LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
⚡Russia has begun mass production of mobile nuclear shelters for the first time.

The production of innovative modular shelters "KUB-M" has begun in Dzerzhinsk, Nizhny Novgorod. They can be used to protect people from various threats, including the light radiation of a nuclear explosion and radioactive contamination of the area.

"The start of serial production of a modular shelter is an important step towards increasing the safety of citizens. In the future, such developments will lead to the creation of new effective systems for protecting the population," says a statement on the VNII GOChS website.

Rescuers note that this event was the result of many years of research and efforts by scientists in the field of protecting the population and territories from emergency situations.
 
Attachments

  • 18907125_gcup10kwaaah25k_jpeg_jpegcee8b27a89d626a715b09ae82a3b913c.jpeg
    18907125_gcup10kwaaah25k_jpeg_jpegcee8b27a89d626a715b09ae82a3b913c.jpeg
    63.7 KB · Views: 2
  • 18907124_gcup11lxsaadfl7_jpeg_jpeg6ea634afb6b0af585a0e86e96e9b2aab.jpeg
    18907124_gcup11lxsaadfl7_jpeg_jpeg6ea634afb6b0af585a0e86e96e9b2aab.jpeg
    61.4 KB · Views: 2
  • 18907123_gcup1zlx0aaawy_jpeg_jpegedbe1fc2ed3c8cdda6def836a609cf45.jpeg
    18907123_gcup1zlx0aaawy_jpeg_jpegedbe1fc2ed3c8cdda6def836a609cf45.jpeg
    67.1 KB · Views: 2
❗️🇷🇺/🇺🇦 NEW: Ukraine has struck a target deep inside Russia with US-made ATACMS ballistic missiles for the first time

The strike was conducted against a weapons storage facility in Russia's Bryansk region, over 100km across the border. The Russian Ministry of Defense says six ATACMS missiles were fired, 5 of which were intercepted.
 
⚡Russia has begun mass production of mobile nuclear shelters for the first time.

The production of innovative modular shelters "KUB-M" has begun in Dzerzhinsk, Nizhny Novgorod. They can be used to protect people from various threats, including the light radiation of a nuclear explosion and radioactive contamination of the area.

"The start of serial production of a modular shelter is an important step towards increasing the safety of citizens. In the future, such developments will lead to the creation of new effective systems for protecting the population," says a statement on the VNII GOChS website.

Rescuers note that this event was the result of many years of research and efforts by scientists in the field of protecting the population and territories from emergency situations.
Kumbe anawasiwasi atapigwa
 
Putin amalize hili suala kwa kuchoma Msanii ndio liwe jibu la hii na kusaidia Houth kupiga
Hii ukiikosea na kupiga hesabu vibaya unakuwa na insurgent group nyingi, inakuwa vigumu kuiendesha nchi na itakuwa risk kubwa kwa urusi (kuongezeka kwa vikundi vya kigaidi). Mfano mzuri ni Libya, Iraq na Afghanistan
 
❗️🇷🇺/🇺🇦 NEW: Ukraine has struck a target deep inside Russia with US-made ATACMS ballistic missiles for the first time

The strike was conducted against a weapons storage facility in Russia's Bryansk region, over 100km across the border. The Russian Ministry of Defense says six ATACMS missiles were fired, 5 of which were intercepted.
Ukraine wamefanya makosa tayari wamekiuka makubaliano kwamba wapige Kurks wao wameamua kupiga Bryansk.

Zelensky ataka kuzivuta nchi za NATO zijiingize kwenye vita na ndo maana Putin kasaini hiyo document.
 
⚡Putin signed a decree approving an updated doctrine on the use of nuclear weapons — TASS
Biden karuhusu makombora yapige sehemu ya Kurks jimbo ambalo sehemu yake moja ndipo yalipo majeshi ya Ukraine.

Zelensky yeye kaamua kupiga Bryansk ambalo ni jimbo jingine la Russia ambalo ipo ghala kubwa la silaha. kwa mujibu taarifa za kijasusi za NATO na Marekani. Lengo la Zele ni kutaka kuzivuta nchi za NATO zijiingize kwenye hiyo vita jambo ambalo litapelekea vita ya tatu ya Dunia na Russia hawataki hali hiyo itokee.

