LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Na hapo ndugu yangu wala sio majibu ya ujinga waliofanya wa kupiga ndani ya Urusi.
Majibu yanajadiliwa.

Pengine hili lilikua ni onyo,majibu yanaandaliwa ili kukomesha kabisa tabia hiyo.
Majibu ya ujinga huo hayatakua kwa Ukraine TU,Bali hata kwa wafadhiri wake.
Kama mnaona natania mtaona.
Urusi hua hawakurupuki.
Mbona kama unawabembeleza members,au mmeanza ushoga😍🤩

Wewe Jamaa una uchungu sana 🤩😍
 
Hebu wenyewe oneni komenti kama hii!
Mtu kama huyu ni Pro USA UkraiNato ukimjibu mtasema tumemfanya adui na tumeonesha makasiriko.
Sasa hoja kama hii hata Pro NATO wenzake wanaona aibu.
Hivi kweli Mwamba VVP baba mtakatifu wa vita mtu pekee alieweza kuwakalisha nchi zote za west zaidi ya 53 ndio anaweza kujificha chooni kwa sababu ya makombora sita yote yaliyotunguliwa?/
Mtu ana Fanya ziara duniani na hakuna hata wa kumgusa

Jf now days imekuwa na madogo wenye low iq Sana mtu anawezaje kutoa comment kama Hiyo ktk mjadala serious kama huu
 
Kwenye hii vita, NATO kwa ujumla imelenga kumpunguzia kumpunguzia Russia nguvu za kijeshi, ikiwezekana, kumark the afficial anguko la Russia Sovereign State. However, "kwa uelewa kwangu, * ninaona kinachotokea square kwenye ground is a nude reciprocal of the initial expectation. Yaaaani, ninaona no kama Russia inazidi kuimarika kijeshi kuliko mwanzo, ilhali NATO imeanza kudhoofika. Juu ya yote, Russia imepata new associates kama Korea na Iran ambao wamariimarisha jeshi Lao zaidi
 
Kim na Ayatollah wamsikiliza Russia. Umeona Israeli alishambulia tena Iran?

Hiyo ni kwasababu yaaminika Korea Kaskazini na Iran tayari wamefikia viwango vya kuweza kutumia bomu la nyuklia.

Hawa jamaa washangaza sana walimwengu, kwani wao wamemruhusu Zelensky atumie makombora yao na Russia kabeep tu wao mara wajawa na hofu.

Hofu ni ya nini?
Imagine 🤣
 
Kama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
Hawa jamaa wanajipigia Ngoma na kucheza wenyewe,kanchi kadogo kama Ukraine kanamtoa urusi kamasi Miaka mitatu Sasa, alafu unakuta mtu anakomaa kutetea nchi dhaifu namna hii 🏃🏃🏃
 
Updates: Taarifa za kijasusi zatolewa na UK zasema mistari ya mbele ya mapambano ya Ukraine imezidiwa.

Taarifa hizo zadai kuwa jeshi la Ukraine limekuwa likipingua kadri ya siku zinavyozidi kusonga mbele na kwamba Russia sasa hivi lina jeshi kubwa kupita wakati alipoanzisha vita miaka miwili ilopita.

Majeshi ya Ukraine yamekuwa yakizidiwa na kuzidi kurudishwa nyuma katika jimbo la Donetsk ulioko katika mkoa wa Donbas upande wa mashariki.

Taarifa hizo zaendelea kujulisha umma kuwa majeshi ya Russia hadi leo yameishachukua miji ya Kupyansk, Chasiv Yar, Toretsk, Kurakhove na Vuhledar.

Mji wa Chasiv Yar ni moja ya miji ambayo nilisema yaenda kuchukuliwa na Russia katikati ya mwezi September mwaka huu.

Hali hii yaonyesha kwamba Russia imekuwa ikizidisha juhudi za kuchukua maeneo zaidi kabla ya utawala wa Marekani wa Donald Trump haujaanza kazi rasmi mara atapoapishwa mwezi Januari 2025.
Nikakimbia mbio kusoma nikidhani Kuna kitu kipya, kumbe zilipendwa tu!
 
Nimeamka na kupitia baadhi ya vyombo vikubwa vya habari, nisema tu nimesononeka sana sikuona habari yoyote ya respond ya russia kwa kiev.
Ukiwa mvumilivu sana wakati mwingine ni ujinga.. Putin plz embu fanya kama anavyofanya Netanyahu. Unachezewa sharubu ujue!! Unakwama wapi mzee baba? Aaarrgghhhhh
Majengo ya balozi za marekani, uingereza, ufaransa na german nataka kuona vifusi pale... Tuondolee hii aibu tafadhali.
Kupiga ubalozi ni kutangaza vita na nchi husika
 
Tunasubiri red line zingine zitangazwe Moscow. Maana za hapo nyuma zote zimekuwa crossed
Na alisema majibu ya hizo red line kuvukwa itakuwa ni kushambuliwa nchi za NATO..,ajabu mpaka Sasa jamaa anasubiriwa arushe japo hata jiwe kwenye mpaka wowote wa NATO, lakini mpaka Sasa kimyaa 🏃🏃
 
Back
Top Bottom