Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Nasikia anasambaza Nukes Shelter nyumbani kwake, Namuofia sana anaweza fanya kweli sababu yuko desperate sana.Putin anasubiriwa afanye kama anajikuna Ili wamgonbanie kama mpira wa kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia anasambaza Nukes Shelter nyumbani kwake, Namuofia sana anaweza fanya kweli sababu yuko desperate sana.Putin anasubiriwa afanye kama anajikuna Ili wamgonbanie kama mpira wa kona
ma bunker hayatamsaidia, Mabunker ya command posts za vikosi vinavyotaka kukomboa Kursk yamesambaratishwa na storm shadow.Jamaa walikuwa wameshamuandalia bunkers mbali kabisa na Moscow..,kwa Sasa Moscow anapasikia tu
Duh! Jamaa umekomaa kweli 🏃🏃🏃🏃Mimi Maoni Huru ambae ni Lee Van Cliff zamani nasema wote mnaomlaumu Putin mtakuja kumsifu baadae na wote mnaodhani kushindwa mtakuja kumlaumu baadae.
Kwa kufuatilia habari nimesoma mahali Putin Yuko kwenye vikao na Viongozi wa ulinzi na usalama na wataalamu.
Nafuatilia vyombo vingine vya habari hapa.
Atakaa vikao sana, lakini kuingia kwenye vita ya muda mrefu namna hii kwa kutegemea wingi wa askari, Putin alichemsha sana.Mimi Maoni Huru ambae ni Lee Van Cliff zamani nasema wote mnaomlaumu Putin mtakuja kumsifu baadae na wote mnaodhani kushindwa mtakuja kumlaumu baadae.
Kwa kufuatilia habari nimesoma mahali Putin Yuko kwenye vikao na Viongozi wa ulinzi na usalama na wataalamu.
Nafuatilia vyombo vingine vya habari hapa.
una tungo zuri unafaa kuwa mwalimu wa tungoKila mmoja Anamaoni yake
Lakin Lazima Mjue Vita ya Sasa Sio Kukurupuka kama Mnavyo Fikiria
Na sio lazima Ukipigwa lazima Ujibu Muda huo huo ili ionekane ww ni mwamba hapana.
Lazima mipango Ipangwe
Na Kwa karne ya sasa Nuklia Sio Rahisi kutumika Kwa Haraka Hivyo.
Ukrein Atapigwa tena Vibaya sana
Na Marekani Uk nao watapata Majibu yakuumizwa inaweza isiwe Urusi moja kwa moja
Bali wanaweza wakawa Huthi au Wengineo
Meli yeyote ya Us , Uk zikapewa moto na Silaha za Mrusi kupitia Hao Huthi
Atatandikwa na khanga au kitenge!!!!Sio busara tu ni msikivu pia, sababu kaishaelezwa akijaribu kutumia nukes, watamtandika kwelikweli.
Na EUKRAINEAtatandikwa na khanga au kitenge!!!!
Mzee Baba kuwa mpole Putin ni zaid y mtu upande wa ujasusi wazungu wa Ulaya wameundiwa michuma chuma wakapewa maelezo ya uwongo mifano ipo wazi uko Telaviv kunawako moto bahari nyekundi tumeona yale matenga ya nyanya yalivyo fanywa. Kwaiyo Putin anawavuta waje kaawacha kwanza wajitutumu ili ulimwengu ujue mchokozi nani kisha haaaaa atawafuraisha na watacheka kweli kwenye mashimo ya foot6 tuupe muda heshima.Nimeamka na kupitia baadhi ya vyombo vikubwa vya habari, nisema tu nimesononeka sana sikuona habari yoyote ya respond ya russia kwa kiev.
Ukiwa mvumilivu sana wakati mwingine ni ujinga.. Putin plz embu fanya kama anavyofanya Netanyahu. Unachezewa sharubu ujue!! Unakwama wapi mzee baba? Aaarrgghhhhh
Majengo ya balozi za marekani, uingereza, ufaransa na german nataka kuona vifusi pale... Tuondolee hii aibu tafadhali.
Mr. Lee Van Cliff, habari zs miaka ndugu yangu!Mimi Maoni Huru ambae ni Lee Van Cliff zamani nasema wote mnaomlaumu Putin mtakuja kumsifu baadae na wote mnaodhani kushindwa mtakuja kumlaumu baadae.
