Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Lakini tukumbuke Mkuu James Comey, wamagharibi si watu wa kujali mikataba wanayoingia na imedhihirika hii!Hammaz,
Unaweza ukawa sahihi ila kwa Hali niliyoiona ktk mkutano wa E.U ni kama vile Ulaya nzima haijui Trump anakuja na jambo gani kuhusu Ukraine January. NATO top leaders wanasema wanasubiri January kuamua hatmanya Ukraine. Biden anajua anatoka hivyo anarusha mateke yake ya mwisho ya kujimwamba fai kwa Putin kwa kuruhusu mabomu ya masafa marefu kutumika ili baadaye Democrat waseme at least they tried something.
Putin siyo mjinga kuna kitu anasikilizia. Nafkiri hajafanya mazungumzo na Trump kujua mwelekeo wake. Naona ana bet na upepo unavyoelekea. Ngoja tuone atakuja na nini kujibu shambulio hilo la US/Ukraine
Tu assume amani ikapatikana kipindi cha Trump! Ila vipi muhula wa Trump ukiisha?
West wamevunja agreements ya 1992 ya kutosegeza hata inch kuelekea Russia.
West wamevunja mikataba tofauti waliwekeana na Russia jinsi ya udhibiti wa silaha.
West wamevunja mikataba ya Minsk.
Anamsubiri Trump, then vipi baada ya Trump?
Sijui umenipata Mkuu? Yaani najaribu kufikiria kiraia ile dhana ya security kwa nchi yako itakuwaje?!
Ninachofikiri kwenye hili sakata, Putin kwa security ya Russia waitafute wa Russia wenyewe kwa sababu West imeshadhihirika hawaaminiki.
Inabidi Russia wafanye maamuzi magumu dhidi ya Ukraine na washirika wake wa Nato ili awarudishe kwenye mstari tena kabla ya kufanya chochote kuhusu Russia basi wakumbuke tukio flani.
Yaani ni kama sasa hivi Iran ilivyomfanya Israel kabla ya kufanya tukio lolote baya dhidi ya Iran basi anakumbuka kuwa dakika 8nza Iran zinatosha kuishambulia nchi yangu.
Au kuna mahali napokosa? Kama napakosa karibu Mkuu nifahamishe tafadhali!