LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Lakini tukumbuke Mkuu James Comey, wamagharibi si watu wa kujali mikataba wanayoingia na imedhihirika hii!

Tu assume amani ikapatikana kipindi cha Trump! Ila vipi muhula wa Trump ukiisha?

West wamevunja agreements ya 1992 ya kutosegeza hata inch kuelekea Russia.

West wamevunja mikataba tofauti waliwekeana na Russia jinsi ya udhibiti wa silaha.

West wamevunja mikataba ya Minsk.

Anamsubiri Trump, then vipi baada ya Trump?

Sijui umenipata Mkuu? Yaani najaribu kufikiria kiraia ile dhana ya security kwa nchi yako itakuwaje?!

Ninachofikiri kwenye hili sakata, Putin kwa security ya Russia waitafute wa Russia wenyewe kwa sababu West imeshadhihirika hawaaminiki.

Inabidi Russia wafanye maamuzi magumu dhidi ya Ukraine na washirika wake wa Nato ili awarudishe kwenye mstari tena kabla ya kufanya chochote kuhusu Russia basi wakumbuke tukio flani.

Yaani ni kama sasa hivi Iran ilivyomfanya Israel kabla ya kufanya tukio lolote baya dhidi ya Iran basi anakumbuka kuwa dakika 8nza Iran zinatosha kuishambulia nchi yangu.

Au kuna mahali napokosa? Kama napakosa karibu Mkuu nifahamishe tafadhali!
 
Naungana na pro Russia hambao mna wasiwas yule mliyekuwa mnamuona mkombozi wenu.., hakuna SMO ya kuchukua Miaka 3 huku ukipoteza askari na vifaa kibao kila siku
Urusi anavuna hasara ya kutosha kwenye hii vita
 
Kwani yeye alisemaje??
West wanahusika moja kwa moja na hii vita
Wao ndio sababu kuu ya hii vita kuwepo.
Silaha za west zinawaua warusi mpaka muda huu.
Viongozi wa kijeshi wa urusi wanauwawa kama juzi.
West wapo kwenye vita na russia kuliko ukraine ambae mrusi anaangaika nae.
Kama mikataba ilishavunjwa
Je consequences zake zilitakiwa ziwe zipi??
Kuangaika na zele?
Zele kitambo alitakiwa awe ameshafutwa.
Watu wanapeleka wanajeshi,vifaru,ndege,makombora,walimu wa kijeshi,wanafunza wanajeshi kwa ajili ya ukraine, wanatoa intelligence,satellites, wanakuwekea vikwazo,,,west walishaanza vitaa,Putin bado yupo kwenye SMO.

Ngoja tuone majibu wanayoyaandaa yataelezea kwamba wamekubali wapo vitani ama bado wapo kwenye SMO.
 
bwana Hammaz unalikumbuka hili tukio, hapa ndipo nilianza kuziona huruma za ajabu alizonazo putin.
wahuni wakiongozwa na kadyrov pamoja na shoigu walitaka kuchoma moto panya wote waliomo ndani ya kiwanda lakini mzee akakataa mpango huo.


unamuoneaje huruma kiongozi wa nchi aliyetunga sheria ya kupiga marufuku mazungumzo nawe.
sometime huwa nasema ni bora PUTIN apigwe tu.

 
shambulio la kigaidi limepita kimya kimya, budanov na wajinga wenzake mpaka leo wanakula bata UKRAINE.
View attachment 3156932
Hili lilikuwa wazi mda mrefu
West ndio wali organize mauaji yale.
Juzi wametega bomu kwa mkuu wa kambi.
West wapo kwenye utayari wavita na russia kuliko Russia alivyotayari.
Ukiacha nuclear west wapo fit kwambinu na hila za kutosha
Hata nuclear Russia atakuwa na target nyingi kuliko west watakavyokuwa.

Ngoma sio50% 50%
Kama ilivyokuwa kwa Soviet .
Labda russia awe na kitu kipya cha siri.
Putin analijua ilo kuliko sisi
Labda sio busara.
 
Ni kama jinsi timu la Yanga lilivyokuwa linaogopesha . Kumbe inapigika tu hata kwa katimu kadogo
 
Mimi sichambui kimahaba kama nyie. Tatizo lenu hamtaki mawazo yanayoshusha upande mnaoupenda.
Elewa tu kuwa Russia inaanguka
Hawatokuelewa ila ukweli ndio huo russia kuanguka ni LAZIMA na ni miaka michache kutokea sasa kwa wanaofuatilia kitu inaitwa eschatology wanaelewa. Russia itaanguka pamoja na Iran, Turkey, Libya, na nchi nyingi tu ambazo zipo upande wa russia.
 
