LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sijui Hao warusi Wana tokea wapi 😃😃😃

Wakati kila siku Wana pigwa au ni mazombie hawafi
Wanaochinjwa kwa wingi Sasa ni north Korea.., hakuna jeshi la urusi Tena,Iran yupo anapiga jalamba baada ya kuwamaliza wakorea itakuwa zamu Yao 🏃🏃
 
Kama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
Afu ndio ili iweje? Mbona mnakuwa kama mlidondoshwa utotoni? Haya mambo sio yakuyachukulia kirahisi. Wewe endelea kufatilia migogoro ya viwanja na mashamba. Haya ya RU na Ukraine yako juu ya uwezo wako.
 
Mpaka muda huu naandika Russia ananyeshewa makombora ya storm shadow, lakini anaendelea kujikunyata mithili ya mbuzi aliyenyeshewa mvua🏃🏃🏃
Unaongea kirahisi rahisi Sana kama vile vita ni football

Zelensky Analia huko baada ya kurushiwa ICBM wewe Mmarekani wa tandale unakaa unasema kuwa Russia anapigwa 🤣🤣🤣

Yaani wewe unajua kinacho endelea Zaidi Ukraine kuliko zelensky!?
 
Putin akitekeleza huu mkwara alioutoa hivi punde atakuwa amewatoa kimasomaso warusi wa buza
Screenshot_20241121-204040.png
Screenshot_20241121-204040.png
 
JUST IN: 🇷🇺🇺🇦 Russian President Putin says we will warn civilians in Ukraine and citizens of other friendly states to leave potential attack zones in advance.

Russia is preparing to launch a major missile attack on Ukraine
 
Updates:

Raisi Putin ahutubia taifa.
Yaani mwamba amesema hivi
"Attack involved some of the most advanced Russian weapons"
Elewa neno "SOME OF THE"
Yaani wataalamu wa mambo ya linguistics watufafanulie watu waelewe kidogo.Binafsi nilivyoelewa mtu akisema SOME OF THE" ni sehemu ndogo ya vitu Viiiiiiiiiiiiiiiiingi which means Russia 🇷🇺 wana midude ambayo hata kuitizama tu bila ya kulipuka inaogopesha 😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Halafu hata tovuti ya wizara ya ulinzi ya Russia 🇷🇺 yaani hata habari ya shambulio hili hawajaiweka wala hawataki kuzungumzia chochoze zaidi ya mambo wanayoyaelezea kila siku.
Uyu minister of foreign affairs alikatazwa asiongee chochote kuhusu ilo shambulio,,, hakipaswi kuongelewa kitu chochote kwa sasa
 
Back
Top Bottom