kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Mpaka muda huu naandika Russia ananyeshewa makombora ya storm shadow, lakini anaendelea kujikunyata mithili ya mbuzi aliyenyeshewa mvuaπππSasa katuaibisha nini amepigwa au !? Wee Jamaa bwana π
Storm shadow zinaendelea kumpelekea moto Putin huku akiendelea kubung'aa asijue nini Cha kufanya ππAkina nani hao, west? wale majoga wanajificha mgongoni mwa ukraine mtt wao anadundwa. Sasa yamefunga balozi yametimka
Wanaochinjwa kwa wingi Sasa ni north Korea.., hakuna jeshi la urusi Tena,Iran yupo anapiga jalamba baada ya kuwamaliza wakorea itakuwa zamu Yao ππSijui Hao warusi Wana tokea wapi πππ
Wakati kila siku Wana pigwa au ni mazombie hawafi
Yani unamaanisha muda huu storm shadow zinashuka?Wanaochinjwa kwa wingi Sasa ni north Korea.., hakuna jeshi la urusi Tena,Iran yupo anapiga jalamba baada ya kuwamaliza wakorea itakuwa zamu Yao ππ
Afu ndio ili iweje? Mbona mnakuwa kama mlidondoshwa utotoni? Haya mambo sio yakuyachukulia kirahisi. Wewe endelea kufatilia migogoro ya viwanja na mashamba. Haya ya RU na Ukraine yako juu ya uwezo wako.Kama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
Unaongea kirahisi rahisi Sana kama vile vita ni footballMpaka muda huu naandika Russia ananyeshewa makombora ya storm shadow, lakini anaendelea kujikunyata mithili ya mbuzi aliyenyeshewa mvuaπππ
Unaongea kirahisi rahisi Sana kama vile vita ni footballMpaka muda huu naandika Russia ananyeshewa makombora ya storm shadow, lakini anaendelea kujikunyata mithili ya mbuzi aliyenyeshewa mvuaπππ
Ni sawa tu. Najua hilo. Kwani russia si wapo vitani na nchi zote za nato?Kupiga ubalozi ni kutangaza vita na nchi husika
Yaani mwamba amesema hiviUpdates:
Raisi Putin ahutubia taifa.
Hawa ni watu wa ajabu sana.Sasa katuaibisha nini amepigwa au !? Wee Jamaa bwana π
Uyu minister of foreign affairs alikatazwa asiongee chochote kuhusu ilo shambulio,,, hakipaswi kuongelewa kitu chochote kwa sasaHalafu hata tovuti ya wizara ya ulinzi ya Russia π·πΊ yaani hata habari ya shambulio hili hawajaiweka wala hawataki kuzungumzia chochoze zaidi ya mambo wanayoyaelezea kila siku.
Na huyu ndio mmoja wa Pro NATO USA Ukraine.100 days of war between Ukraine and Russia and Putin has failed to achieve strategic war goals.
Unajua ata kiasi cha makombora aliyopewa??Mpaka muda huu naandika Russia ananyeshewa makombora ya storm shadow, lakini anaendelea kujikunyata mithili ya mbuzi aliyenyeshewa mvuaπππ