LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huyo jamaa ndio mtu mwenye akili kuliko wote humu yeye kazi yake humu ni kukagua maoni ya wadau na kutoa makaripio,ha ha haa.
 
Huyu ndio Mtanzania sasa,ujuaji mwingiiii ,yaani kakaa na cm yake anatoa comment simple kama hii tena kwa vitu vigumu ambavyo hata nchi yake haitakuja kuviweza
 
Sio nyie mlisema hawataki vita na wanaogopa mno kifo, Leo imekuwaje mnasema wanalazimisha WW3
Sasa ifike mahala Marekani na washirika wake waache kuirushia mawe Urusi kutokea mgongoni mwa Ukraine,ili iwe rasmi Sasa Urusi anapigana na NATO.
Wafanye kama walivyofanya Yugoslavia, Afghanistan,Iraq na hata Libya.
Wajitokeze kwa uwazi waache kupigana vita vya kivizia na vya uoga maana wanaiponza sana Ukraine, waukraine wanakufa wao wako mgongoni mwa Ukraine.
Wajitokeze TU ndio tutajua kweli wao wababe.
 
Kwa muda huu sioni haja ya Putin kufanya maangamizi yoyote.
Naomba mungu ampe Putin subira hiyo hiyo.
Ili hata siku atakapo liamsha
Asilaumiwe.

Nina imani plan za Putin Kwa asilimia 100
Yaani wewe umewaza kama Mimi.
Waache waendelee kumchokonoa ili siku akifanya jambo watu waseme kwama aliwavumilia sana.
Kwa sababu akifanya maangamizi makubwa Leo Urusi itakuja kulaumiwa kua ndio ilikua chi ya kwanza kutumia silaha za maangamizi na ndio ilikua nchi iliyoanzisha vita ya Tatu ya Dunia.
Naamini Urusi Ina silaha za kuweza kuleta maangamizi makubwa kwa NATO na Ukraine ila ni busara za Putin TU ndio kikwazo.
Nashangaa Pro Russia wengi hawalioni hili.
Naamini muda ukifika wataelewa TU.
 
Tukutane kesho asubuhi maana usiku huu kuna tukio Russia walifanya. Ni tukio kubwa.
 
Aisee Col Douglas Macgregor ameongea vizuri sana.
Huyu ni Afisa mstaafu wa jeshi la USA na alikua mshauri wa Trump wa masuala ya Ulinzi anaona hatari iliyopo na uwezo wa Urusi.
Lkn Cha ajabu utakuta kijimtanzania Fulani hivi ki Tindiga,ki Hadzabe au kitoto Cha Mfumu Fulani hivi kinaidharau Urusi na mwamba Putin.
Aisee Tanzania Kuna maajabu sana.
Anasema ni ushenzi TU wa Biden na timu yake wanataka kumharibia Trump mtu alieonesha Nia ya kumaliza vita hii.
Anasema haijwahi kutokea huko nyuma Rais anaemaliza muda wake kutaka kumuachia janga Rais ajae.
Col Yuko vizuri sana aisee.haw ndio wamarekani wenye akili nzuri.
 
Sasa kama Urusi inapigana na NATO kwanini isirushe jiwe kwenye kambi za NATO zilizopo ulaya ili tuamini ni vita rasmi ya Russia vs NATO, sisi tuliopo huku tusubiri hao wakubwa watakachoamua na sio kujifanya wachambuzi wa maswala ya vita, baada ya trump kuapishwa ndio tutajua muelekeo wa hii vita, huwezi sema USA imefilisika kwa kutoa silaha za misaada tuu hapo haijaingia vitani, muda utaongea mkuu tusubiri
 
Hayo majimbo unayoyaongelea Urusi mwenyewe hajafanikiwa kuyashikilia yote ndiomaana vita vinaenda mwaka watatu, kama ni makombora mazito Urusi imesharusha sana kuelekea Ukraine yameishia kuharibu majengo na miundombinu ya kiraia, sasa ni muda wa kuona miji ya Urusi nayo ikichakazwa, piga nikupige
 
Biden yupo amazon anarandaranda
Alafu kuna wahuni uku ofisini waki a blinken wanafanya maajabu yao.
Germany amewashusha sana thamani
 
Mrusi hajawahi kurusha makombora ya kutosha UKRAINE
Watch and wait
 
Tatizo mtu akiandika tofauti na mawazo yenu mnamchukulia kama adui, ndiomaana mashabiki wa west wamewaacha mtambe wenyewe humu ila siokwamba hawapo
 
Huyu ndio Mtanzania sasa,ujuaji mwingiiii ,yaani kakaa na cm yake anatoa comment simple kama hii tena kwa vitu vigumu ambavyo hata nchi yake haitakuja kuviweza
Hivi ni kwanini Pro Russia mnakuwa na makasiriko sana mnapokutana na comments zinaoishusha Russia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…