Tukumbuke Ukraine haina uwezo wa kutumia vifaa na mitambo hiyo wao hupewa taarifa na kijasusi na kisha wale operators huanza kazi kuset mitambo na kuweka kila kitu sawa zikiwemo passwords ili kurusha makombora. hayo.

Putin kusaini hiyo doctrine si kwamba Russia watatumia mabomu ya nyuklia bali ikibidi watatumia tactical nyuklia ambazo zitatumiwa dhidi ya majeshi ya Ukraine ndani ya uwanja wa vita.

Tukumbuke hizi tactical nyuklia zabeba kichwa chenye bomu la nyuklia lakini bomu lenyewe laweza kuwa ni torpedo, kombora la masafa mafupi au bomu la kuchima (gravity bomb) na kiukweli haya mabomu ya tactical yapo ya aina nyingi na Russia anazo zote.

Kwanini Russia amebadili hiyo doctrine pia ni kwa sababu wao NATO na Ukraine wameamua kutumia mabomu ya masafa marefu kwasababu mabomu hayo si ya kutumika katika uwanja wa vita bali ndani ya nchi husika na ndo tumeona wamefanya hivyo.

Kwa kuwa pia Russia ana mabomu ya kistratejia (strategic nuclear weapon) hawezi kutumia mabomu hayo isipokuwa kama ndo wameamua dunia imalizwe.
 
Putin namuona ni mtu wa michakato mingi na anajifanya master mind.

Hii ngoma hata watu wa ndani ya Russia walishamwambia; tufanye kitu kimoja tumalize kabisa na tuweke mfano! Tukiendelea hivi kama unavyotaka tuendelee hii SMO haishi! Mwisho wa siku ni lazima maisha yaendelee!

Yeye anajifanya bingwa wa mipango na ubinadamu mwingi! Wenzake kila hila wanaijaribu juu yake na kila ikiisha moja inakuja iliyo juu zaidi.

Putin anafeli katika hili! Tukubali tukatae Putin anafeli katika hili!
 
Putin anafeli sana!

Utaendelea kuwaachia watu mpaka lini wakujaribu?

Si kila jambo la kuchukulia hekima! Akumbuke kuna watu wanakufa wanajeshi wake aache kujifanya mastermind sana!

Apunguze maneno mengi afanye kweli! Lugha pekee US anayoielewa ni kama Iran anavyofanya kwa Israel, akiweka ugoko wewe unaweka chuma.

Kuna kipindi magaidi wa Msumbiji walikuwa wanapiga ndani ya Tanzania halafu wanakimbilia Msumbiji.

Tanzania ikaona liwalo na liwe! Wakapiga mizinga kutoka huku huku Tanzania ikaenda kupiga Msumbiji huko huko kwa hao magaidi.

Msumbiji akajifanya kuja juu akaambiwa wadhibiti waasi wako! Wakipiga na sisi tunapiga.
Putin Hana red line,nimeshamuona Ni boya tu.Wazungu watamtesa Sana,he don't walk the talk.
 
Putin Ni maneno mengi na US,UK,NATO kwa ujumla wameshamjua ndio maana Wala hawamheshimu.Huwezi kua super power bila kufanya extra ordinary thing.Hana red line
 
Biden karuhusu makombora yapige sehemu ya Kurks jimbo ambalo sehemu yake moja ndipo yalipo majeshi ya Ukraine.

Zelensky yeye kaamua kupiga Bryansk ambalo ni jimbo jingine la Russia ambalo ipo ghala kubwa la silaha. kwa mujibu taarifa za kijasusi za NATO na Marekani. Lengo la Zele ni kutaka kuzivuta nchi za NATO zijiingize kwenye hiyo vita jambo ambalo litapelekea vita ya tatu ya Dunia na Russia hawataki hali hiyo itokee.

Tukumbuke Ukraine haina uwezo wa kutumia vifaa na mitambo hiyo wao hupewa taarifa na kijasusi na kisha wale operators huanza kazi kuset mitambo na kuweka kila kitu sawa zikiwemo passwords ili kurusha makombora. hayo.

Putin kusaini hiyo doctrine si kwamba Russia watatumia mabomu ya nyuklia bali ikibidi watatumia tactical nyuklia ambazo zitatumiwa dhidi ya majeshi ya Ukraine ndani ya uwanja wa vita.