Kwa kufuatilia habari nimesoma mahali Putin Yuko kwenye vikao na Viongozi wa ulinzi na usalama na wataalamu.
Nafuatilia vyombo vingine vya habari hapa.
Putin kaishajichanganya kwa kuanza kufikiria kama USA & CO. Na nadhani wamempandikizia hizo fikra bila yeye kuelewa kwamba anacheza mziki wao.Kila mmoja Anamaoni yake
Lakin Lazima Mjue Vita ya Sasa Sio Kukurupuka kama Mnavyo Fikiria
Na sio lazima Ukipigwa lazima Ujibu Muda huo huo ili ionekane ww ni mwamba hapana.
Lazima mipango Ipangwe
Na Kwa karne ya sasa Nuklia Sio Rahisi kutumika Kwa Haraka Hivyo.
Ukrein Atapigwa tena Vibaya sana
Na Marekani Uk nao watapata Majibu yakuumizwa inaweza isiwe Urusi moja kwa moja
Bali wanaweza wakawa Huthi au Wengineo
Meli yeyote ya Us , Uk zikapewa moto na Silaha za Mrusi kupitia Hao Huthi
Unatuzingizia sisi tu Wahadzabe. Wahdazabe sisi tuna amisha yetu ya kijadi kabisa wala hatujishughulishi na yanayoendelea duniani na wala hatujui yanayoendelea nje ya maeneo tunayoyaona kwa macho yetu. Wanaojifanya kuijua dunia ni nyie Waswahili wa mijini.Aisee Col Douglas Macgregor ameongea vizuri sana.
Huyu ni Afisa mstaafu wa jeshi la USA na alikua mshauri wa Trump wa masuala ya Ulinzi anaona hatari iliyopo na uwezo wa Urusi.
Lkn Cha ajabu utakuta kijimtanzania Fulani hivi ki Tindiga,ki Hadzabe au kitoto Cha Mfumu Fulani hivi kinaidharau Urusi na mwamba Putin.
Aisee Tanzania Kuna maajabu sana.
Anasema ni ushenzi TU wa Biden na timu yake wanataka kumharibia Trump mtu alieonesha Nia ya kumaliza vita hii.
Anasema haijwahi kutokea huko nyuma Rais anaemaliza muda wake kutaka kumuachia janga Rais ajae.
Col Yuko vizuri sana aisee.haw ndio wamarekani wenye akili nzuri.
NonsensePutin kaishajichanganya kwa kuanza kufikiria kama USA & CO. Na nadhani wamempandikizia hizo fikra bila yeye kuelewa kwamba anacheza mziki wao.
Toka walipoanza kumsaidia Eukraine, USA & CO wamekuwa wakijifanya kumzuia EUKRAINE asipige ndani ya Rusia sababu hiyo itakuwa ni escalation, lakini pia wamekuwa wakidai wao sio washiriki wa hivyo vita hivyo hawatapeleka majeshi yao Ukraine.
Matokeo yake, Putin akashindwa kushambulia Misafara ya siraha ndani ya Poland, au iliyobebwa na vyombo vya usafiri vya USA & Co.
Sasa wanadai Kaescalate kwa kukodisha majeshi ya North Korea, hivyo na wao wanaruhusu apigwe nyumbani kwake.
Na yeye anaamini kaescalate yeye. of course yeye ndio mwanzilishi na yeye ndiye atayeamua vita iishe au isiishe.
Russia anauwezo wa kuifuta Marekani kwenye uso wa dunia kwa hiyo usiwaze Russia kupoteza hivi vita.Mr. Lee Van Cliff, habari zs miaka ndugu yangu!
Unajua Russia anapigana proxy war against the USA directly.
Sababu kuu na maalumu ya SMO ilikuwa ni kuepuka kwa Russia kushambuliwa na western missile moja kwa moja kwenye ardhi yao. Lakini kwa sasa wanapiga moja kwa moja kwenye ardhi ya Russia.
Haya ni mawazo yetu tu tunachangia: Russia inabidi ifikirie tena upya au history will be written for them.
hivi utumbo wa nguruwe bei gan siku hizRussia anauwezo wa kuifuta Marekani kwenye uso wa dunia kwa hiyo usiwaze Russia kupoteza hivi vita.