili!Russia is disappointing all of us unless it has a new battle plan before January or waiting for Trump war proposal. Failure to these, will be likened as a toothless dog.
Hakika na West wameligundua hilo na ndiyo maana kila kukicha wananendeleza hila zao dhidi ya Russia.Putin Hana red line,nimeshamuona Ni boya tu.Wazungu watamtesa Sana,he don't walk the talk.
Hivi bado hamjagundua kuwa Putin na Russia yake hawana uwezo mkubwa zaidi ya mikwala na vitisho tu. Na tayari US/NATO wameshajua kuwa Russia anapigika kirahisi sana na ni joka lisilo na sumu. Na kuna uwezekano tayari NATO wanazo targets zote muhimu zilizopo Russia KINACHOSUBIRIWA NI MUDA MUAFAKA TU UFIKE.Putin awaachie japo kwa wiki moja viongozi wa state DUMA waendeshe hii operesheni.
Putin amekuwa mlaini laini utadhani ana ndugu huko UKRAINE
Na tunapoelekea kimasihara masihara watampatia tu! Kuna kipindi cha nyuma UK walikuwa wanajaribu kufanya hilo, Putin akapiga biti wakarudi nyuma.Ni muda sasa West wampatie Ukraine nuclear kwa ajili ya kujilinda, ili akishambuliwa na nuclear, Moscow nayo iwake moto.
West wameona Putin ni dhaifu hasimamii kauli zake.Putin awaachie japo kwa wiki moja viongozi wa state DUMA waendeshe hii operesheni.
Putin amekuwa mlaini laini utadhani ana ndugu huko UKRAINE
Kilichoifanya Russia ihofiwe na Nato ni kuwa na maamuzi magumu. Hiyo nidhamu ndiyo imeifanya Russia izingatiwe na West kuwafanya wafikiri kabla ya kufanya jambo lolote kuhusiana na Russia.Ni asymmetrical retaliation....!!! Anataka EU au NATO wavurugane....!!! Hivi unadhani shake up ya uongozi ndani ya serikali za EU ni kazi ndogo, viwanda kufungwa huko Ujerumani ni masihara? Ili adui apigwe vizuri, ni kwanza kuua morali ya askari na raia!! Ili iwe rahisi kupata mamluki!!!
Nakubali kabisa Putin anatuangushaPutin awaachie japo kwa wiki moja viongozi wa state DUMA waendeshe hii operesheni.
Putin amekuwa mlaini laini utadhani ana ndugu huko UKRAINE
Deep down unajua hayo Ni maneno ya kujifariji tu.Putin anazinguaNi asymmetrical retaliation....!!! Anataka EU au NATO wavurugane....!!! Hivi unadhani shake up ya uongozi ndani ya serikali za EU ni kazi ndogo, viwanda kufungwa huko Ujerumani ni masihara? Ili adui apigwe vizuri, ni kwanza kuua morali ya askari na raia!! Ili iwe rahisi kupata mamluki!!!
Russia ya Nikita Khrushchev au ya Stalin Putin kwa mwenendo wake unadhani angeiweza? Asingeiweza.Deep down unajua hayo Ni maneno ya kujifariji tu.Putin anazingua
Tusimlaumu Putin kuwa hachukui maamuzi Mazito. Huenda nguvu na uwezo wa kijeshi tuliokuwa tunaamini kwa Russia, huenda ni tofauti kabisa. Russia inapigika kama Iran tuDeep down unajua hayo Ni maneno ya kujifariji tu.Putin anazingua