LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vita ya kuisha saa moja ina manufaa gani..Vita si kuharibu Nchi na watu halafu utatawala JANGWA LENYE MIONZI YA NYUKLIAI!! wengi wanadhani wataona makombora ya nyuklia yakitua Ukrain!!
Urusi inahitaji Ukrain yenye watu na miundo mbinu na kumweka mtu atakaewasikia aachane na NATO na Ulaya. ndio sababu ya vita.
 

Hahahah mzee urussi akifungq gas na mafuta yake unategemea nini? Nchi zote za ulaya zinategemea nishati kutoka kwake.

Kiufupi mmarekani anamwogopa mrussi ingekua nchi nyingine ameshatuma majeshi yake muda sana. Mzee usiichukulia russia poa narudia usiichukulia russia poa.

Russia nyuma ana china, korea, india, iran, iraq nk ikitokea wame team up bro usidhani kuna nchi ya kuwashinda hao jamaa na mmarekani anajua hilo na mmarekani anamwogopa sana mchina kama hujui aseee. Mmarekani ataonea wachovu tu kwa sasa hana jipya na nguvu yake ipo NATO kama hufaham hilo.

Ataishia kupiga kelele sijui vikwazo ila hakuna chochote atafanya[emoji28][emoji28]
 
Sasa wewe unataka akuze uchumi wa nini,unataka afikie uchumi wa kiasi gani ndio aanze kujilinda??? Au unadhani yeye alipoenda kupigana hajui kuwa ataporomosha uchumi wake.kila kitu tayari ni calculated bother.
 
Hivi Ukraine si ni nchi huru?
Sasa mbona kama Russia anawapangia wenzie? Kwani ye hofu yake nini km NATO wakiweka hizo silaha huko Ukraine? Ye si anasifiwa ana nguvu za kivita,na jeshi nk!

Basi km ni hivyo anawaogopa NATO
Kwa akili zako tu za kuzaliwa unadhani USA yuko tayari kuwekewa silaha nzito nzito na jeshi la kivita la URUSI kwenye nchi jirani kabisa na USA kama Canada na Mexico?

Ndivyo jinsi ilivyo kidunia kwa Urusi pia yuko sahihi kukataa na kujihami ni mojawapo ya kanuni bora sana za kiuongozi kwa nchi yoyote ile duniani.

Mfano USA kutengeneza silaha nzito za maangamizi kama hizo epersonics bombs ilihali anakataza mataifa mengine kutotengeneza hizo silaha, unadhani kwanini anakataza hayo mataifa mengine?

Jiulize na ujijibu mwenyewe.
 
India wa wapi wa kumsapoti Russia? Ikiwa kibaraka wake tuu wamekataa 😄😄



 
Watu wengi hawaijui Urusi,wangejua kwamba Urusi ndio Nchi ya kwanza duniani kuwa na deposit ya resources nyingi kuliko Nchi yoyote ile chini ya jua-sidhani kama wangeongea haya.
 
Kuna watu humu wanamchukulia russia poa hawajui russia ana missiles ambazo ametumia technology mpya kabisa na hata haringi. Usione putin ana dharau anajua nini kipo behind [emoji28][emoji28]
Kwa vita hii ya Ukraine ameonesha ni dhaifu kupita kiasi,,suffurings alizopata ni kubwa na calcution zake hazijaenda kama alivyotarajia.

Binafsi nimemdharau maana amekula hasara kubwa Sana tofauti na nilivyotarajia mpaka anaomba msaada wa Nchi vibaraka..

Ukweli ni kwamba Ukraine angekuwa na silaha kama ilivyo Iran , Russia asingetia pua,amefaidika na timing tuu.
 
Ninamkumbuka rais George W Bush enzi za utawala wake alipenda vita sana.

Ikafikia nikiona amevaa tai nyekundu najua anaenda kuliamsha mahali.

Dunia siyo salama muda wote.
 
Watu wengi hawaijui Urusi,wangejua kwamba Urusi ndio Nchi ya kwanza duniani kuwa na deposit ya resources nyingi kuliko Nchi yoyote ile chini ya jua-sidhani kama wangeongea haya.
Kama ni resources hata Afrika zimejaa ,je zimewasaidiaje? Hawana technology wala watu wa ku exhaust hizo rasilimali ziwe na tija kwenye uchumi.

Ili kuwakomoa zaidi Russia,the west is pushing towards green technology afu tuone hizo rasilimali zitakavyowasaidia.

Ujinga ni mzigo,hii ni sawa na watu wa Tzn ,the same ujamaa mentality eti haina haja ya kutumia rasilimali saizi,kizazi kijacho kitatumia 😬😬😬
 
Jeshi la Urusi jana limefika Kyiv na kubakiza only 10 km kutoka pembeni mwa mji mpaka katikati ya mji ila mpaka sasa leo tunaamka hakuna mji wowote umetekwa. Unajitetea nini eti Ukraine ni nchi kubwa, imevamiwa kutoka Kaskazini, Mashariki na Kusini na bado haijapangushwa. Russian military capabilities are so exaggerated nilisema juzi na naendelea kusisitiza. Huu uchokozi wakileta kwa Poland au Finland hamtoamini kitakachotokea
 
Hao ndo india? Nimekwambia incase ikitokea NATO kaingia vitani hao jamaa juu lazma waje wampe sapoti mchizi wao. Afu russia hajaomba sapoti kokote hio ukraine mrussi aombe support serious?
Nimekwambia vibaraka per say wamekataa ndio ije kuwa India mwenye strong ties na West?
 
Akome kuongozana na marafiki wanafiki huyo ukraine

Putin yupo sahihi na anaitendea haki nchi yake
Sijaelewa mnafurahi Nini..naomba mnieleweshe..hii Vita itatuletea shida sisi nchi za kimaskini..Tena muda si mrefu..
 
Watu wengi hawaijui Urusi,wangejua kwamba Urusi ndio Nchi ya kwanza duniani kuwa na deposit ya resources nyingi kuliko Nchi yoyote ile chini ya jua-sidhani kama wangeongea haya.
Hata Congo wana deposit ya resources nyingi kuliko Nchi yeyote kwenye bara la Africa...Tuiogope Congo??
Urusi ina jambo moja tu Duniani la kuifanya itambe:
Ina vichwa vya nyuklia zaidi ya 6200. Hilo tu basi.
 
Urusi ndio Nchi pekee duniani yenye deposit ya Natural resources kuliko Nchi yoyote ile Duniani-vikwazo vya kiuchumi sio issue kwa Urusi.
Hitler hakuwa tahira kusema the only way uitawale hii Duniani vizuri,kwanza inabidi uitawale Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…