Nafikiri tukumbuke Putin mbali ya kutaka west wasogee mbali na mipaka yake hitajio lake pia ni kuikalia Ukraine mikoa Ile minne ikibidi aongeze sasa atawapigaje kikatili Hali anahitaji kuwatawala,mfano kupyansk Wana ndugu kule Kiev akipiga nyuklia Kiev atapendwa na watu wa majimbo anayotaka kuchukua ndio maana busara inatumika hataki lawama Wala aonekane alitumia nguvu kubwa kuongeza mikoa hiyo ila hashindwi kupiga makombora hovyohovyo kuchukua Ukraine mwisho atachukiwa na ndipo mwisho wake utakuwa umefika
 
Sasa si wampige?
 
Una uhakika na unachosema? Vita ni science, ukikosea utajuta
 
Congress moves to impeach Biden after he launches attack against Russia

Bado Nina Imani na Putin na Russia.
Hatuhitaji Viongozi wanaopenda vita na kupoteza roho za watu wengi bila sababu.
Muda wa kufanya mnavyotaka ukifika watafanya.
Makombora sita hayawezi kubadilisha chochote kwenye vita hii,Urusi ataendelea kusonga mbele na kuendelea kuchukua maeneo zaidi.
Athari za vita vya nyukilia ni kubwa mno hakuna mtu anataka kuona Hali hiyo kizembe,nadhani ndio tahadhari ya Mwamba Putin.
Hata USA kwenyewe wanaogopa majibu ya Urusi kua yanaweza ku trigger WWIii.
 
Military operation in Ukraine
20 Nov, 16:23
Defeating Ukrainian forces near Olgovskaya wood, enemy losses: situation in Kursk Region

MOSCOW, November 20. /TASS/. The Ukrainian armed forces have lost more than 400 troops in the Kursk area over the past day, with eleven Ukrainian servicemen surrendering as prisoners of war (POW), the Russian Defense Ministry reported.

In total, the enemy has lost more than 34,390 troops since the fighting began in the region.

The Russian Armed Forces have completed the destruction of a Ukrainian battlegroup blocked in the area of the Olgovskaya wood.

TASS has gathered the key news about the unfolding situation.
 
Military operation in Ukraine
20 Nov, 15:35
Russian troops liberate Ilyinka community in Donbass region over past day

Russia’s Battlegroup South inflicted roughly 500 casualties on Ukrainian troops and destroyed five enemy ammunition depots in its area of responsibility over the past day


MOSCOW, November 20. /TASS/. Russian forces liberated the community of Ilyinka in the Donetsk People’s Republic (DPR) over the past day in the special military operation in Ukraine, Russia’s Defense Ministry reported on Wednesday.

"Battlegroup Center units liberated the settlement of Ilyinka in the Donetsk People’s Republic as a result of active offensive operations," the ministry said in a statement.
 
Military operation in Ukraine
20 Nov, 10:26
Russian forces strike ammo plant in Ukraine’s Sumy Region

MELITOPOL, November 20. /TASS/. Russian forces struck an ammunition plant in the Sumy Region in northeastern Ukraine by unmanned aerial vehicles (UAVs), Russia’s Civic Chamber member Vladimir Rogov said on Wednesday.

"In the town of Shostka in the Sumy Region, the Shostka-based Impulse plant was hit by UAVs. A secondary detonation began at that strategic enterprise after it [the strike] that lasted no less than two hours," he wrote on his Telegram channel.

The Impulse plant is Ukraine’s sole enterprise producing explosive devices: detonation primers, electric detonators, detonating cords, cartridges and ammunition for automatic and under-barrel grenade launchers. In January 2024, Russian troops struck the Impulse plant with six Kh-59 missiles.
 
Ha
Naungana na pro Russia hambao mna wasiwas yule mliyekuwa mnamuona mkombozi wenu.., hakuna SMO ya kuchukua Miaka 3 huku ukipoteza askari na vifaa kibao kila siku
Urusi anavuna hasara ya kutosha kwenye hii vita View attachment 3156905
Hapo ndipo kp unaponishangazaga. Ukraine hapotezi vifaa? Je, NATO Hawapotezi vifaa pale Ukraine? Je, NATO hawapati hasara?
 
'Heshima ambayo wenzake wameijinga dhidi ya Russia yeye anaibomoa kizembe sana! Si ajabu kesho kwa mikwara yake atawaambia kitengo cha nuclear kifanye mazoezi ya kujiandaa kwa vita.

Baada ya hapo atabadilisha doctrine yao kuhusu mambo ya nuclear atasaini nyengine. Baada ya hapo ndiyo kashamaliza.'

Hapo juu umempatia sana ndicho atakachokuja kukifanya,walianza kum-test mwanzoni kabisa mwa SMO aliposema kwamba third part yoyote yule atakaetoa silaha kwa Ukraine atahesabika nae Ni part ya Vita,wahuni wakaisambazia Ukraine silaha Kama kawaida na hakuna kitu alifanya baada ya hapo wakajua huyu Ni dhaifu tu.Yaani kweli Leo ka nchi Kama Lithuania nako eti kanaivimbia Russia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…