LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mtasema wenyewe!
===
Kyiv says Russia has launched an intercontinental ballistic missile at Ukraine - it would mark the first attack from such a weapon in almost three years of war

BBC.
Ninavyoona hili kombora ndio limetumika Leo Kwa mara ya kwanza na jeshi la Urusi.
Ila Kuna mtindiga mmoja humu juzi alisema eti hakuna silaha ambayo Russia hajatumia.sikutaka kubishana nae,lkn Urusi bado ana silaha nyingi TU hajatumia,ila kadri wanavyokaza shingo nae ataongeza dozi.
Mtu huyo anajijua na ameonesha komenti Yako.
Watu humu wanjifanya wajuaji mno.
 
Huyu baladhuri Zelensky si alisema makombora yataongea yenyewe?
Sasa atulie yaongee.
 
Aah wapi, hakuna Cha maana urusi anafanya huko,Bora hata angefanya Mass attacks kama alivofanya wiki iliyopita kwa kupiga vituo vya umeme,hiyo kidogo ingesaidia kuwapoza maumivu mashabiki wake πŸƒπŸƒπŸƒ
Wewe jifariji tu kijana,wewe upo zako Tuliani hapo unakula wali na kambale wa nazi,athari hazikupati wewe bali wale walioko Eastern Europe.
Tuache utani vile vinu ni deadly.
 
Wewe member hua ni mgumu sana kuelewa halafu mwepesi wa kusahau.
Nimesema hivi,USA na NATO waache kuirushia mawe Urusi wakiwa nyuma ya Ukraine.
Nikaendelea kusema sio tabia ya USA na NATO kuisaidia nchi kijeshi kwa kuipa misaada bila wao kuingia mazima kama walivyofanya Iraq, Yugoslavia, Afghanistan na Libya.
Hapa nilikua nikilenga wanajifanya kumpa Ukraine silaha lakini wao ndio wanaziopareti.
Nikaongeza kusema wanapigana na Urusi kiujanjaujanja,hii sio tabia Yao na inaonekana udhaifu wao.
Nilimaanisha kua Hali hii inainyima Urusi uhalali wa kujibu mapigo moja kwa moja Kwa nchi yoyote inayorusha jiwe Urusi ikiwa nyuma ya Ukraine,sio nchi tu,hata NATO wote.
Kwa hiyo sio rahisi kwa Urusi kurusha jiwe Kwa NATO.
Ila kama unaona Urusi inaiogopa NATO basi omba Mungu NATO waingize jeshi lao kama walivyoingiza Iraq au Afghanistan au Yugoslavia halafu uone kama Urusi atajibu ama hatajibu.
 
Tatizo mtu akiandika tofauti na mawazo yenu mnamchukulia kama adui, ndiomaana mashabiki wa west wamewaacha mtambe wenyewe humu ila siokwamba hawapo
Acha uoga wewe,hivi humu jukwaani unawezaje kujua kama mtu Fulani amekuchukulia wewe kama adui?
Humu Kila mtu analeta hoja zake na watu ama wanpinga ama wanamuunga mkono.
Sasa kama wewe unakuja na hojambuzi zako watu hawawezi kukulea ili uendelee kupoteza watu.
Eti tunawachukulia kama adui,aisee!!
Leta hoja zenye facts.
 
Unajibizana na huyo jamaa!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Huyo jamaa hadi nilimu ignore.
Yupo factless.
 
West bado hawaelewi ni nini kile maana akijakaa kama ICBM ,iskandar wala kinzhal
Na hapo ndugu yangu wala sio majibu ya ujinga waliofanya wa kupiga ndani ya Urusi.
Majibu yanajadiliwa.

Pengine hili lilikua ni onyo,majibu yanaandaliwa ili kukomesha kabisa tabia hiyo.
Majibu ya ujinga huo hayatakua kwa Ukraine TU,Bali hata kwa wafadhiri wake.
Kama mnaona natania mtaona.
Urusi hua hawakurupuki.
 
Hivi ni kwanini Pro Russia mnakuwa na makasiriko sana mnapokutana na comments zinaoishusha Russia??
Makasiriko unawezaje kuyatambua kwenye maandishi ndugu?
Wewe leta hoja zako,kama zina mashiko watu wataelewa TU,kama hazina mashiko utapingwa.
Sasa nyie Pro USAUkraiNATO Kila mkileta hoja zenu dhaifu mkipingwa kwa hoja mnadai mmekasirikiwa.
Zama zimebadilika ndugu yangu siku hizi hadanganywi mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…