Mr. Lee Van Cliff, habari zs miaka ndugu yangu!
Unajua Russia anapigana proxy war against the USA directly.
Sababu kuu na maalumu ya SMO ilikuwa ni kuepuka kwa Russia kushambuliwa na western missile moja kwa moja kwenye ardhi yao. Lakini kwa sasa wanapiga moja kwa moja kwenye ardhi ya Russia.
Haya ni mawazo yetu tu tunachangia: Russia inabidi ifikirie tena upya au history will be written for them.
Nakuelewa vizuri sana Mkuu wangu Comrade Hammaz.
Wewe pamoja na Pro Russia wengine natambua hisia zenu,najua hasira zenu na najua maumivi yenu,lkn natofautiana na nyinyi pakubwa kwa nyinyi kutaka Putin ajibu kama mnavyotaka.
Hali mliyonayo nyinyi Iko hata Urusi kwenyewe,Kuna watu wenye hasira Kali wanamuona Putin anawalea sana Ukraine,lkn Amin nawaambia hii vita Viongozi wa USA na NATO wameshakosea hivyo wanataka kumharibia Trump ambae tokea mwanzo alikua anaipinga.
Sasa kwa akili ya kawaida TU Putin kajua dhamira Yao,hivyo hapa inatakiwa busara ya Hali ya juu mno kuihandle Hali hii na ndio Putin anachokifanya.
Hivi si tunaamini kua Urusi ana silaha za nyukilia nyingi kushinda nyukilia zote za NATO kwa pamoja?
Sasa unafikiri anashindwa Nini kuipiga Ukraine?
Anaogopa Nini Sasa,maana anauwezo wa kuipiga nchi yoyote itakayoingilia kuisaidia Ukraine?
Haijalishi hata kama NATO wataingia,lkn anao uwezo wa kurusha makombora ya nyukilia kwa Kila nchi za NATO lkn je unafikiri kwa Nini hataki kujifanyia hivyo Ukraine?
Jibu ni moja TU hekima na busara za kujiingiza Dunia katika janga kubwa kama hili kijinga TU.
Lakini pamoja na busara na hekima hizo uvumilivu hua una mwisho.
Hata Sasa Dunia nzima imeona ujinga huu wa akina Biden kwa chuki zao TU dhidi ya Trump ambae walijaribu kumfanyia Kila figisu ili asiwe Rais ama hata afungwe kabisa njama hizi ziliposhindwa Sasa wanataka wamuachie jumba bovu.
Ujinga huu wa akina Biden umepokelewa kwa hasira Kali sana huko USA na UK ,nimekuja nikiangalia kwa social media baadhi ya raia wamekereka na kuingiwa na hofu na taharuki kua hawako tayari kuingia vita vya nyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine ambae hata sio NATO.
Kuna hata seneta wanatakankumfanyia impichment Biden na wanasema tokea USA iwepo hajawahi kutokea Rais anaemaliza muda wake kutengeneza janga ili kumuachia Rais ajae kwa kumkomoa.
Mkuu Hammaz nakuhakikishia kua zile nyukilia za Urusi hawakutengeneza matoi ya kufanyaia maonesho,nakuambia kua Urusi akichoka kuvumilia atafanya jambo Dunia itakaa kimya na hakuna atakae mjibu,si USA wala taka taka yoyote ya ulaya.
Haya sio mawazo yangu pekee nafuatilia mojadala ya wataalamu ,maprofesa,waandishi na wachambuzi nguli kama akina Scott Rtter,Col Douglas Macgregor na Turker Curson na wengine,wote wanawaponda sana Biden na yule kibwengo wa UK.wanasema utulivu wa Putin sio uoga ni kwamba anaangalia madhara ya majibu,lkn kwa Hali ilivyo majibu hayako mbali sana Kwa maana tayari uvumilivu umeshawashinda Russia.
Wanasema "Putin is not bluffing ",Biden made mistake,don't poke the bear"