The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Sasa katuaibisha nini amepigwa au !? Wee Jamaa bwana πUnajichekesha kinafiki huku ukiwa na uchungu moyoni, Russia kawaaibisha sana
Haaahaaa!!! Yaani umemuana huyo jamaa kichwa sana hadi unamuambia awaelimishe watu humu JF.Mkuu, tatizo hapa JF tupo watu wa aina mbalimbali ila wengi khasa hapa jukwaa la kimataifa wapenda sana kuleta mizaha.
Hivyo waelimishe usichoke tuna vijana wa Gz hapa.
Miaka 20 ya Afghanistan watu wali achieve nini?100 days of war between Ukraine and Russia and Putin has failed to achieve strategic war goals.
Mbona kama unawabembeleza members,au mmeanza ushogaππ€©Na hapo ndugu yangu wala sio majibu ya ujinga waliofanya wa kupiga ndani ya Urusi.
Majibu yanajadiliwa.
Pengine hili lilikua ni onyo,majibu yanaandaliwa ili kukomesha kabisa tabia hiyo.
Majibu ya ujinga huo hayatakua kwa Ukraine TU,Bali hata kwa wafadhiri wake.
Kama mnaona natania mtaona.
Urusi hua hawakurupuki.
Mtu ana Fanya ziara duniani na hakuna hata wa kumgusaHebu wenyewe oneni komenti kama hii!
Mtu kama huyu ni Pro USA UkraiNato ukimjibu mtasema tumemfanya adui na tumeonesha makasiriko.
Sasa hoja kama hii hata Pro NATO wenzake wanaona aibu.
Hivi kweli Mwamba VVP baba mtakatifu wa vita mtu pekee alieweza kuwakalisha nchi zote za west zaidi ya 53 ndio anaweza kujificha chooni kwa sababu ya makombora sita yote yaliyotunguliwa?/
Imagine π€£Kim na Ayatollah wamsikiliza Russia. Umeona Israeli alishambulia tena Iran?
Hiyo ni kwasababu yaaminika Korea Kaskazini na Iran tayari wamefikia viwango vya kuweza kutumia bomu la nyuklia.
Hawa jamaa washangaza sana walimwengu, kwani wao wamemruhusu Zelensky atumie makombora yao na Russia kabeep tu wao mara wajawa na hofu.
Hofu ni ya nini?
Tupe data hizo ππUpdates:
Raisi Putin ahutubia taifa.
Hawa jamaa wanajipigia Ngoma na kucheza wenyewe,kanchi kadogo kama Ukraine kanamtoa urusi kamasi Miaka mitatu Sasa, alafu unakuta mtu anakomaa kutetea nchi dhaifu namna hii πππKama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
Natania tu.Haaahaaa!!! Yaani umemuana huyo jamaa kichwa sana hadi unamuambia awaelimishe watu humu JF.
Nikakimbia mbio kusoma nikidhani Kuna kitu kipya, kumbe zilipendwa tu!Updates: Taarifa za kijasusi zatolewa na UK zasema mistari ya mbele ya mapambano ya Ukraine imezidiwa.
Taarifa hizo zadai kuwa jeshi la Ukraine limekuwa likipingua kadri ya siku zinavyozidi kusonga mbele na kwamba Russia sasa hivi lina jeshi kubwa kupita wakati alipoanzisha vita miaka miwili ilopita.
Majeshi ya Ukraine yamekuwa yakizidiwa na kuzidi kurudishwa nyuma katika jimbo la Donetsk ulioko katika mkoa wa Donbas upande wa mashariki.
Taarifa hizo zaendelea kujulisha umma kuwa majeshi ya Russia hadi leo yameishachukua miji ya Kupyansk, Chasiv Yar, Toretsk, Kurakhove na Vuhledar.
Mji wa Chasiv Yar ni moja ya miji ambayo nilisema yaenda kuchukuliwa na Russia katikati ya mwezi September mwaka huu.
Hali hii yaonyesha kwamba Russia imekuwa ikizidisha juhudi za kuchukua maeneo zaidi kabla ya utawala wa Marekani wa Donald Trump haujaanza kazi rasmi mara atapoapishwa mwezi Januari 2025.
Kupiga ubalozi ni kutangaza vita na nchi husikaNimeamka na kupitia baadhi ya vyombo vikubwa vya habari, nisema tu nimesononeka sana sikuona habari yoyote ya respond ya russia kwa kiev.
Ukiwa mvumilivu sana wakati mwingine ni ujinga.. Putin plz embu fanya kama anavyofanya Netanyahu. Unachezewa sharubu ujue!! Unakwama wapi mzee baba? Aaarrgghhhhh
Majengo ya balozi za marekani, uingereza, ufaransa na german nataka kuona vifusi pale... Tuondolee hii aibu tafadhali.
Na alisema majibu ya hizo red line kuvukwa itakuwa ni kushambuliwa nchi za NATO..,ajabu mpaka Sasa jamaa anasubiriwa arushe japo hata jiwe kwenye mpaka wowote wa NATO, lakini mpaka Sasa kimyaa ππTunasubiri red line zingine zitangazwe Moscow. Maana za hapo nyuma zote zimekuwa crossed
π€©ππ€©πππSiku 1000 unashindwa kuimaliza Ukraine π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Akina nani hao, west? wale majoga wanajificha mgongoni mwa ukraine mtt wao anadundwa. Sasa yamefunga balozi yametimkaPutin anasubiriwa afanye kama anajikuna Ili wamgonbanie kama mpira wa kona
Alikuambia atashambulia leo? Vita ni science sio mdumangeNa alisema majibu ya hizo red line kuvukwa itakuwa ni kushambuliwa nchi za NATO..,ajabu mpaka Sasa jamaa anasubiriwa arushe japo hata jiwe kwenye mpaka wowote wa NATO, lakini mpaka Sasa kimyaa ππ