LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Uchumi wa Ujerumani umeyumba kutokana vita hii.

Kama yeye Taifa lenye nguvu za kiuchumi ameyumba?, vipi mataifa madogo na yenye Uchumi dhaifu kule Ulaya?

Democrats wameanguka kwenye uchaguzi wa Marekani kwa sababu ya Vita hii, Uchumi wa Marekani ulitingishika, fatilia

Hii ni vita waliyoingia kinyume nyume matokeo yake Mataifa ya magharibi yamedhalilika na kupungua influence yao duniani, huku Mrusi ikipaa kuanzia Ulaya, Amerika mpaka Afrika.

Tuendeleze mapigano Ili tujue mbivu na mbichi
 
"Allowing Ukraine to strike Russia, will make Putin surrender"

Not even with half the Soviet Union destroyed and 8m germans, did Moscow ever bow. No one, and I mean no one has ever backed Russia in the corner and won.

The west is making a huge mistake, the world's last mistake.
 
Mkuu Russia waliishasema kwamba kutumiwa kwa silaha hizo hakutabadili matokeo ya uwanja wa vita isipokuwa labda uharibifu wa majengo.

Russia kwa kuwa na taarifa kitambo walikwishahamisha vifaa vingi vya gharama kubwa kwenda ndani zaidi hivyo kuacha eneo la Kurks kuwa na majeshi yanosogea yaani "mobile".

Hizo silaha ni kwa ajili ya kuisaidia tena Ukraine kukomboa sehemu ambazo wameanza kuzipoteza hapo Kursk, hivyo ni katika jaribio la mwisho kufanya hivyo.

Hivyo silaha hizo zitatumika Kursk hivyo kuondoa nadharia kwamba silaha hizo zitatumika ndani zaidi ya Russia.

Mtazamo uliopo ni kwamba majibu ya Russia yatategemea silaha hizo zimerushwa kutokea upande upi ingawa yasemwa ni Poland au Romania.
 
Kwahyo Urusi kapata hasara zaidi kushinda Ukraine na washirika wake?? Ebu tuelezee hzo hasara ambazo urusi kazipata na Ukraine hajazpata
Je, Ukraine haijapata hasara? USA Haijapata hasara ya rasilimalifedha?
Je Russia akichukua Mikoa mitano ya ukraine na rasilimali zake haitopata faida?
Kila upande umepata hasara,lkn kumbuka Urusi kuyakamata majimbo hayo Yana faida kubwa mno kiuchumi na heshima.
Katika vita hii NATO na nchi za west zimepata hasara mno pia kwa maana ya watu na vifaa.
Ukraine imesubiri hili kwa muda mrefu....

Good move...

 
Good and well calculated move but too late..

 
Hata mimi hilo la Ulaya kumlalamikia Urusi kuwa anatumia gas kama silaha limenishangaza sana. Yaani wanalalamika as if hakuna vita, so Urusi ameamua kuwanyanyasa. Wao wamemwekea vikwazo naye anawawekea vikwazo vyake. Yaani ni Tit for Tat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…