Tukumbuke hizi tactical nyuklia zabeba kichwa chenye bomu la nyuklia lakini bomu lenyewe laweza kuwa ni torpedo, kombora la masafa mafupi au bomu la kuchima (gravity bomb) na kiukweli haya mabomu ya tactical yapo ya aina nyingi na Russia anazo zote.

Kwanini Russia amebadili hiyo doctrine pia ni kwa sababu wao NATO na Ukraine wameamua kutumia mabomu ya masafa marefu kwasababu mabomu hayo si ya kutumika katika uwanja wa vita bali ndani ya nchi husika na ndo tumeona wamefanya hivyo.

Kwa kuwa pia Russia ana mabomu ya kistratejia (strategic nuclear weapon) hawezi kutumia mabomu hayo isipokuwa kama ndo wameamua dunia imalizwe.
Magharibi waingie mara ya ngapi?
 
Putin namuona ni mtu wa michakato mingi na anajifanya master mind.

Hii ngoma hata watu wa ndani ya Russia walishamwambia; tufanye kitu kimoja tumalize kabisa na tuweke mfano! Tukiendelea hivi kama unavyotaka tuendelee hii SMO haishi! Mwisho wa siku ni lazima maisha yaendelee!

Yeye anajifanya bingwa wa mipango na ubinadamu mwingi! Wenzake kila hila wanaijaribu juu yake na kila ikiisha moja inakuja iliyo juu zaidi.

Putin anafeli katika hili! Tukubali tukatae Putin anafeli katika hili!
Ni muda sasa West wampatie Ukraine nuclear kwa ajili ya kujilinda, ili akishambuliwa na nuclear, Moscow nayo iwake moto.
 
Putin anafeli sana!

Utaendelea kuwaachia watu mpaka lini wakujaribu?

Si kila jambo la kuchukulia hekima! Akumbuke kuna watu wanakufa wanajeshi wake aache kujifanya mastermind sana!

Apunguze maneno mengi afanye kweli! Lugha pekee US anayoielewa ni kama Iran anavyofanya kwa Israel, akiweka ugoko wewe unaweka chuma.

Kuna kipindi magaidi wa Msumbiji walikuwa wanapiga ndani ya Tanzania halafu wanakimbilia Msumbiji.

Tanzania ikaona liwalo na liwe! Wakapiga mizinga kutoka huku huku Tanzania ikaenda kupiga Msumbiji huko huko kwa hao magaidi.

Msumbiji akajifanya kuja juu akaambiwa wadhibiti waasi wako! Wakipiga na sisi tunapiga.
Putin anatakiwa aache maneno kama ana Silaha hii mikwara imetosha sasa wala hahitaji kujibu hili suala achia kitu mengine tutajua mbele akicheza cheza watamdhalili kama ulisema ukiingiliwa utafanya jambo wameingia tangu mwezi wa 8 wapo hapo Kursk!!!
Ukasema wakitupa Kombora utapiga Nuclear tena bado unambwela mbwelaa.... ACHIAAA DUDE WEEE MZEEE
 
Tatizo ninaloliona humu JF wengi sisi ni wajuaji kuliko wanaohusika na hivyo vita vya Ukraine . Naona na wewe umeandika gazeti.. Yaani wewe unajua kuliko USA na Washirika wake. Yaani Marekani inafanya jambo fulani halafu mswahili wa Bunju unajidai unajua athari atakazozipata. Mswahili wa Tegeta kwa Ndevu anajua kuliko Pentagon na CIA.
Urusi sio Zimbabwe..... Wafanye tu hao jamaa zako wanachohitaji kufanya ......
 
Muda una thamani sana kwetu sisi wengine. Sijasoma kwasababu ninajua gazeti refu hivyo lina uzito wa gunia la Pamba
Ila proNATO mnajipaga muda siku zote tangu SMO imeannza.... Mnataka muda gani zaidi mpewe ....mmekaa vikoba wee wapi..... Huo muda utapewa tu na upo....Shambulieni Sasa ...
 
Russia is disappointing all of us unless it has a new battle plan before January or waiting for Trump war proposal. Failure to these, will be likened as a toothless dog.
 
Hawa ni wachambuzi wa magharibi,na huu ndiyo uchambuzi wao!

Russian gains accelerate as Ukraine's Kursk gamble falters​

The Russian military is accelerating its gains along the front line in Ukraine at a crucial time for the conflict.

Back
Top Bottom