kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Mpaka muda huu naandika Russia ananyeshewa makombora ya storm shadow, lakini anaendelea kujikunyata mithili ya mbuzi aliyenyeshewa mvua🏃🏃🏃Sasa katuaibisha nini amepigwa au !? Wee Jamaa bwana 😆